AU's dilemna and the Libyan crisis

AU's dilemna and the Libyan crisis

It is Necessary, Legal and Right to protect the civilians in Libya, we many commend this initial strikes over Col Gaddafi Forces! It is Necessary because they want to protect the civilians, it is Legal because blessed by UN resolution, and lastly, People of Libya deserve their Rights!
Here are allies in operations; France, UK, US, Qatar, Norway, Belgium, Denmark (subject to parliamentary vote) and Poland (logistical support).
Any African Country?!
 
AU watafanya nini?? Wanaona kila kitu.. buta watafanya nini?
 
AU inatimiza wajibu wake wa kusema. Inauma sana lakini mapenzi yenu yatimizwe.
l envy Qaddafi.
 
Kwa umoja wao, si wangetoa troops ambazo zingeugana na Wazungu pamoja na Waarabu kumtia adabu Gadaffi!? Sasa hawa jamaa wanafanya kitu gani cha muhimu? Wameshindwa Ivory coast, Zimbabwe na kwingineko! Labda unawafahamu vizuri uniambie!!
 
Huu ni ukweli kwamba AU haina meno na ndiyo maana hata UN wanawaona
wehu tu ukizingatia hata hao viongozi si halali katika nchi zao kwa kulazimisha
madaraka kama Mwai,Museveni,Mugabe,Gadafi,n.k ni madikteta tupu hao
unadhani wataamua nini juu ya dikteta mwenzao kama Gbagbo sisi dawa yetu
ndiyo hii inayompata Gadafi na hasa kama una rasilimali adimu kama mafuta.
 
It is Necessary, Legal and Right to protect the civilians in Libya, we many commend this initial strikes over Col Gaddafi Forces! It is Necessary because they want to protect the civilians, it is Legal because blessed by UN resolution, and lastly, People of Libya deserve their Rights!
Here are allies in operations; France, UK, US, Qatar, Norway, Belgium, Denmark (subject to parliamentary vote) and Poland (logistical support).
Any African Country?!

AU si inajengwa na nchi za afrika na wawakilishi ni marais wa afrika,unauliza wapo wapi?si wapo kwenye nchi zao wanaangalia mwenzao anapooondolewa madarakani
halafu watakutana baadae ili wale kuku.
 
hapa mimi sina la kusema kabisa ,Gaddafi simkubali ila hawa US,UK wana lao jambo hapa! Wanataka waweke mtu wao.

Wakishaweka mtu wao wanataka wachukue rasimali zetu zote za afrika
mimi naomba wachukue zote maana viongozi wetu si hawalioni hilo kwa
mfano Gadfi amewekeza visima vya mafuta....petrol stations kibao
ujerumani,ufaransa na kwingineko sisi afrika tunategemea mafuta kutoka
uarabuni na pia kwa bei ya juu bora wamtoe tu madarakani na mafuta yote
wayanywe wazungu tu.......naomba wamuondoe hata leo anasahau waafrika
wenzake aliwatukuza wazungu sasa aone kama Hugo Chavez atamsaidia.
 
Afrika ya leo yenye viongozi wasio na aibu ila waoga sana... Mungu tu atupatie watu kama Mandela, Nyerere
 
Ukiwa na au ya kina Kikwete Jakaya Mrisho unategemea nini kama sio uvivu wa mawazo na ufisadi
 
Tayari US imeshaanza kuidungua mabomu Libya
 
AU ni Genge la Wahuni wanaokandamiza Wananchi wao. Au haina manufaa yoyote kwa Muafrika. Kwani hata Kikwete ni Mwanachama wa hilo genge:lol:
 
Its true that no nation has the right over other nation, my main question is can anyone show me even a press release by AU when the almost the whole northern part of the continent was is bleeding?

There was crises in Egypt,Tunisia, etc, non of our media termed as crises in Africa instead we had words like 'demands for democracy in Arab world' sasa Arab league imeruhusu 'UN' imshughulikie canali wa Libya baada ya kuona anatumia silaha za kivita kuwaua raia wasio na hatia AU is coming in to demand 'halt' why didnt they demanded Gadaffi to stop killing innocent and unarmed civilians?
AU naamini wameongea hili swala kama kutoa LAWAMA TU-ili hata wakiulizwa waseme tulitoa tamko-lakini hawana ubavu wa kushuhulikia migogoro yoyote ya Africa
 
Meli za kivita za Marekani na Uingereza zimefyatua makombora zaidi ya 100 nchini Libya dhidi ya mifumo ya ulinzi wa angani wa kiongozi wa nchi hiyo, Kanali Muammar Gaddaf.

Hapo awali ndege za kivita za Ufaransa zilifanya mashambulizi ya angani dhidi ya maeneo kadhaa kutekeleza marufuku ya baraza la usalama la umoja wa mataifa ya ndege kutopaa katika anga ya Libya. vyombo vya habari vya Libya vimeripoti kwamba mji wa Sirte, ambako ni nyumbani kwa Gaddafi, umeshambuliwa.

Rais wa Marekani Baraka Obama amesitiza kwamba Marekani itakuwa na jukumu dogo katika muungano wa mataifa matano na kuongeza kuwa haitapeleka wanajeshi kwenda Libya.

Waziri mkuu wa Uingereza Divid Cameron ametetea akisema Gaddafi amekiuka amri ya kusitisha kwa mapigano. Katika taarifa yake, Kanali Gaddafi amesema atawapa silaha raia wake wailinde nchi yao dhidi ya kile alichokitaja kuwa uchokozi wa waovu.

Deutsche Welle machi 20, 2011
 
But Libyan authorities insisted there had been "no attack whatsoever" on rebel forces in the city.

jet4_1275392a.jpg



Spiral ... plane appeared to be shot from ground



jet5_1275391a.jpg



Eject ... pilot bails stricken jet



jet3_1275393a.jpg



Plummet ... flaming fighter jet seconds from impact





jet1_1275395a.jpg



Blast ... huge fireball erupts as plane smashes into ground
 
Wamarekani wahuni tu, washenzi na wavamizi na wenye kuingilia mambo ya ndani ya nchi za wengine

Kwa kweli nnasikitika sana kwa yanayotokea na jinsi ambavyo yanaendeshwa. yaani dhuluma ilio wazi kuna nchi zina matatizo zaidi ya libya mbona hamjavamia


Wamerekani mbwa washenzi na wafuasi wao
 
Nalaani uvamizi huu wazungu wasijifanye wanawapenda walibya, wanataka mafuta ya Libya na hakika yeyote anayefurahia sasa atajalia baadae, oneni mifano i wapi Iraq?
 
Ni kweli kabisa walibya wana haki ya kulindwa, lakini je walindwe na nani? kwanini ALLIED FORCES wawe na uchungu na nchi ya Libya! tumeona mapinduzi ya Amani mfano Tunisia-wameandamana bila kutumia silaha! hawa wa Libya wenye silaha nzito nzito za kivita wanatafuta nini? Gadafi anapojaribu kulinda watu wake wasiokuwa na hatia Magharibi wanaingilia kati, Je nani kati ya Magharibi na Ghadafi anayevunja sheria za haki za walibya..kama siyo Magharibi? inanikera sana! walijifanya wana uchungu sana na Iraq, kila mtu anafahamu yaliyotokea na yanayotokea-AU inafanya nini???

UN ilikuwa wapi,iko wapi: mbona wanaong'ang'ania madaraka wanahachwa.. mfano Bagbo wa Ivory-ambaye majeshi yake yanaua raia wanaoandamana wameshikilia matawi ya miti isiyoweza hata kumjeruhi inzi kama ishara ya amani-UN na Allied Forces wanafanya nini???kuna nini Libya-Mafuta??

Akina Kibaki wa Kenya walipora madaraka na wengine wengi tu...huu ni ushenzi ambao unapaswa kupingwa na AU na wapenda amani wote Duniani! Lakini kwa sababu ya udogo wa mawazo waliyonao viongozi wetu watakaa kimya wakimwangalia BIG BRO anatandikwa na kung'olewa madarakani! utawasikia wakijitapa.."Mimi nilikuwa Rais wa kwanza toka Afrika kukutana na Rais Obama" nyam****u mkubwa! Afrika itaonewa mpaka lini??

It is Necessary, Legal and Right to protect the civilians in Libya, we many commend this initial strikes over Col Gaddafi Forces! It is Necessary because they want to protect the civilians, it is Legal because blessed by UN resolution, and lastly, People of Libya deserve their Rights!
Here are allies in operations; France, UK, US, Qatar, Norway, Belgium, Denmark (subject to parliamentary vote) and Poland (logistical support).
Any African Country?!
 
Back
Top Bottom