Baada ya kupoteza thamani, ameamua kunitafuta

Mbona hapo juu nimeeleza vizuri tu bibie kwamba mahusiano ni wote mpo kwenye win win situation so hakuna kati yenu anayepaswa kuwajibika dhidi ya mwingine financially.

Kama mwanamke hujaolewa basi wajibu wa kuhudumiwa upo kwa baba yako mzazi ama kaka yako kama baba yako hayupo.

Mke wa ndoa pekee ndiye anapaswa kuhamishia majukumu ya kuhudumiwa kutoka kwa baba yake kwenda kwa mumewe.
Kwanini uwe kwenye mahusiano kama haupo tyr kuhudumia
 
Mbona hapo juu nimeeleza vizuri tu bibie kwamba mahusiano ni wote mpo kwenye win win situation so hakuna kati yenu anayepaswa kuwajibika dhidi ya mwingine financially.

Kama mwanamke hujaolewa basi wajibu wa kuhudumiwa upo kwa baba yako mzazi ama kaka yako kama baba yako hayupo.

Mke wa ndoa pekee ndiye anapaswa kuhamishia majukumu ya kuhudumiwa kutoka kwa baba yake kwenda kwa mumewe.
Kwa hii mentality wadada wazuri utaishia kuwaona tiktok
Utagongewa dem wako na hamna kitu utafanya
Ni ushauri tu kaka....
 
Back
Top Bottom