Baa la njaa: Handeni maembe yawa chakula kikuu

Kama Mkuu wa Wilaya analia kwa kuona watu wakila maembe huyo hafai kuwa Mkuu wa Wilaya. Watanzania umefika wakati wa kuacha kukariri, nani kasema maembe hayafai kuwa chakula? Tena mimi naona tungekuwa na vionzozi wenye maono wangehamasisha watu wale maembe kipindi hiki cha msimu wa maembe kwa wingi huku wakihifadhi chakula cha aina nyingine kwa vile maembe hayahifadhiki kwa tekinolojia tuliyo nayo mpaka sasa. Tuna tatizo kubwa la kufikiri. Taarifa kwa wajinga wenzangu, maembe ni chakula ghali dar kuliko hata huo mchele.
Unajua na wewe ni jasiri! Ujasiri wa ajabu sana
 
NAONA HUJUI MAANA YA LISHE KAMILI, UMEKURUPUKIA WAPI
 
Kungekuwa na ukame wa kweli,hata embe wasingepata.Kijiografia Handeni ni wazalishaji wa matunda.
Mie nataka niambiwe Iringa,mbeya rukwa na Ruvuma hakuna mvua mpaka sasa.
Mnaotoa maeneo makavu kama kigezo cha njaa mnajitisha wenyewe tu
 
Kiongozi mwenye mapokeo ya kibinadamu ya kulia katika karne hii? Ok, sawa, huyu kiongozi aliyelia ana huruma sana na binadamu wenzake. Salaaaaale kazi kweli kweli, hivi jamani hivi vichwa vyetu Mungu alitupa tufugie nywele ama?
Wewe unaonesha ni jinsi gani ulivyolelewa kwenye familia katili isiyokuwa na ubinadamu! Gondwe anaonesha jinsi gani alivyo na hisia za kibinadamu, sasa hapo huenda anawaza huku watu wanalia njaa, mkuu anasisistiza hatoi chakula na kama DC natangaza njaa maanake natumbuliwa. Huo ndo ubinadamu mkuu wetu anatakiwa ajitathmini sana aache vitisho kwa ma-DC na RCs ili wafanye kazi zao kwa uhuru. Kilichobaki Gondwe amurudishie kazi yake yeye arudi kwenye utangazaji tu!!
 
Wengine tungewashauri mrudi SHULE tu mkasome upya, tena sio mbali, shule ya msingi tu. Kuna somo nilisoma linaitwa Sayansi kimu (sina hakika kama bado lipo) na wewe ukasome hilo, naona Biology itakua kubwa mno kwako, soma tu Sayansi kimu inakutosha; huko utakutana na vyakula vinaitwa Hamilojo, protein, vitaminis, madini, wanga nk and then kila chakula utafundishwa kina fanya nini mwilini. Nakutakia shule njema.

Wewe bado sana, ndio maana huwezi kuona hoja ya kinachochadiliwa, unakurupuka unadhani rahisi eeenh? Kama wewe umeenda shule vizuri naomba unipe tafsiri yako ya neno chakula, hilo tu, tuone shule yako ya kidato cha nne ikoje kisha tulinganishe na ya kwangu ya 'hamirojo'. Chakula ni nini? Twende kazi
 
Umejieleza vizuri, umeonesha uwezo wako wa kufikiri na umeonesha pia uzoefu wako na zaidi ya yote umeonesha ugumu wako wa kupokea wazo jipya kutoka katika dunia tofauti ya tafakuri na ile uliyoizoea. Nafahaamu huwezi hata kuamini kuwa kuna jamii chakula chao kikuu ni maziwa kwa kuwa tangu utoto wewe maziwa umepikiwa na mama yako kwenye chai. Dunia hii tuliyomo inatuhitaji tufikirie nje ya box, kufikiri nje ya box nako si kazi ndogo, kunahitaji si kubadili fikra tu bali mpaka baadhi ya mila na desturi. Ikiwepo tabia ya kuvumilia wazo gumu usilokuwa na jibu lake badala ya kutumia matusi kujibu hoja

Hebu sema maembe ni chakula cha jamii gani hapa tanzania usioneshe umbumbumbu wako, mbona jbu ni rahisi sana, wapi wanakula maembe kama chakula na si matunda?
 
Wewe bado sana, ndio maana huwezi kuona hoja ya kinachochadiliwa, unakurupuka unadhani rahisi eeenh? Kama wewe umeenda shule vizuri naomba unipe tafsiri yako ya neno chakula, hilo tu, tuone shule yako ya kidato cha nne ikoje kisha tulinganishe na ya kwangu ya 'hamirojo'. Chakula ni nini? Twende kazi
Kwa hiyo kwako chakula ni kujaza tumbo tu? Kazi tunayo kwa kweli!!
 
NAONA HUJUI MAANA YA LISHE KAMILI, UMEKURUPUKIA WAPI

Wewe ndiye ulikurupuka, hapa haizungumziwi lishe kamili kama ambavyo uliwahi kusoma katika somo lako pendwa sayansi kimu, hapa inazungumziwa njaa na sio njaa hunger bali njaa famine. Kama hauko vizuri katika njaya ya food security hapa usisogee, we ishia kuandaa lisha kamili huko jikoni
 
Hebu sema maembe ni chakula cha jamii gani hapa tanzania usioneshe umbumbumbu wako, mbona jbu ni rahisi sana, wapi wanakula maembe kama chakula na si matunda?
Umeeleweka, uelewa wako wa mambo kuna watu unaweza kujadiliana nao, watu wenye akili kama wewe, watu ambao wanafahamu vyakula vya jamii zote za dunia. Hebu nikumbushe chips na chakula cha watu wa jamii gani hapa nchini vile?
 
Kwa hiyo kwako chakula ni kujaza tumbo tu? Kazi tunayo kwa kweli!!

Toa maana ya chakula kama wewe unafahamu unachozungumza acha blah blah kujifanya unajua ukitupiwa vitu unarukaruka! Chakula ni nini? haya twende kazi tena
 
Unajua na wewe ni jasiri! Ujasiri wa ajabu sana

Wewe unafikiri kwa nini watanzania hatupigi hatua kimaendeleo? mambo ya kukariri na kuogopa mambo mapya, uvumbuzi mpaka ufanywe kwingine sisi tuige, likija wazo jipya si kukimbia huko. Azama akikamua robo embe akaweka kwenye box unanunua buku 4 na tubiskuti unakula siku imepita, ukiokota embe zima ukala na kipande cha muhindi unatangaza eti kwenu kuna njaa! Kudadadeki wallah vichwa vyetu
 
Kama Mkuu wa Wilaya analia kwa kuona watu wakila maembe huyo hafai kuwa Mkuu wa Wilaya. Watanzania umefika wakati wa kuacha kukariri, nani kasema maembe hayafai kuwa chakula? Tena mimi naona tungekuwa na vionzozi wenye maono wangehamasisha watu wale maembe kipindi hiki cha msimu wa maembe kwa wingi huku wakihifadhi chakula cha aina nyingine kwa vile maembe hayahifadhiki kwa tekinolojia tuliyo nayo mpaka sasa. Tuna tatizo kubwa la kufikiri. Taarifa kwa wajinga wenzangu, maembe ni chakula ghali dar kuliko hata huo mchele.
nani alikua mbia embe ni chakula wewe elimu yako ya wapi kwamba mtu anaweza kuishi kwa kula maembe tu,kweli Tanzania inavilaza wengi sana
 
Wewe ndiye ulikurupuka, hapa haizungumziwi lishe kamili kama ambavyo uliwahi kusoma katika somo lako pendwa sayansi kimu, hapa inazungumziwa njaa na sio njaa hunger bali njaa famine. Kama hauko vizuri katika njaya ya food security hapa usisogee, we ishia kuandaa lisha kamili huko jikoni

naona kichwa chako kipo kwa ajili ya kufugia nywele na sio kufikiri, usinichoshe mie
 
Gondwe lazima atumbuliwe analia lia kwani kuna njaa yoyote Handeni?Nani katangaza?Maana mwenye data za wapi kuna njaa ni. Mh. Mkuu sana basi.
 
Hata Bukoba kuna sehemu hali ni mbaya wanakula maembe.
Bukoba wasijali wana Ndugu zao ni ma profesa huko harvard,Oxford etc watawatumia USD/POUNDS/EURO lkn wasipowatumia mwafwaaa.
 
Kiongozi mwenye mapokeo ya kibinadamu ya kulia katika karne hii? Ok, sawa, huyu kiongozi aliyelia ana huruma sana na binadamu wenzake. Salaaaaale kazi kweli kweli, hivi jamani hivi vichwa vyetu Mungu alitupa tufugie nywele ama?

Joe Biden Kalia juzi Marekani.............
 
Back
Top Bottom