Ha ha ha! we jamaa bhana........Sasa Jembe ni nani?Obama nae ni failure tu
Ha ha ha! we jamaa bhana........Sasa Jembe ni nani?Obama nae ni failure tu
Nyooooeh eh maembe ni chakula ghali dar kuliko hata huo mchele
Anaogopa kutumbuliwa huyo,ngoja raia waanze kufa kwa kukosa chakulaLeo mh Godwin Gondwe amekanusha habari hii akiwa kwenye kipindi cha clouds 360. hakuna ukweli wowote kwenye habari hii. japo amekiri kuwa hali sio nzuri huko tuendako, na kwa maana hiyo amewwahamasisha watu wake kulima mihogo badala ya mahindi.
Analia kwakuwa mtukufu alisema Wilaya itakayopata njaa DC hatoshi nalilia u-DCMmmhh.. huyo ni Godwin Gondwe, kwa hiyo njaa imeingia Handeni.?
Domokaya Handeni kuna njaa mimi na wewe nyuma ya keyboards tutabishana tu lakini Mkuu wa Wilaya keshasema sehemu kubwa ya kaya Sindeni, kidereko etc kuna uhaba wa vyakula na msaada unahitajika. Maembe ndio supplement ya vyakula kwa sasa. Msimu unapita huu wa maembe what is next..tuache siasa kama unavyosema Mkuu wa Wilaya analia si kwamba anapenda ila analojibu anashindwa njaa aipe jina gani wahanga walikubali?Watu tunakimbia kujadili ukweli, kujadili kiini ili tujue tuna tatizo au hatuna. Tukipata tafsiri ya chakula ni nini? Ukosefu wa chakula ni nini? Kiwango gani cha ukosefu wa chakula kinatafiriwa kama baa la njaa. Je ni ukosefu wa kaya ngapi? Je ni uwezo wa kununua au kutokuwepo kabisa hata hicho cha kununua? Inawezekana kabisa kaya moja au mbili za walevi wakakosa chakula wakala maembe kwa ulevi wa wakuu wao wa kaya, je hawa nao wana njaa au wana baa la njaa? Tuache unafiki, tuache kufikiri kwa hisia, tu u face ukweli. Siasa siasa za kitoto hizi hazitupeleki popote
Analia kwakuwa mtukufu alisema Wilaya itakayopata njaa DC hatoshi nalilia u-DC
Tena Ukila maembe mfululizo mwili unaisha unapungua zaidi ya mtu anaeharaWewe ni mpumbavu wala siwezi kufanya argument na wewe, lini umesikia maembe, nanasi, parachichi yamekuwa chakula cha watu kushindia mchana na jioni?. Hivo vitu ni matunda yanayopaswa kuliwa baada ya mtu kula. Matunda kuwepo kwenye makundi ya vyakula vinavyotakiwa kiafya havifanyi viwe vyakula vya mtu kushindia. Inawezekana wewe ni mhaya au mchaga huko watu chakula kikuu ni ndizi, kanda ya ziwa ni ugali na wali kwa shinyanga na mwanza, huko nyanda za juu kusini ni wali, pwani ni wali. Hebu nambie maembe au nanasi ni chakula kikuu cha watu gani hapa tz?. Wewe mama yako amewahi kutenga maembe mezani kama chakula cha mchana na baadaye jioni na kesho ikawa hivyo?. Sipendagi matusi ila wewe naona una kichwa kikubwa kisicho na akili kama sufuria bila maji.
Umejieleza vizuri, umeonesha uwezo wako wa kufikiri na umeonesha pia uzoefu wako na zaidi ya yote umeonesha ugumu wako wa kupokea wazo jipya kutoka katika dunia tofauti ya tafakuri na ile uliyoizoea. Nafahaamu huwezi hata kuamini kuwa kuna jamii chakula chao kikuu ni maziwa kwa kuwa tangu utoto wewe maziwa umepikiwa na mama yako kwenye chai. Dunia hii tuliyomo inatuhitaji tufikirie nje ya box, kufikiri nje ya box nako si kazi ndogo, kunahitaji si kubadili fikra tu bali mpaka baadhi ya mila na desturi. Ikiwepo tabia ya kuvumilia wazo gumu usilokuwa na jibu lake badala ya kutumia matusi kujibu hoja
Ewaaaa...... Maana njaa haiondoki kwa kulia, "kitumbua kuingia mchanha"Mm pia nahisi hivyo, kuwa analia sbb atapoteza kazi, ila sio sbb watu wana njaa..
Tena Ukila maembe mfululizo mwili unaisha unapungua zaidi ya mtu anaehara
Sijakuelewa mkuu kakubali kuwa njaa ipo au haipo? Na taarifa zikizotolewa niza kweli?Ninamuona DC Gondwe akikanusha Clouds 360 kwa kuuliza "kwenye ukame maembe yanaweza kukomaa".
Lakini ameshindwa kusema alitumia jitihada zipi kwa msimu wa kilimo uliopita katika kujihakikishia wilaya yake haina njaa.Aina hii ya viongozi ni hatari sana.
Hali ya Ukosefu wa Chakula Nchini imewafanya wakazi wa Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga kufanya Maembe kuwa Chakula
Kikuu
Picha hapa Chini ikimuonyesha Mkuu wa Wilaya hio Akilia baada ya kushuhudia wananchi wakishindia maembe
View attachment 460493
du sijui umeenda shule gani. embe ni chakula kwa misingi ipi. embe ni tunda na hutumika kama kirutubisho tu katika mwili na hata ule vipi embe haikai tumboni ili kukuletea nguvu kama wanga ndugu kasome darasa la nne utaambiwa tofauti kati ya matunda na vyakulaKama Mkuu wa Wilaya analia kwa kuona watu wakila maembe huyo hafai kuwa Mkuu wa Wilaya. Watanzania umefika wakati wa kuacha kukariri, nani kasema maembe hayafai kuwa chakula? Tena mimi naona tungekuwa na vionzozi wenye maono wangehamasisha watu wale maembe kipindi hiki cha msimu wa maembe kwa wingi huku wakihifadhi chakula cha aina nyingine kwa vile maembe hayahifadhiki kwa tekinolojia tuliyo nayo mpaka sasa. Tuna tatizo kubwa la kufikiri. Taarifa kwa wajinga wenzangu, maembe ni chakula ghali dar kuliko hata huo mchele.
Kutoka kwangu msimu wa maembe ndio msimu nguo zinavuka watu hata mimi yashanikuta ukila sana yanakondeshaEeeehh..!! Where did you learn this.?
Ndg njaa ni hayo unayoyasema kukosa uwezo wa kujinunulia chakula.Anhaaaa, kumbe Handeni kuna chakula ila watu hawana uwezo wa kununua? Hivyo njaa hii haina uhusiano na ukame unaohubiriwa? Kaya ngapi hizo hazina uwezo wa kununua chakula handeni? Nani anayejua hesabu yake? Hivi kaya zikikosa uwezo wa kujinunulia chakula kumbe nchi inakuwa na baa la njaa?
Vp ungependa hili litokee ili kusudi gondwe aonekane hana maana??Anaogopa kutumbuliwa huyo,ngoja raia waanze kufa kwa kukosa chakula