Dr. Msafiri
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 471
- 154
Baada ya kulia inabidi ajiuzulu!
nani alikua mbia embe ni chakula wewe elimu yako ya wapi kwamba mtu anaweza kuishi kwa kula maembe tu,kweli Tanzania inavilaza wengi sana
Nasikia kwa sasa huko Dodoma ndio wako kwa wingi sana.Hivi Viwavi bado wanapatikana Singida
Joe Biden Kalia juzi Marekani.............
Ndg tumia akili walau kidogo ya shuleni. Yangu lini embe likawa ktk group LA chakula? Embe ni tunda ambalo huliwa pamoja na chakula. Nitunda lisilokaa sana tumboni, nguvu yake inayotolewa mwilini ni mdogo sana kwa mwili mzima kuitegemea.Kama Mkuu wa Wilaya analia kwa kuona watu wakila maembe huyo hafai kuwa Mkuu wa Wilaya. Watanzania umefika wakati wa kuacha kukariri, nani kasema maembe hayafai kuwa chakula? Tena mimi naona tungekuwa na vionzozi wenye maono wangehamasisha watu wale maembe kipindi hiki cha msimu wa maembe kwa wingi huku wakihifadhi chakula cha aina nyingine kwa vile maembe hayahifadhiki kwa tekinolojia tuliyo nayo mpaka sasa. Tuna tatizo kubwa la kufikiri. Taarifa kwa wajinga wenzangu, maembe ni chakula ghali dar kuliko hata huo mchele.
embe hawezi kula mtu siku nzima akaenda kulala labda wewe kwenu wapi mnakula hivoMimi ni kilaza sawa nakubali, haya weye usiye kilaza toa tafsiri ya neno chakula halafu tujue nini ni chakula na nini ni chakula sio kuleta vumbi hapa. Chakula ni nini? Kwa nini Embe sio chakula? Kama unaweza tujadili, wenzako wamekimbia baada ya kwenda ku google!
Mkuu jaribu tuone kama hutavinja choo....utaharisha mpaka ukomeKama Mkuu wa Wilaya analia kwa kuona watu wakila maembe huyo hafai kuwa Mkuu wa Wilaya. Watanzania umefika wakati wa kuacha kukariri, nani kasema maembe hayafai kuwa chakula? Tena mimi naona tungekuwa na vionzozi wenye maono wangehamasisha watu wale maembe kipindi hiki cha msimu wa maembe kwa wingi huku wakihifadhi chakula cha aina nyingine kwa vile maembe hayahifadhiki kwa tekinolojia tuliyo nayo mpaka sasa. Tuna tatizo kubwa la kufikiri. Taarifa kwa wajinga wenzangu, maembe ni chakula ghali dar kuliko hata huo mchele.
naona kichwa chako kipo kwa ajili ya kufugia nywele na sio kufikiri, usinichoshe mie
Tumia hata 0.1 ya uwezo wa akili yako mkuuKama Mkuu wa Wilaya analia kwa kuona watu wakila maembe huyo hafai kuwa Mkuu wa Wilaya. Watanzania umefika wakati wa kuacha kukariri, nani kasema maembe hayafai kuwa chakula? Tena mimi naona tungekuwa na vionzozi wenye maono wangehamasisha watu wale maembe kipindi hiki cha msimu wa maembe kwa wingi huku wakihifadhi chakula cha aina nyingine kwa vile maembe hayahifadhiki kwa tekinolojia tuliyo nayo mpaka sasa. Tuna tatizo kubwa la kufikiri. Taarifa kwa wajinga wenzangu, maembe ni chakula ghali dar kuliko hata huo mchele.
embe hawezi kula mtu siku nzima akaenda kulala labda wewe kwenu wapi mnakula hivo
Huku tabu tupu Leo kuku Wangu nimeshuhudia wanakula mchanga sasa so bora wangekuwepo viwavi wangekulaHivi Viwavi bado wanapatikana Singida
Tumia hata 0.1 ya uwezo wa akili yako mkuu
From domokaya 0 brainUngejibu hoja angalau ungetumia 0.0000001 ya IQ yako lakini sasa kwa kuandika hivyo umetumia hisia zako na 0 per cent ya IQ yako
Ndg tumia akili walau kidogo ya shuleni. Yangu lini embe likawa ktk group LA chakula? Embe ni tunda ambalo huliwa pamoja na chakula. Nitunda lisilokaa sana tumboni, nguvu yake inayotolewa mwilini ni mdogo sana kwa mwili mzima kuitegemea.
Ndio maana unakuta mtu anakula maembe na mwili wake unadhoofu labda aongeze na chakula kikuu kwa ajili ya nguvu
Lowassa long liveNdio maana wengine tunamuunga mkono Zitto.
From domokaya 0 brain
Mkuu jaribu tuone kama hutavinja choo....utaharisha mpaka ukome
Tumeshazoea hayo majibu ya watu walioshindwa hoja, hapa hoja tu, huna nenda katika vijiwe vyenu vya kahawa na uzushi, una hoja weka mezani, hapa ndio JF bwana, biashara ni hoja
uuna hoja au kihoja , wala sikushangai maana jina lako linajielezea vizuri, huna jipya