domokaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2010
- 3,588
- 1,760
Tatizo mkishashiba huwa mnatoa maneno machafu tu.
Sizani kama maembe ni mlo kamili.
Kama unazungumzia suala la kudhani sasa wewe hujui unachokizungumza na pia sio sizani ni sidhani. Haya mambo yanahitaji weledi kuyazungumzia, ni body of knowledge, inaitwa food security. Kipi unachozungumzia wewe kati ya njaa au mlo kamili? Kwa hiyo kama mtu hapati mlo kamili huyo ana njaa? Duuh, kazi kweli kweli, ndio maana nasema unaweza ukadhani kufikiri si kazi lakini unapotakiwa ufikiri kwa njia ya kujibu hoja hapo ndipo utaona kuwa kuna watu wana uwezo wakufikiri zaidi yako