Awamu ya Kwanza Kampeni ya Dr. Slaa kuelekea Ikulu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Awamu ya Kwanza Kampeni ya Dr. Slaa kuelekea Ikulu

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Superman, Aug 30, 2010.

 1. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2010
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
 2. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #2
  Aug 30, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Kila Slaa akitoka na kashfa za hawa jamaa wanaahidi kwenda mahakamani na kila akiwaambia waende ushahidi upo wanafyata mkia. Si mnakumbuka ile kashfa aloitoa ya kupitisha bandarini magari ya CCM bila ushuru? Mzee wa propaganda za CCM kupitia TBC1 alisema kuwa wamechoshwa na uzushi na Slaa alipowaambia waende mahakamani, mpaka leo wako kimya. So Slaa hakurupuki wakubwa, kama ni data hapo ndo nyumbani kwake!
   
 3. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #3
  Aug 30, 2010
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Genakai . . . . naona kama sasa hivi ni kama kunapambazuka, asubuhi bado wala mchana . . . .

  Duru za habari zilisema mwanzo kuwa Dr. Slaa ana mabomu kama 9 hivi . . . sina uhakika kama ameanza kuyatumia . . .

  Kazi kweli kweli.
   
 4. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #4
  Aug 30, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  ngoja nilipie kabisaaaa fokoda bundle za kutosha ili nisikose mambo haya maana hawakawii kununua bandle zote tukose kusurf hapa
   
 5. Plato

  Plato JF-Expert Member

  #5
  Aug 30, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 421
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 33
  Asante.kinana asituharibie uhondo.slaa nenda,achana na viherehere wa kikwete
   
 6. MwanaHaki

  MwanaHaki R I P

  #6
  Aug 30, 2010
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,403
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 145
  Slaa fanya kazi yako, hawa watu WAKAPUMZIKE! Kazi imewachosha, akili zao zimedumaa, hawana jipya la kufikiria!
   
 7. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #7
  Aug 30, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  wala usiwe na wasiwasi...

  kinana si mwenzetu, ni msomali na hayo mambo ya kumiliki meli ndo kabisaaaaa yanaendana na story fulani... i dont like this guy because he thinks he is everything
  Kuna issue siku moja nilikutana nayo alikua anashuka kwenye ndege akataka wote tumpishe ashuke kwanza... bahati nzuri tulikua na vijana wa leo, walimpa za uso na hata akawa depressed

  he is a hell of character
   
 8. Makanyaga

  Makanyaga JF-Expert Member

  #8
  Aug 31, 2010
  Joined: Sep 28, 2007
  Messages: 2,498
  Likes Received: 127
  Trophy Points: 160
  Superman:
  Hapana umekosea, siyo kwamba ana mabomu,... ni kwamba "amebeba makombora 20" hivyo anatembea nayo usiku na mchana. Kombora na Bomu ni vitu viwili tofauti sana. Pia inasemekana kuwa wanasiasa uchwara watakaomwingia vibaya, kuna chances kwamba wanaweza wakamwongezea kombora zingine mbili au tatu. Yaani chukulia tu kwamba mpaka mda huu, ana makombora angalau 21, mabomu hana kwa sababu yale huwa yana hatari ya kumlipukia hata mbebaji. Yeye ana makombora tu basi, mabomu wala hayahitaji!
   
 9. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #9
  Aug 31, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  We should not waste our time talking about Kinana bse sidhani kama ana uchungu na hii nchi kama meli yake inashiriki kukwapua nyara za serilkali
  Chonde Slaa ebu fuatilia ile Uranium ya Namtumbo naona kama tunaibiwa
   
 10. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #10
  Aug 31, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  wakuu please someone tell me Kinana ni kabila gani?
   
 11. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #11
  Aug 31, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Heshima kwako Utingo,

  Mkuu wangu Kinana ni Msomali kwa asilimia 100.Kinana ni mwenyekiti wa watanzania wenye asili ya Somalia hapa Tanzania na Kenya.

  Madhumuni ya chama cha wasomali ni kuhakikisha wasomali wanasaidia / kuwaunganisha na viongozi wa juu wa cham na serekali ili biashara zao halali na haramu ziende vizuri.

  [1] kuwasaidia wasomali wenzano walioko Somalia kupata uraia kwa njia haramu na halali.

  [2] kuwasaidia wasomali kushiriki na kupata nafasi za kisiasa ili baadae wawalinde wasomali na hili tayari linafanyika bila watanzania kushtuka.Niliwahi kuwaambia Bashe,Rage na Batilda watasumbua sana katika chaguzi za mwaka huu lakini mitanzania haikustuka wapi wanakochota fedha za kufadhili kampeni zao.Zipo habari za uhakika Bashe alikuwa akimwaga fedha huko Nzega huku vyombo vya dola vikimkodolea macho.

  [3] Kinana hana chembe ya uadilifu ni mtu ambae amehahakisha siku zote anakuwa karibu na watawala ili kufanikisha uovu wake.Kinana kuwa kampeni manager wa Kikwete si bahati mbaya bali ni mpango wa wasomali wanaomsaidia kwa hali na mali kufika hapo alipo.
   
 12. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #12
  Aug 31, 2010
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  kinana akisaidiana na sitti mwinyi ndo waliouza Loliondo na ndio wanashiriki kuamisha Twiga hai kwenda Arabuni subirini slaa ampe Kombora kali la Scud, that man is dirty.
   
 13. e

  emalau JF-Expert Member

  #13
  Aug 31, 2010
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 1,177
  Likes Received: 272
  Trophy Points: 180
  Aisee ! Slaa ametustua kitu, Kinana si msomali !? unaweza kukuta anahusika katika utekaji wa meli !
   
 14. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #14
  Aug 31, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hii kali kabisa, only in Tanzania
   
 15. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #15
  Aug 31, 2010
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mbali na biashara chafu ya Pembe za Ndovu nini anafanya huyu jamaa maana haeleweki kabisaaaaaaaaaaaa ukute ule mtandao wa maharamia wa meli pia anausika napata shaka kuhusu huyu kiumbe!
   
 16. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #16
  Aug 31, 2010
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Du! Kijana una hatari wewe . . .
   
 17. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #17
  Aug 31, 2010
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Pia habari za ziada, ni Mkurugenzi wa Benk ya Stanbic Tanzania!
   
 18. Beauty

  Beauty JF-Expert Member

  #18
  Aug 31, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 540
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hili si lakupuuzwa kbs wadau.
   
 19. Beauty

  Beauty JF-Expert Member

  #19
  Aug 31, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 540
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  na usikute yeye ndiye mmiliki wa mradi wa wale 'Samaki wa Magufuli'.
   
 20. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #20
  Aug 31, 2010
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,502
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Hii nayo vipi??

  Habari nzima soma hapa: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/12529-abdul-rahman-kinana-who-is-he-5.html
   
Loading...