Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,193
- 3,011
Jamaa ni macapitalist wakubwa.. sasa wale ndugu zangu wafuata mkumbo wa ujahidina sijui kama wanayajua haya. BTW, Kilimanjaro siku hizi ndio inaitwa Bahari beach? maana nliskiaga wameichukua wao.