Azam TV sio kila mteja wenu ni islamic

Azam TV sio kila mteja wenu ni islamic

Kila baada ya nusu saa "Ramadhan Kareem"

So boring [emoji855][emoji855][emoji855]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini mnauogopa sana uislam ma kuwachukia waislam? Tukiwa huku maofisini tena ofisi za umma mnapiga nyimbo za injili, maombi ya Mwamposa kwa kutumia computer za umma au kwenye magari ya umma bila hata kuwa na eyephome au headphones ila Muislam akiweka kaswida au Qur'an mnaanza majungu. Na sisi hatutii neno!

Sent from my itel W5001P using JamiiForums mobile app
 
Napenda niwatakie mfungo mwema waislam wote kipindi hiki cha Ramadhani. Ningependa kuwaongelea hawa jamaa wa Azam Tv hasa sinema zetu.

Kipindi hiki cha corona na huu mwezi mtukufu Ramadhani mmekuwa too much filamu zenu zote ni za kidini mwanzo mwisho kana kwamba kila mteja wenu ni muislam jaribu kubalance mnakera.
Hawa walikosea tangu mwanzo walipoingiza channels nyingi tu za kiislam kasoro chanel ya kikristo hata moja tu

Na ndio maana mimi hata kama ningetamani kununua Azam walau kwa ajili ya ligi,

Niliona ni afadhali nikajinunulie Statimes!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
King'amuzi cha Azam hata channels za kikristo zipo nyingi hadi kina mwamposa live ,nenda kwenye others kule kuna channels nyingi za mahubiri na kwaya
Asante kaka[emoji38][emoji38][emoji38]
Wewe ndio hujui unachoandika Mwanangu
Kwenye Azam Tv kuna channels ngap??
Kila channel ina Tamthilia Siku hizi.

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Mbona uku mtaani kila raia kawa mwema tu kisa mwezi....sasa ww unamaind nn maana nazo ni filamu mkuu

Tujifukize kwa tangawizi na limau nyingi
 
Hawa walikosea tangu mwanzo walipoingiza channels nyingi tu za kiislam kasoro chanel ya kikristo hata moja tu

Na ndio maana mimi hata kama ningetamani kununua Azam walau kwa ajili ya ligi,

Niliona ni afadhali nikajinunulie Statimes!

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu wengi wanaolalamika humu tatizo ni hawataki kuelewa channel ya sinema zetu sio ya kidini yeye azam angeanzisha chanel ya kidini kama lengo ni hilo muda huu watu wengi tupo nyumbani hatuna sehemu ya kwenda Tv ndio sehemu iliyobakia ila kila ukifungulia hiyo channel unakutana na mashekh na maostadh sijakataa ila ingekuwa kwenye channel special ya mambo hayo ,ila humu utasikia maneno mengi makelele ambayo point ni zero.
 
King'amuzi cha Azam hata channels za kikristo zipo nyingi hadi kina mwamposa live ,nenda kwenye others kule kuna channels nyingi za mahubiri na kwaya

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Anajua Chanel zote zilipo tatizo hujamuelewa shida yake yeye Ni hiyo Chanel inayo onesha filamu Zina muelekewo wa kiislamu silamu ndio kinacho mkera ndio maana akasema waibadilishe jina iitwe Islamic tv
 
Religious Population ya Tanzania ni Islam & Christianity.

Hakuna namna utaweza kukwepa hizi "festive mood" kwenye media zetu hizi. Hata wakati wa Xmass Azam wanakuwa na mood za "noeli" mwanzo mwisho. Eid, Pasaka pia.

Angalia hata maombolezo nyakati za msiba, tunatumia sana kwaya kuanzia Azam mpaka TBC huko. Na fresh tu!

Siku za Ijumaa vipindi vya televisheni almost vyote vinaweka kipindi cha kiislamu na Jumapili vinaweka kipindi cha Kikristo.

Mkuu unaishi Tanzania kweli?
 
Wanadai hata huko majuu wakati pasaka na Xmas vipindi vyao na filamu huwa zinahusiana na mantiki hiyo..
Tuheshimu dini na imani za watu. Tukumbuke tuko kama nusu nusu kwa population...
 
Napenda niwatakie mfungo mwema waislam wote kipindi hiki cha Ramadhani. Ningependa kuwaongelea hawa jamaa wa Azam Tv hasa sinema zetu.

Kipindi hiki cha corona na huu mwezi mtukufu Ramadhani mmekuwa too much filamu zenu zote ni za kidini mwanzo mwisho kana kwamba kila mteja wenu ni muislam jaribu kubalance mnakera.
Kanunue kingamuzi cha TING
 
Hili ndio tatizo la umaskini wa mawazo,na akili ndogo,baada ya AZam kuanza,sie wadau tulitaka iwe tv station inayoenda zaidi ya mipaka ya dini(za wamiriki),tulitaka iwe channel ya Kitaifa,kimataifa kwa kuwa na viwango kama citizen kenya,SABC ya south Africa,sasa hii mambo ya kutuwekea mamuvi ya kidini,kihindi,inakuwa too much,

Hata ukipanda boat za azam za kwenda Zenj,matangazo mengi yamekaa kidini dini tu,inatakiwa iwe secural,sio kuwa biased na uislam,kama ni chanel ya taasisi ya kidini,tuambieni,tuame

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ulilazimishwa?
 
Wagalatia mnapenda kulalamika, Udini umekuzidini,karibu mtatwambia Ramadhan nayo tusifunge ni hatari kwa afya.

Lakini kwanini unga'ang'anie kuangalia kitu ambacho hukipendi?

Unakwenda kufanya nini Znz wakati wakaazi wake aslimia 95 Ni waislam

Halafu jifunze kiswahili neno Ni WAMILIKI sio WAMIRIKI

Hama tu mkuu,hamna atakae kumiss
Hili ndio tatizo la umaskini wa mawazo,na akili ndogo,baada ya AZam kuanza,sie wadau tulitaka iwe tv station inayoenda zaidi ya mipaka ya dini(za wamiriki),tulitaka iwe channel ya Kitaifa,kimataifa kwa kuwa na viwango kama citizen kenya,SABC ya south Africa,sasa hii mambo ya kutuwekea mamuvi ya kidini,kihindi,inakuwa too much,

Hata ukipanda boat za azam za kwenda Zenj,matangazo mengi yamekaa kidini dini tu,inatakiwa iwe secural,sio kuwa biased na uislam,kama ni chanel ya taasisi ya kidini,tuambieni,tuame

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila baada ya nusu saa "Ramadhan Kareem"

So boring [emoji855][emoji855][emoji855]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona kwenye bank nyingi kipindi cha x mass huwa wanaweza sana miziki ya injili, machapisho mbalimbali yenye maudhui ya kikristo. Hata vile vyombo vya habar vyenye wamiliki wakristo huwa ni hivyo wakati wa kwaresma na x mass, sasa kwa kuwa mmiliki wa Azam ni muislam anaweka maudhui hayo.
Vumilia tu ndiyo uungwana , ukishindwa hama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napenda niwatakie mfungo mwema waislam wote kipindi hiki cha Ramadhani. Ningependa kuwaongelea hawa jamaa wa Azam Tv hasa sinema zetu.

Kipindi hiki cha corona na huu mwezi mtukufu Ramadhani mmekuwa too much filamu zenu zote ni za kidini mwanzo mwisho kana kwamba kila mteja wenu ni muislam jaribu kubalance mnakera.
Mkuu haya malalamiko ni ya kwako au umetumwa na wife?

Kichwa cha familia unakaa sebuleni unaangalia sinema zetu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom