Hali ya Ukosefu wa Chakula Nchini imewafanya wakazi wa Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga kufanya Maembe kuwa Chakula
Kikuu
Picha hapa Chini ikimuonyesha Mkuu wa Wilaya hio Akilia baada ya kushuhudia wananchi wakishindia maembe
Definition ya njaa ni ipi? Au hadi watu wafe?Kama Mkuu wa Wilaya analia kwa kuona watu wakila maembe huyo hafai kuwa Mkuu wa Wilaya. Watanzania umefika wakati wa kuacha kukariri, nani kasema maembe hayafai kuwa chakula? Tena mimi naona tungekuwa na vionzozi wenye maono wangehamasisha watu wale maembe kipindi hiki cha msimu wa maembe kwa wingi huku wakihifadhi chakula cha aina nyingine kwa vile maembe hayahifadhiki kwa tekinolojia tuliyo nayo mpaka sasa. Tuna tatizo kubwa la kufikiri. Taarifa kwa wajinga wenzangu, maembe ni chakula ghali dar kuliko hata huo mchele.
Hata Bukoba kuna sehemu hali ni mbaya wanakula maembe.Hali ya Ukosefu wa Chakula Nchini imewafanya wakazi wa Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga kufanya Maembe kuwa Chakula
Kikuu
Picha hapa Chini ikimuonyesha Mkuu wa Wilaya hio Akilia baada ya kushuhudia wananchi wakishindia maembe
Mkuu, ni gazeti gani hili?Hali ya Ukosefu wa Chakula Nchini imewafanya wakazi wa Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga kufanya Maembe kuwa Chakula
Kikuu
Picha hapa Chini ikimuonyesha Mkuu wa Wilaya hio Akilia baada ya kushuhudia wananchi wakishindia maembe
eh eh maembe ni chakula ghali dar kuliko hata huo mcheleKama Mkuu wa Wilaya analia kwa kuona watu wakila maembe huyo hafai kuwa Mkuu wa Wilaya. Watanzania umefika wakati wa kuacha kukariri, nani kasema maembe hayafai kuwa chakula? Tena mimi naona tungekuwa na vionzozi wenye maono wangehamasisha watu wale maembe kipindi hiki cha msimu wa maembe kwa wingi huku wakihifadhi chakula cha aina nyingine kwa vile maembe hayahifadhiki kwa tekinolojia tuliyo nayo mpaka sasa. Tuna tatizo kubwa la kufikiri. Taarifa kwa wajinga wenzangu, maembe ni chakula ghali dar kuliko hata huo mchele.
Chief nimekosa maneno ya kukuambia........Kama Mkuu wa Wilaya analia kwa kuona watu wakila maembe huyo hafai kuwa Mkuu wa Wilaya. Watanzania umefika wakati wa kuacha kukariri, nani kasema maembe hayafai kuwa chakula? Tena mimi naona tungekuwa na vionzozi wenye maono wangehamasisha watu wale maembe kipindi hiki cha msimu wa maembe kwa wingi huku wakihifadhi chakula cha aina nyingine kwa vile maembe hayahifadhiki kwa tekinolojia tuliyo nayo mpaka sasa. Tuna tatizo kubwa la kufikiri. Taarifa kwa wajinga wenzangu, maembe ni chakula ghali dar kuliko hata huo mchele.
Jamaa MTU wa ajabu sana, anaandika upuuzi ili kuhalalisha mapenzi yake kwa chama.eh eh maembe ni chakula ghali dar kuliko hata huo mchele
Maembe watakula kwa muda gani? Mkuu wa wilaya kulia siyo tija. Kila mtu anayo aina tofauti ya mapokeo ya kibinadamu ndani ya moyo wake. Kama wewe huna huruma na uchungu ndani ya moyo wako kwa wanadamu wenzako hongeraKama Mkuu wa Wilaya analia kwa kuona watu wakila maembe huyo hafai kuwa Mkuu wa Wilaya. Watanzania umefika wakati wa kuacha kukariri, nani kasema maembe hayafai kuwa chakula? Tena mimi naona tungekuwa na vionzozi wenye maono wangehamasisha watu wale maembe kipindi hiki cha msimu wa maembe kwa wingi huku wakihifadhi chakula cha aina nyingine kwa vile maembe hayahifadhiki kwa tekinolojia tuliyo nayo mpaka sasa. Tuna tatizo kubwa la kufikiri. Taarifa kwa wajinga wenzangu, maembe ni chakula ghali dar kuliko hata huo mchele.
Ndugu umeteleza, wakati mwingine mkitaka kutetea jambo ebu jaribu utumia akili kidogo!! Dar hawali maembe, wala maembe sio chakula Dar ILA tu maembe yanatengeneza Juice. Sasa juice ni chakula?Kama Mkuu wa Wilaya analia kwa kuona watu wakila maembe huyo hafai kuwa Mkuu wa Wilaya. Watanzania umefika wakati wa kuacha kukariri, nani kasema maembe hayafai kuwa chakula? Tena mimi naona tungekuwa na vionzozi wenye maono wangehamasisha watu wale maembe kipindi hiki cha msimu wa maembe kwa wingi huku wakihifadhi chakula cha aina nyingine kwa vile maembe hayahifadhiki kwa tekinolojia tuliyo nayo mpaka sasa. Tuna tatizo kubwa la kufikiri. Taarifa kwa wajinga wenzangu, maembe ni chakula ghali dar kuliko hata huo mchele.
Jamaa MTU wa ajabu sana, anaandika upuuzi ili kuhalalisha mapenzi yake kwa chama.
Ndugu umeteleza, wakati mwingine mkitaka kutetea jambo ebu jaribu utumia akili kidogo!! Dar hawali maembe, wala maembe sio chakula Dar ILA tu maembe yanatengeneza Juice. Sasa juice ni chakula?
Maembe watakula kwa muda gani? Mkuu wa wilaya kulia siyo tija. Kila mtu anayo aina tofauti ya mapokeo ya kibinadamu ndani ya moyo wake. Kama wewe huna huruma na uchungu ndani ya moyo wako kwa wanadamu wenzako hongera