AU's dilemna and the Libyan crisis

AU's dilemna and the Libyan crisis

The African leaders have no credibility whatsoever kwenye hili; wangekuwa ni watu ambao nchi za Magharibi zingeweza kuwachukulia kwa umakini tungeona wameweza kwenda kuingilia kati ujinga wa Ivory Coast au hata Somalia hapo. Kama wako tayari kweli kuona Coalition inasitisha wawe tayari kupeleka vikosi vyao vya kutunza amani na kusimamia mchakato wa kuingiza Demokrasia Libya; kwa gharama zao wenyewe na kutumia uwezo wao kutengeneza no fly zone kumzuia Gadaffi kushambulia watu wake. Until then, the Mad Man Gaddafi must be halted immediately.
 
Sijui kama wengi mmesikia statements ya kutoka AU, wakina Kikwete. Gadaffi ameomba statement ya ku-condemn UN coalition kwa kumchukulia hatua. Leo AU panel on Libya wame-issue statement kwa UN Coalition to stop bomb Libya.
African Union demands 'immediate' halt to Libya attacks - Yahoo! News
BBC News - Libya: UK forces prepare after UN no-fly zone vote

Questions to AU Libyan Panel:
1. Mlikuwa wapi, wakati Gadaffi anawaua wananchi wake? Hizi habari za mauaji ya Gadaffi si zilikuwa kwenye news kila mahali na sasa ni mwezi mmeibuka. UN resolutions ilipokuwa inazungumziwa nyie sio member wa UN?
2. Maana ya statement yenu ni nini? Arab League wamei-endose na kukubaliana umuhimu wa "No-fly zone" nyie ndio mna mtazomo mzuri peke yenu kuhusu Libya?
3. Kwanini viongozi wa Africa hamkui? When you guys are going to be on side of the people?
 
Mkuu.
Nani aliandaa hiyo draft ya resolution?
Kama wao wanatekeleza kazi waliyopewa tu!!
Walioandaa resolution ni Lebanon na Arab League.

Somalia ni mzozo wa miaka zaidi ya 20 sasa, West na US mbona hawaingilii kati kuzuia mauaji ya raia wasio na hatia wala silaha?
Mwanzoni mwa miaka ya 90 UN ilipeleka majeshi Somalia, wanajeshi 50 wa India au Pakistan wakaishia kuchinjwa kama kuku, sasa hivi kuna majeshi ya kulinda amani ya AU kutoka Uganda na kila siku yanashambuliwa laini hatusikii mtu analalamika.

NATO na US wanaua raia wasio na hatia wala silaha huko Iraq na Afghanistan. Sasa niambie mkuu kule wametumwa na nani?
Majeshi ya kimarekani na NATO yamebaki kwenye advisory na training capacity uko Iraq sio tena kwenye mission.

Kuhusu Afghanistan well USA walikuwa attacked na Al Qaeda ambao wamepewa hifadhi Afghanistan therefore US kama taifa lolote walikuwa provoked, isitoshe waliwaambia Taleban wawasalimishe perpetrators lakini kwa kiburi cha Taleban wakagoma ulitegemea wafanye nini? Heck ata ingekuwa serikali ya Tanzania imeshambuliwa ningetegemea wangefanya the same thing kama US.

Why Libya?
Kwa sababu rebels wakishirikiana na Arab League wameomba msaada wa International community na jumuiya ya kimataifa imeridhia ndio maana tuko kwenye hii hali.

Libya tayari alikuwa anasupply mafuta yake kwa wingi nchi za magharibi na kulikuwa hakuna tatizo lolote isitoshe makampuni mengi tu ya Uingereza yalikuwa yamesaini mikataba na NOC.
 
Uonevu tu, jana nilisikiliza taarifa RM Radio Gadafi kamuuliza Obama yangekuwa kwako ungewaangalia tu waasi wakifanya vurugu au?
 
Hivi nyie mnaolalamika Gaddafi anaonewa mlikuwa wapi wakati Serikali ya Tanzania inatuma majeshi kwenda kumkimbiza Mohammed Bacar madarakani kwa kisingizio cha kutetea demokrasia?
 
Hivi nyie mnaolalamika Gaddafi anaonewa mlikuwa wapi wakati Serikali ya Tanzania inatuma majeshi kwenda kumkimbiza Mohammed Bacar madarakani kwa kisingizio cha kutete demokrasia?

Kama anaonewa waambie wanaolalama kuwa Gadhafi anaonewa na akashtaki kwa Russia, China, Iran na Chavez labda watamsaidia manake wao ndio wamempa kisogo.
 
Kama anaonewa waambie wanaolalama kuwa Gadhafi anaonewa na akashtaki kwa Russia, China, Iran na Chavez labda watamsaidia manake wao ndio wamempa kisogo.
Wachina na Warusi ni wanafiki wakubwa, wangekuwa na nia ya kumsaidia Gaddafi wangepiga kura ya veto. Wachina wanachojali wao ni mafuta tu wanasubiria Libya watwangwe waanze kuwauzia mafuta, warusi wao wanawaza kuuza silaha tuu. Huyo Chavez kelele miingi huku anaendelea kuuza mafuta yake US (CITGO).
 
uonevu tu,jana nilisikiliza taarifa RM Radio Gadafi kamuuliza obama yangekuwa kwako ungewaangalia tu waac wakifanya vurugu au?
Hahha kuna militias, Tea Party na gun totting, bible carrying lunatics wanaandamana kila leo US na escort ya police wanapewa.
 
Hahha kuna militias, Tea Party na gun totting, bible carrying lunatics wanaandamana kila leo US na escort ya police wanapewa.

Bila kusahau kuna KKK kila kona na wana silaha nzito....
 
Wachina na Warusi ni wanafiki wakubwa, wangekuwa na nia ya kumsaidia Gaddafi wangepiga kura ya veto. Wachina wanachojali wao ni mafuta tu wanasubiria Libya watwangwe waanze kuwauzia mafuta, warusi wao wanawaza kuuza silaha tuu. Huyo Chavez kelele miingi uku anaendelea kuuza mafuta yake US (CITGO).

Umenena mkuu
 
I say NO to France,Uk & Usa Obama keep your America and leave Gadafi alone &:/=)](+*@?¿ I hate you
 
I say NO to France,Uk & Usa Obama keep your America and leave Gadafi alone &:/=)](+*@?¿ I hate you
Ulikuwa wapi wakati tunawalalamikia akina Membe na Kikwete kuwaachia wacomoro nchi yao wenyewe?
 
AU wamenikumbusha kijijini kwetu vile vimbwa vinavyobweka huku vimeficha mkia katikati ya miguu yao, walikua wapi sikuzote hizo hadi waibuke leo?

Ina maana alichokua akifanya Gaddafi kwa watu wake ni sahihi? au ni namna ya hawa AU kutengeneza mazingira ya kuendelea kuumiza waafrika wengine baadae pia kwa kivuli kuwa "ni waasi"?

AU mmejidhalilisha sana, hata Gbagbo mmemshindwa???


AU wamepoteza 'credibility' mbele ya mataifa. Wameachiwa Somalia ni ubabaishaija tu hakuna chochote.
Wakaachiwa Ivory coast kama walivyoomba ni ubabaishaji tu, watu wanakwenda kuonana na Gbagbo wanatabasamu!

Wiki tatu zilizopita Waziri Membe aliulizwa na BBC Swahili wanafanya nini kuhusu Libya. Jibu likawa Jean Ping ataunda tume kwenda kuchunguza mzozo tusubiri matokeo ya uchunguzi, ubabaishaji ule ule wa tume za Tanzania, hadi leo hakuna chochote.

Dunia inapoongelea Libya AU haitajwi kabisa, yaani Arab league ni muhimu kuliko AU anapoishi Ghadaffi.!!!
Omba omba wote kimya, isipokuwa Botswana, najiuliza hivi Comoro Tanzania ilifuata nini kama si uonevu kwa Backar.
 
Hahha kuna militias, Tea Party na gun totting, bible carrying lunatics wanaandamana kila leo US na escort ya police wanapewa.


wale walikuwa wanaandamana na silaha na kuvamia miji? unataka kusema Obama (huyu mwana haramu wa kenya) waasi wa nchi yake wawe wanavamia miji na kuteka silaha yy angewaangalia tu ?


muongo mbwa mmoja yule na hao manguruwe wenziwe
 
Africa union ni genge la wahuni na madikteta ndio maana hayawezi kukemea uovu.
AU unafiki unaiponza sasa isubiri wimbi la wakimbizi
 
It is Necessary, Legal and Right to protect the civilians in Libya, we many commend this initial strikes over Col Gaddafi Forces! It is Necessary because they want to protect the civilians, it is Legal because blessed by UN resolution, and lastly, People of Libya deserve their Rights!
Here are allies in operations; France, UK, US, Qatar, Norway, Belgium, Denmark (subject to parliamentary vote) and Poland (logistical support).
Any African Country?!

African Country ataingiaje na wanaomtwanga Gadhaff ni mabwana zao!.toka line barmeid akamkoromea mteja anayemnunulia bia kila akiingia bar?
 
Back
Top Bottom