kirumonjeta
JF-Expert Member
- Feb 9, 2008
- 3,966
- 1,968
Hali ya Ukosefu wa Chakula Nchini imewafanya wakazi wa Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga kufanya Maembe kuwa Chakula
Kikuu
Picha hapa Chini ikimuonyesha Mkuu wa Wilaya hio Akilia baada ya kushuhudia wananchi wakishindia maembe
View attachment 460493
MZK una kifua lakini????? shauri yako