Saidama
JF-Expert Member
- Jun 10, 2022
- 737
- 1,404
Naam, kama rafiki tu. Matatizo anayopitia ni magumu kimwili na kiakili. Anahitaji sapot kifedha na hata kufarijiwa tu. Ningekushauri kwamba hiki sio kipindi cha kumuonyesha makucha.Ata kama hakuna mahusiano tena?
Sio kwamba nashauri urudiane nae kimahusiano lakini, hilo ni la kwako binafsi kuamua