Aisee inawezekana wewe ni jamii ya ngedere chakula chenu ni maembe, ila mimi najua kwa jamii za kitanzania maembe ni tunda linaloliwa baada ya kupata chakula rasmi kama wali, ugali nk. Chipsi siyo chakula ndiyo maana hata mama yako hajawahi kupika chipsi mchana akawapa wewe na baba yako mkala, akarudia jioni ndani ya wiki nzima. Chipsi huliwa kwa hamu tu na hasa na wadada na wanaume wenye hulka za kike kama wewe (endapo wewe waweza kula chipsi kila siku kwa siku 7 asubuhi na jioni). Unajitia mgumu wa kuelewa unaambiwa maembe ni matunda na hayawezi kutengwa ili familia ile asubuhi na jioni kama hakuna njaa kwenye jamii unajitia mjuvi wa mambo kenge wewe.