Halafu aimarishe uhusiano na Gaddafi.ningemuomba Jk kusimamisha mahusiano ya kibalozi na nchi zote mavamizi
Halafu aimarishe uhusiano na Gaddafi.ningemuomba Jk kusimamisha mahusiano ya kibalozi na nchi zote mavamizi
Anyaway hata mimi siafiki nguvu za kijeshi kutumika kwa sababuJe kitendo cha mataifa ya magharibi kumvamia kijeshi ni sahihi?hoja yangu ni kwamba uvamizi huu utaleta maafa zaidi kuliko tija,bado dunia inawez kutumia njia za amani na kidplomasia kumwondoa Ghadafi...ila hawataki kutumia diplomasia ili waweze kupora mafuta na kuharibu miundombinu ili wachukue hizo kandarasi
Mmmmmh AU mlikuwa wapi siku zote?
Viongozi wa Afrika bwana, sijui huwa wanaongoza nini!!!
Anyaway hata mimi siafiki nguvu za kijeshi kutumika kwa sababu
1. Maisha na mali vinateketea na mbaya zaidi...
2. Wanaowekwa baada ya hao madiktekta kutolewa hawana tofauti na madikteta walioondolewa, na hivyo...
3. Nchi inarudi back to square one....
Sasa kama wale wapya hawataki kubadilika.... kila mara tutumie nguvu za kijeshi kuwaondoa? Na na
Mkuu kwani unafikiria hata hao waliojipa 'uongozi wa kamati ya kuikomboa Libya ' wana tofauti na huyo Ghadafi? Tena wanaweza kuwa wabaya zaidi....Mkuu, kwa hali ya kawaida huwezi kufurahia wala kushabikia kinachofanywa na 'big fish', lkn mi natamani waipige libya zaidi ya iraq-kwani huo ndo ukombozi waliokuwa wanautaka walibya,walipewa vya bure wakala wakavimbiwa wakajifanya wanataka ukombozi! Sh...zi wakubwa!
Pinga mwenyewe. Waafrika waliokuwa kwenye baraza la umoja wa mataifa walilidhia. Baki peke yako ukipinga kama ghadafi mwenywe.Africa kunatendeka nini?
Leo vikosi vya ushirika vimefanya mashambulizi na kuua raia wengi,uvamizi huu ni katika kile kinachodaiwa kuwalinda raia walibya..
Haiwezekani kuua rai eti ili kuwalinda,ni kweli Ghadafi amekaa madarakani muda mrefu,na ameua rai,lakini sikubaliani na hatua yoyote ya matumizi ya nguvu kumwondoa Madrakani.
Azimio la kuivamia libya ni batili,hakuna nchi yenye kura ya turufu kwa nchi nyingine
natoa wito kwa Africa kuungana na kupinga uvamizi huu wa kijeshi
Hakuna haja ya Waafrika kwenda kumsaidia kiongozi dhalimu kama Ghadafi kwa yale yanayompata sasa kwani aliyataka mwenyewe. Kuna haja gani ya kuendelea kuwa na kiongozi huyo huyo kwa zaidi ya miaka 40 hata kama ni mzuri kiasi hicho? Ghadafi ametumia ndege zake za kivita kwenda kuwashambulia wananchi waliomchoka kwa lengo la kuwalazimisha waendelee kumpenda awaongoze, je hili tulihalalishe? Mimi binafsi nilikuwa mfuasi mzuri sana wa Ghadafi lakini kitendo cha kung'ang'ania madarakani maisha yake yote kimenifanya nimfikirie vibaya. Hivi kitendo cha yeye kuruhusu wafuasi wake wafunguliwe maghala ya silaha ili wazitumie kuwaua watu wanaompinga kukaa madarakani kwa zaidi ya umri wangu mimi tukiitaje, ni demokrasia ya kiafrika au uungwana wa kiafrika? Acha ashikishwe adabu nyang'au huyo.
Africa kunatendeka nini?
Leo vikosi vya ushirika vimefanya mashambulizi na kuua raia wengi,uvamizi huu ni katika kile kinachodaiwa kuwalinda raia walibya..
Haiwezekani kuua rai eti ili kuwalinda,ni kweli Ghadafi amekaa madarakani muda mrefu,na ameua rai,lakini sikubaliani na hatua yoyote ya matumizi ya nguvu kumwondoa Madrakani.
Azimio la kuivamia libya ni batili,hakuna nchi yenye kura ya turufu kwa nchi nyingine
natoa wito kwa Africa kuungana na kupinga uvamizi huu wa kijeshi
Mkuu kwani unafikiria hata hao waliojipa 'uongozi wa kamati ya kuikomboa Libya ' wana tofauti na huyo Ghadafi? Tena wanaweza kuwa wabaya zaidi....
Hao rais ambao unaosema wewe sio waasi, walipata wapi silaha?
Kumbuka unaowaita waasi walikuwa wanajeshi wa Gaddafi ambao waligoma kutii amri ya kuua raia na kuamua kujiunga na waandamanaji hivyo vikosi vyote vilivyojiunga na waasi vilienda na silaha zake!
Hizo ndizo silaha walizonazo.
Tatizo sio kukomeshwa,hapa bado raia watauwawa wengi zaidi,kumbuka ya iraq,
Wazungu watatuua sana mwaka huu kuliko hata gadafi, ulishaona wapi unazuia mauaji kwa wewe kuua unaozuia wasioawe! mbona wasiende Somalia mbona wasiende Ivory Coast, halafu mijamaa mingine humu inashangilia eti, Libya watamkumbuka sana Gaddafi, haitakuwa Libya ya leo hiyo tena, Ulaya walikuwa wanatafuta chanzo tu cha kuibomoa Libya, maisha waliyokuwa wanaishi walibya ni zaidi ya maisha ya ulaya.