Baada ya Miaka 2, natamani Ndoa yangu ivunjike

Aseee Sijawah Waza kuchepuka kbsaa, Coz i gues nikianza chepuka i qont feel him anymore . So its not my Option
Wewe una mapungufu gani mboni unaeleza tu kutaka sympathy za watu weakness zake umeeleza then what's your weakness nini unachokifanya kinachompelekea yeye kua na hali aliyokua nayo? Hakuna binadamu anaefanya kitu/Jambo bila kua na chanzo sasa chanzo cha yeye kua na tabia za kimalayamalaya ni nini
 
Nijibu haya maswali kwanza.

1: kabla hamjafunga ndoa (kipindi cha uchumba) hiyo tabia alikua nayo?

2: Chakula cha usiku unampa vizuri na anashiba au unambania ?

3: Wewe ni wale wanawake wanao ongea sana?

4: Je, unamazoea na wanaume wengine?

Nb. .

KAMA ANAJIELEWA KWENYE MAJUKUMU YA FAMILIA NA KUFANYA MAENDELEO SHIKILIA HAPO HAPO USIACHIE.

1.tulikua tunaishi Mikoa tofauti So Nilikua sizifahamu
2. Nampa kiroho safi kbsaa
3. Hapana mimi ni mpole
4 . Sina marafiki wa kiume
 
Mpe uroda asubuhi mchana na jioni halafu mpe Kama vile sio unalala Kama gogo halafu utegemee asichepuke.
Mpe hicho kitu afaidi. Kumbania bania ndio maana anakwenda kwa hao ma bitch wanaompa yote.
Halafu epuka kua argumentative and fault finding.
Anzisha topic anazopenda atakaa akusikilize. Sio kulalamika 24/7
Wanaume tunapenda peace and uroda.
 
Wanaume hatupendi kelele.
Huenda wewe una kelele sana na hiyo ndo sababu kuu ya ulevi wa mumeo na uchepukaji.

Cha kufanya we mwache kwa muda hata wa mwezi mmoja bila kumpigia kelele za uliwa wapi, kila siku nasema hili, we mwanaume mlevi sana, hujali familia, mbona wenzio hawako ivo nk nk.

Uwe busy na kazi au biashara yako, akiona umebadilika kazi itakua kwake sasa kuanza kufatilia kwanini hupigi kelele tena, au unachepuka akikuuliza ndo hapo mtakaa sawa.

Kelele, vikao na mshataka kwa wazazi haviwezi mbadilisha.
Chukua na hii itakusaidia [emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume wana cheat ila huyu mwanaume anaonyesha dharau hio sio ndoa Jamani
Atoke haraka sana
Ingekuwa Ana cheat Ila kwa kujificha ningempa ushauri mwingine
Mume wake ni immature atateseka sana atoke tu
Kama kuolewa ameshaolewa nadhani sasa afocus kwenye mambo mengine huko mbeleni atampata mtu sahihi,kuna vitu alikosea wakiwa wachumba hakuvijua it’s never late

Asante kwa ushauri
 
Kuna jamaa yetu ni mlevi kupindukia,
Alishajua kuwa tunamsema vibaya kwa ulevi wake,

Kuna siku tuko na shemej yetu jamaa alifunguka mazima kuhusu tabia ya mkewe,
Mkewe aliwai toka na shem wake wa tumbo moja,

Jamaa akamgeuka mkewake unakataa!?

Dah yule shem akainamia chini kimya,

Jamaa akaturudia na sisi akatuuliza ni nani anaweza vumilia hili tukio?

Tukabaki midomo wazi,

Mambo ya ndoa bana usikilize pande zote, ila hii ya upande 1, ni kuchangamsha genge,

Mlianza vizur iweje sasa?
Mambo ya ndoa ni noma sana,sema Wanaume wengi huwa hatusemi mapungufu ya wenza wetu kama wenyewe walivyo vimbelembele kusema ya kwetu.
Mie nijuavyo matatizo 90% kwenye ndoa yanachangiwa na Wanawake.
 
Natamani kuvunja Ndoa yangu

Habari zenu wakuu ,Hope Mko Poa. Nimekuja na New ID kutaka Userious kwenye hili Jambo langu linalo nitatiza.

Moja kwa moja kwenye Mada Mimi Ni Msichana Age below 30 .Ni mama wa mtoto Mmoja wa Kiume . Niko kwenye Ndoa na Huyu mume wangu almost two years Now.

The reason behind Ya Hayo Maamuzi yangu ni kama Ifuatavyo
Uchepukaji uliokithiri, Asee Huyu Jamaa Ni Mchepukaji Sijawahi Ona na kitu Kilichoniumiza zaidi ni Siku Niliyo gundua He Even Do Bitches. And He always Admit ukimfumania na anasema ataacha lkn Holla. Within this two Years Kesi zetu zishakua Nyingi kwa wazazi Nadhani Wamechoka kutusuluhisha Now.

Mlevi alio pitiza, The Guy ni mlevi Mno, Kurudi Asubuhi kwake ni kitu cha Kawaida Sana. Nimeshaongea Ad Nimechoka. though Familia anahudumia vizuri tu. Lkn Hapati muda na Familia Kbsaa. It real embarass me coz Tunaishi na Mdogo ake hapa Nyumbn So Najiskia viby Sana Kitendo cha yeye kurudi Asubuhi.

Ndoa yetu ni ya Kanisani na Tuna miaka 2 tu Ndoani. Mnashauri Nifanye Nini Ndugu zangu kuhusu ayo Maamuzi yangu Maana Actualy Sina Furaha Kwenye hii Ndoa. And am just too young to live like this til death do us Apart.

kapime ukimwi kwanza?
plus swali wakati wa uchumba hukuona haya yote? sidhan kama kuna tabia mpya
 
Unaandika kitoto sana.To do bitches ndiyo kufanyaje?

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Sasa unafikiri utapata wapi mwanaume asiyetoka nje.,umesema familia ana ihudumia vizuri sasa unataka nini zaudi?
 
Kuingia kwenye ndoa ni jambo moja na kudumu kwenye ndoa ni jambo jingine.

Uvumilivu, busara, upendo, kujitoa na mshikamano ni baadhi ya 'matunda ya Roho' yanayotakiwa ili ndoa iweze kudumu. Wengi waliyoyakosa, waliishia njiani.
 
Back
Top Bottom