Killa Cam
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 2,868
- 8,031
Nini kilitokea hata msameheane?. Kama hakuvunjika mguu angeliomba msamaha?. Angetaka mrudiane?.Kwa hiyo anaomba tusameheane kwa yale yote yaliyotokea, na maisha yasonge mbele; Pia nijiandae mwakani mtoto aweze kwenda shule.
Hio ni kawaida ya binaadamu anapokuwa yupo na nafasi hujiona yeye bora lakini hio nafasi ikiondoka ndio akili ya kumtafuta mnyonge wake wa kumbebesha matatizo yake.
Swali kwako mkuu upo tayari kutengeneza gari bovu wakati lilipokuwa zima halikutaka kukupa hata lift(ride)?.