Baa la njaa: Handeni maembe yawa chakula kikuu

Baa la njaa: Handeni maembe yawa chakula kikuu

umepumzika bado unarud ukiwa umepanic


hivi njaa nayo inajadiliwa ndo mnachojifunza huko japan?

utatumia kila aina ya lugha huwez kuondoa uhalisia bado unaomba difinition ya chakula upo jamii forum lakin hufam kama hii mada haipo jukwaa la elimu we vipi???

kamsikilize babu warioba huko wewe ushaanguka umebaki kupwayapwaya

Hee kumbe definition huku jamii forum zinaombwa jukwaa la elimu tu? Asante kwa taarifa. Amakwli kichwa cha kuku
 
DUDE,kauli zako sitaki kusema ni aina gani ,watu wengine wangesema ni aina ya dunderheadism,maembe siyo stepple food,ni moja ya vyakula vinavyoangukia katika fungu la matunda, hivyo kusema nani kasema maembe siyo chakula,
napata shida kuhusu mwalimu aliyekufundisha BIOLOJIA,kwamba watu wahamasishwe kula maembe kama mlo kamili,
hapa watu wanahitaji chakula chakutia kalori mwilini siyo kulinda mwili,mwili unalindwa ukiwa na nguvu,(kalori) siyo wakati huu wa hangerpung,sasahivi kinatakiwa chakula cha dharura,kazi ambayo ingefanywa na wabunge,lakini wamekaa kimya
kana kwamba hakuna njaa,inasikitisha sana,ila watanzania kwakweli si watu wakuwatetea,acha wabunge watunge massheria ya kuwaumiza wapiga kura na njaa ipige tu labda watafunguka sikumoja

Kama ungekuwa na akili ungetoa hoja bila kusema staple food na ni staple food na sio stepple food. Staple is just habit, a routine habit ninyi msiopenda kusoma wala kujishughulisha kufikiri mnaofikiri mgombea wa chama au mkuu wa wilaya ndio anayesema hiki ni chakula hiki sio chakula. Shida inakuja pale ambapo mtu hajui kufikiri na hajui kama hajui. Ukitaka kuzungumzia chakula na njaa lazima na sio hiari ujue chakula ni nini na njaa ni nini vinginevyo itakuwa vituko tu.

Usichanganye mambo, unazungumzia nini balanced diet au njaa?
 
Maembe Ni chakula au Ni matunda? Umechemsha. Nadhani tuache Siasa kwenye maisha ya watu, ukweli unabaki pale pale kuwa kuna njaa. Kauli eti bei ya chakula imepanda kwa sababu chakula kinanunuliwa na nchi jirani si ya kweli kwani mahindi yanatoka Uganda kupitia Kenya na kuuzwa Rombo.
 
Hali ya Ukosefu wa Chakula Nchini imewafanya wakazi wa Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga kufanya Maembe kuwa Chakula
Kikuu
Picha hapa Chini ikimuonyesha Mkuu wa Wilaya hio Akilia baada ya kushuhudia wananchi wakishindia maembe




View attachment 460493

Hii clip ya video umeitoa wapi?!!
1. Maana yaonekana imepigwa na mtaalamu wa video
2. Haikurekodiwa kwa simu, jinsi ilivyotulia
3. Haikurekodiwa kwa simu, quality ya sauti.

Who are you? Jitambulishe MZK
 
Mhe. Rais alikosea kusema kuwa hakuwaambia watu walazimishe kulima mahindi tu katika maeneo yenye ukame na hatapeleka chakula. Kilichotakiwa nikufanya tathmini ya hali ya chakula katika maeneo yaliyoathirika na kujua idadi ya kaya zinazohitaji msaada. Mentality ya Mhe. Rais ni kuwa katika majanga kama haya wengine ndo ilikuwa nafasi zao za kupiga. Vingozi mlio karibu na Rais mpeni ushauri mzuri kwa maslahi ya maendeleo ya nchi yetu. Hizi kauli watu ni vigumu sn kuzisahau wakati baada ya miaka michache tu ijayo inabidi kuzunguka kuomba tena kupewa ridhaa ya wananchi ambao umekuwa ukiwadhihaki
 
Waacheni watu wawatu Wa marehemu kigoda ...Ccm vs handeni dam dam ....
 
Kama Mkuu wa Wilaya analia kwa kuona watu wakila maembe huyo hafai kuwa Mkuu wa Wilaya. Watanzania umefika wakati wa kuacha kukariri, nani kasema maembe hayafai kuwa chakula? Tena mimi naona tungekuwa na vionzozi wenye maono wangehamasisha watu wale maembe kipindi hiki cha msimu wa maembe kwa wingi huku wakihifadhi chakula cha aina nyingine kwa vile maembe hayahifadhiki kwa tekinolojia tuliyo nayo mpaka sasa. Tuna tatizo kubwa la kufikiri. Taarifa kwa wajinga wenzangu, maembe ni chakula ghali dar kuliko hata huo mchele.
inauma sana jiran yako anaumwa NJAA halafu wew unaleza mzaha!! Dah! Kweli aliyeshiba hamjui mwenye njaa!...mungu awasaidie" wote!
 
Kama Mkuu wa Wilaya analia kwa kuona watu wakila maembe huyo hafai kuwa Mkuu wa Wilaya. Watanzania umefika wakati wa kuacha kukariri, nani kasema maembe hayafai kuwa chakula? Tena mimi naona tungekuwa na vionzozi wenye maono wangehamasisha watu wale maembe kipindi hiki cha msimu wa maembe kwa wingi huku wakihifadhi chakula cha aina nyingine kwa vile maembe hayahifadhiki kwa tekinolojia tuliyo nayo mpaka sasa. Tuna tatizo kubwa la kufikiri. Taarifa kwa wajinga wenzangu, maembe ni chakula ghali dar kuliko hata huo mchele.
Wewe kweli ni bendera. Nadhani nishaeleweka.
 
20170121_080048.png

Hee kumbe definition huku jamii forum zinaombwa jukwaa la elimu tu? Asante kwa taarifa. Amakwli kichwa cha kuku
 
Huo ndio uwezo wetu watanzania wengi tusioweza kufikiri. Mawazo mapya hatuyakubali ilhali wenyewe hatuwezi kufikiri, hata kama ukweli tunauona, tunaukataa kwa vile si desturi yetu ukweli huo kuishi miongoni mwetu. Kama ambavy tunatofautiana uwezo wa kubeba mizigo kutokana na utofauti wa ukubwa wa miili yetu hivyo hivyo tunatofautiana kufikiri, kama huamini fikiri halafu uibuke na hoja tofauti, isiwe kituko, kiroja wala matusi


Tufanye nimekuelewa, hebu nielekeze sasa hayo maembe unakulaje sasa? B/fast, Lunch & Dinner.
 
Back
Top Bottom