Mallerina
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 3,008
- 7,214
Ukishindwa kumhudimia mtoto hio roho mbaya tena ya uchoyoUnahudumia sehemu iliyo sahihi, mfano mtoto si wako, unahudumia ili upate nini?
Ukishindwa kumhudimia mtoto hio roho mbaya tena ya uchoyoUnahudumia sehemu iliyo sahihi, mfano mtoto si wako, unahudumia ili upate nini?
Kuhudumia sehemu unaona umewekwa kimaslahi ujue sio rahisi.Ukimpa visalio points zinaongezeka...
Zikipungua akakuacha basi hakuwa wako wa kudumu!!!!
Pesa zinatafutwa !! Shida inaanza pale alipokupotezea muda kama ulikuwa na malengo nae akazingua baadaeVisalio vilivyopotea, nitavipataje sasa baada ya kuniacha?
Sijawahi kuumia kuhudumia kinacho nikeraga ni pale napo gundua tumepangwa dah yani Huwa nachukia balaa, natamani nitimulie mbali hukoMe sijui kwanini wanaume mnaumiaga kwenye kuhudumia
We kwanini ukubali kuhudumia ukijua hupendwi?Kuhudumia sehemu unaona umewekwa kimaslahi ujue sio rahisi.
Muibe mtoto ukampime d.n.aNami nawaza hivyo hivyo, inawezekana ata kwa huyu mtoto baba akawa mwingine.
Me naona tatizo sio pesa bali ni muda uliopotezewa..muda haurudishwi kamwe!Sijawahi kuumia kuhudumia kinacho nikeraga ni pale napo gundua tumepangwa dah yani Huwa nachukia balaa, natamani nitimulie mbali huko
Umeona eeMe naona tatizo sio pesa bali ni muda uliopotezewa..muda haurudishwi kamwe!
Kuna wakati unayajua baadae sana, japo wengine kupenda ni dhana tu haina uhalisia.We kwanini ukubali kuhudumia ukijua hupendwi?
Unaweza kugharamika hayo yote, mwisho wa siku kukawa kilio.kama unawezaa kumlipia gharama za matibabu ,akaacha kutembea kwa ``kuchechemea fanya halafu
Wanaume wapumbavu na masimp ndio wapuuzi wanaoharibu Jamii ,usimuonee mwanamke huruma owa upumbavu wake ,acha anyooshwe aijue dunia ilivyo ruthless kwa wapumbavu Kama yeye .Don't fall for that trap achana Kabisa na huyo MalayaKuna mpenzi wangu mmoja nilimpenda sana, kuliko yeye alivyonipenda mimi.
Upendo ukawa unaongezeka zaidi, pale ninapokuwa nampa vijisenti.
Baada ya kuona anatumia visalio vyangu vingi, nami nikawa namkomoa kwenye shoo, nikawa nampa shoo kali.
Iliyopelekea, akawa ananikwepa kwepa pale ninapokuwa namuhitaji.
Baada ya muda akawa amebeba ujauzito, ingawa simuamini sana kama yule mtoto ni wa kwangu, ingawa yeye anasema ni wa kwangu.
Mahusiano yetu yakawa ni ya migogoro hasa pale ninaposhindwa kumtumia visalio. Na nilikuwa nafanya makusudi ili niweze kupima upendo wa kweli.
Baada ya muda kupita, kila mmoja akaendelea na maisha yake; ingawa mara moja moja tulikuwa tunawasiliana pale ambapo hasira zinakuwa zimeisha.
Hivi karibuni, alipata ajali iliyopelekea kuvunjika mguu, na kusababisha tembea yake kuwa ya kuchechemea.
Tangu ajali itokee mpaka leo hii, imepita kama miezi sita hivi; sasa leo amenipigia simu na kulalamika watu aliokuwa akiwaamini wamemtelekeza na wamepunguza ukaribu naye.
Kwa hiyo anaomba tusameheane kwa yale yote yaliyotokea, na maisha yasonge mbele; Pia nijiandae mwakani mtoto aweze kwenda shule.
Hapa nilipo natafakari, baadaya kuona anachechemea na watu kutokuwa karibu naye, ndio ameona umuhimu wangu?
Wakuu, ebu nishaurini.
Ukishindwa kumhudimia mtoto hio roho mbaya tena ya uchoyo
Mfano, konde pale anapendwa au ni maslai?We kwanini ukubali kuhudumia ukijua hupendwi?
Pumbavu , kamhudumie mwenyewe Malaya mwenzako Huyo Kama ni rahisi hivyo ,hivi ninyi mabwege sijui huwa mnajionaga akina nani ,so foolishMe sijui kwanini wanaume mnaumiaga kwenye kuhudumia
kama wakUnaweza kugharamika hayo yote, mwisho wa siku kukawa kilio.
ukimrudia labda,nimesema msaidie,..hv unajua hamna kitu inaumiza mtu aliyekutendea ubaya halafu wewe ukamtedea wemaUnaweza kugharamika hayo yote, mwisho wa siku kukawa kilio.
Haya ndio maamuzi ya kiumeAchana na huo upuuzi
Hili jambo nataka nimshirikishe, akiwa mbishi atakuwa amenipunguzia gharama.Muibe mtoto ukampime d.n.a