generationn Z
JF-Expert Member
- Jun 30, 2025
- 345
- 542
Lipa ada ila kaa ukiamin hiyo ada ni sadaka so toa kwa hiaru km msaada ila usitegemee kuitwa mmiliki wala baba harali wa mtoto
Hao watoto wana msaada gani kwa baba?Watoto
Hapana sio dhambi Kila mmoja abebe jukumu lakeMsalaba ulimaanisha dhambi
Hio unayokazia ni roho mbaya tu mnaweka kwa mtoto
Wanaendeleza ukooHao watoto wana msaada gani kwa baba?
Ni jukumu la mwanaume kuhudumia na mwanamke kuwa submissiveHapana sio dhambi Kila mmoja abebe jukumu lake
We hutaki ambapo una..benefit?Tatizo kwenu mahusiano ni kitenga uchumi
Kama unampenda mtu huwezi one ugumu ukitoa labda kama kuna past trauma zilitokea ndo utakuwa 50/50 ( uhudumie au usihudumie) kwa kuhofia jambo lile lililo.kudissspoint litatokea tena.....Kama unatoa kwa mama, baba na ndugu zako tu huwezi ona ugumu.
Toa kwa mtoto wa mwanamke mwenzio unayemwita mpenzi wako
Ushauri wetu utakupotoshaKuna mpenzi wangu mmoja nilimpenda sana, kuliko yeye alivyonipenda mimi.
Upendo ukawa unaongezeka zaidi, pale ninapokuwa nampa vijisenti.
Baada ya kuona anatumia visalio vyangu vingi, nami nikawa namkomoa kwenye shoo, nikawa nampa shoo kali.
Iliyopelekea, akawa ananikwepa kwepa pale ninapokuwa namuhitaji.
Baada ya muda akawa amebeba ujauzito, ingawa simuamini sana kama yule mtoto ni wa kwangu, ingawa yeye anasema ni wa kwangu.
Mahusiano yetu yakawa ni ya migogoro hasa pale ninaposhindwa kumtumia visalio. Na nilikuwa nafanya makusudi ili niweze kupima upendo wa kweli.
Baada ya muda kupita, kila mmoja akaendelea na maisha yake; ingawa mara moja moja tulikuwa tunawasiliana pale ambapo hasira zinakuwa zimeisha.
Hivi karibuni, alipata ajali iliyopelekea kuvunjika mguu, na kusababisha tembea yake kuwa ya kuchechemea.
Tangu ajali itokee mpaka leo hii, imepita kama miezi sita hivi; sasa leo amenipigia simu na kulalamika watu aliokuwa akiwaamini wamemtelekeza na wamepunguza ukaribu naye.
Kwa hiyo anaomba tusameheane kwa yale yote yaliyotokea, na maisha yasonge mbele; Pia nijiandae mwakani mtoto aweze kwenda shule.
Hapa nilipo natafakari, baadaya kuona anachechemea na watu kutokuwa karibu naye, ndio ameona umuhimu wangu?
Wakuu, ebu nishaurini.
Ukikua, utajua mazuri yao na mabaya yaoWe jamaa ni limtu libinafsi sana.
You are a narcissist kwanini ukomoane na mwanamke, na uwe na mapenzi ya kuigiza?
Do you think that unaacha legacy yoyote nzuri? Unaonesha how immature you are kwa akili. Binafsi sjapendezwa na tukio la wewe kumkomoa kabla haja pata ajali
Benefit ipi ambayo wewe hupati?We hutaki ambapo una..benefit?
Uko sahihi.Fahamu kwanza kama mtoto ni wako au sio wako then ufanye maamuzi ya kumsomesha ila kuludiana na huyo mwanamke fata moyo wako ila usibebe msalaba wa mtu yeyote
Kwani huko kuhudumiwa lazima kuhusishe financial?Kama unampenda mtu huwezi one ugumu ukitoa labda kama kuna past trauma zilitokea ndo utakuwa 50/50 ( uhudumie au usihudumie) kwa kuhofia jambo lile lililo.kudissspoint litatokea tena.....
Pima DNA kama ni wa kwako basi chukua boga na ua lake, na uanze kutekeleza majukumu yako.Nami nawaza hivyo hivyo, inawezekana ata kwa huyu mtoto baba akawa mwingine.
Takataka Kabisa ninyi , we uliye na hela ungekuwa ombaomba kwa kutembeza nyuchi Kama bidhaa ili uhudumiwe ? ,Stupid whoreKauli ya mwanaume asiye na hela..
Rubbish🚮
Unahudumiwa wewe ni taahira una mtindio wa ubongo , mkoma au mlemavu ?Kwanini uwe kwenye mahusiano kama haupo tyr kuhudumia
You want me to give it for freeTakataka Kabisa ninyi , we uliye na hela ungekuwa ombaomba kwa kutembeza nyuchi Kama bidhaa ili uhudumiwe ? ,Stupid whore
Bora kununua roboti tuYou want me to give it for free
Are you stupid!!?