AU's dilemna and the Libyan crisis | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

AU's dilemna and the Libyan crisis

Discussion in 'International Forum' started by niweze, Mar 20, 2011.

 1. n

  niweze JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nimekuwa nikifirikia umuhimu wa African Union mpaka leo hii sioni. Tunisia pametokeo mapinduzi sijaona AU wakifanya kazi yeyote wala kutoa statements zozote. Kumetokea mapinduzi huko Misri na jinsi ilivyotangazwa duniani kote, AU walikaa kimya wala bila kufanya kikao chochote kujadili au kutoa statements kumlazimisha Mubarak aondoke. Yametokea mapinduzi Libya na yanaonekana kuingiliwa na Umoja wa Mataifa bila kikao wala statements kutoka AU.

  Maswali kwa Wafrika wote duniani ni haya, kwanini tunakuwa na Umoja au Instutution kama AU wakati haina credibility wala kazi yeyote ile Africa? Kwanini viongozi wa Africa wanaendelea kukutana kujadili Ivory Coast wakati mataifa mengi duniani wanaona diplomacy imeshindikana Ivory Coast? au ni kujionyesha tu kwa Kikwete na Zuma? Wengi tunakumbuka swala la Zimbabwe lilipo kwenda AU na wakashindwa kutoa uamuzi, kitu gani AU inaweza?

  Ku-summarize uwepo wa AU ni hivi, hawa viongozi wa Africa wapo very insecure na wanajua vitu na vitendo vya Gbagbo na Mugabe ndio tactics za viongozi karibu wote wa Africa na wanaogopa kuji-contradict na ku-face UN Military Resolution ya 1962.
  ODS HOME PAGE

  ODS HOME PAGE

  [​IMG]
  Makao Makuu ya AU, Addis Ababa

  [​IMG]
  Baadhi ya Viongozi - Madikteta wa Africa
   
 2. N

  Nonda JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Kwa sababu moja tu. Ni kwa sababu kila block wanaumoja wao. kwa hiyo na sisi nchi za kiafrika tuliona ni vyema kuwa na chombo kama hiki.

  Ukumbuke kuwa wenzetu walianza kujenga demokrasia zao au domokrasia zao miaka mingi kabla yetu. Sisi ilibidi kwa nchi nyingine kupigana vita vya kudai uhuru kutoka kwa hawa leo "wanaotufundisha" demokrasia. Au vyema ni kusema wanaotulazimisha kufuata demokrasia kama yao.

  kwa vile sisi ni watu wa kuiga na hatuendi hatua kwa hatua ili kupata demokrasia au tawala tunazozitaka basi ndio sababu ya kila kitu kinakuwa shaghala baghala.

  Si vibaya kuwepo kwa AU , kama leo haifanyi kazi zake vile inavyopasa.. basi kesho wewe au mimi..au watoto wetu huenda wakaendeleza pale waliposhindwa kina Gaddaffi na Kikwete.

  Usilinganishe sana na ufanisi wa block kama EU au ASEAN, iko siku tutafika huko.
  safari yetu ni ndefu. Usisahau kuwa nchi nyingi za Afrika zinategemea misaada ya hawa "wafadhili" kwa hiyo kuna back deals nyingi ambazo zinafanya viongozi wa AU na marais wa AU kughilibiwa na wajanja na wanafiki wa Magharibi.

  Hivi kwa dhati yako unaamini US na West wanapenda au watapenda kuona Afrika inashikamana na kuwa kitu kimoja? Watapata wapi malighafi za bei chee?

  Kwa hiyo upo udhaifu mkubwa kwa viongozi wa Afrika lakini AU tunaihitaji. Na huwa inajitutumua pale wanapoweza.

  Lakini pia ni vyema ukumbuke mkuu, kuwa Vita ya Iraq ilipingwa na watu wengi duniani lakini hawa jamaa walikwisha amua kuwa lazima vita ile ipiganwe na Saddam apotee.
  Hata kama wangetoa matamko au wangekaa vikao visingesaidia kitu. Jamaa hawa walikuwa kwa siku nyingi tu wanataka "kushikisha adabu", "kumtia adabu" Gaddaffi na wakati umefika.
   
 3. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #3
  Mar 20, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Baba wa taifa aliwahi kuita umoja huo kuwa ni klabu ya wakuu wa nchi za kiafrika husiyo na mahudhui yeyote. Inaonekana hata jumuiya ya kimataifa inatambua ukweli huo. Hivi leo wakati nchi za magharibi zimeanzisha harakati za kumngoa ghadafi AU ndipo eti inataka kuanzisha mazungumzo ya upatanishi
   
 4. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #4
  Mar 20, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  AU/OUA+Arab League=Debating Club or paper tiger
   
 5. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #5
  Mar 20, 2011
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ni genge la watu kwenda kutumbua hela za walipa kodi na kukimbia majukumu ya nyumbani kwao kwa muda.

  Nonda hizo nchi za Ulaya zenyewe zilikuwa zinatwangana kwa kwenda mbele kabla hawajaamua kuungana sasa sisi waafrika tuna opportunity kubwa ya kuepuka baadhi ya makosa yao mengi lakini kama kawaida yetu yengele nyingi vitendo vichache.
   
 6. Maxence Melo

  Maxence Melo JF Founder Staff Member

  #6
  Mar 20, 2011
  Joined: Feb 10, 2006
  Messages: 2,606
  Likes Received: 1,702
  Trophy Points: 280
  The African Union's panel on Libya Sunday called for an "immediate stop" to all attacks after the United States, France and Britain launched military action against Moamer Kadhafi's forces.

  After a more than four-hour meeting in the Mauritanian capital, the body also asked Libyan authorities to ensure "humanitarian aid to those in need," as well as the "protection of foreigners, including African expatriates living in Libya."

  It underscored the need for "necessary political reforms to eliminate the causes of the present crisis" but at the same time called for "restraint" from the international community to avoid "serious humanitarian consequences."

  The panel also announced a meeting in the Ethiopian capital Addis Ababa on March 25, along with representatives from the Arab League, the Organisation of Islamic Conference, the European Union and the United Nations to "put in place a mechanism for consultation and concerted action" to resolve the Libyan crisis.

  The AU committee on Libya is composed of five African heads of state. But the Nouakchott meeting was only attended by the presidents of Mauritania, Mali and Congo. South Africa and Uganda were represented by ministers.

  The committee said it had been unable to get international permission to visit Tripoli on Sunday but did not elaborate.

  Libyan generosity and Moamer Kadhafi's role in the creation of the African Union could explain the continental cautious stand, experts said.

  The AU was born in the 1999 Sirte Declaration, named after a summit hosted by Kadhafi in his hometown on the Libyan coast.

  The declaration said its authors felt inspired by Kadhafi's "vision for a strong and united Africa."

  "The AU as an organisation has benefited significantly from Kadhafi's wealth," said Fred Golooba Mutebi of the Institute of Social Research at Kampala's Makerere University.

  The pan-African body has taken a firmer stance on three west African crises: most recently Ivory Coast and previously Guinea and Niger.

  Handouts aside, Libya has invested billions of dollars in sub-Saharan Africa.

  It has interests in more than two dozen African countries, while its petroleum refining and distribution unit Oil Libya has interests in at least as many.

  Libyan telecommunications unit LAP Green is present in five countries in the region and expanding rapidly.


  AFP
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Mar 20, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,375
  Likes Received: 19,620
  Trophy Points: 280
  hapa mimi sina la kusema kabisa ,Gaddafi simkubali ila hawa US,UK wana lao jambo hapa! Wanataka waweke mtu wao.
   
 8. mmh

  mmh JF-Expert Member

  #8
  Mar 20, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 852
  Likes Received: 652
  Trophy Points: 180
  Wazungu watatuua sana mwaka huu kuliko hata gadafi, ulishaona wapi unazuia mauaji kwa wewe kuua unaozuia wasioawe! mbona wasiende Somalia mbona wasiende Ivory Coast, halafu mijamaa mingine humu inashangilia eti, Libya watamkumbuka sana Gaddafi, haitakuwa Libya ya leo hiyo tena, Ulaya walikuwa wanatafuta chanzo tu cha kuibomoa Libya, maisha waliyokuwa wanaishi walibya ni zaidi ya maisha ya ulaya.
   
 9. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #9
  Mar 20, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,823
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  AU wamenikumbusha kijijini kwetu vile vimbwa vinavyobweka huku vimeficha mkia katikati ya miguu yao, walikua wapi sikuzote hizo hadi waibuke leo?

  Ina maana alichokua akifanya Gaddafi kwa watu wake ni sahihi? au ni namna ya hawa AU kutengeneza mazingira ya kuendelea kuumiza waafrika wengine baadae pia kwa kivuli kuwa "ni waasi"?

  AU mmejidhalilisha sana, hata Gbagbo mmemshindwa???
   
 10. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #10
  Mar 20, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,823
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  Haaaaahhhaaa, kumbe AU ni ndege,mnyama au kitoweo gani vile???
   
 11. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #11
  Mar 20, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  viongozi wa AU hadi kusahau role ya Gaddhafi kwa OAU-AU?
   
 12. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #12
  Mar 20, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  AU are Good for Nothing! Wamechelewa saana tu!

  Now the air strikes from UK, FRANCE wanauwa more libyans .
   
 13. Margwe

  Margwe JF-Expert Member

  #13
  Mar 20, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 256
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Its true that no nation has the right over other nation, my main question is can anyone show me even a press release by AU when the almost the whole northern part of the continent was is bleeding?

  There was crises in Egypt,Tunisia, etc, non of our media termed as crises in Africa instead we had words like 'demands for democracy in Arab world' sasa Arab league imeruhusu 'UN' imshughulikie canali wa Libya baada ya kuona anatumia silaha za kivita kuwaua raia wasio na hatia AU is coming in to demand 'halt' why didnt they demanded Gadaffi to stop killing innocent and unarmed civilians?
   
 14. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #14
  Mar 20, 2011
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Yaani AU hawana lolote eti "the body also asked Libyan authorities to ensure "humanitarian aid to those in need," as well as the "protection of foreigners, including African expatriates living in Libya.""

  Walikuwa wapi wakati jamaa gaddafi anawapiga watu wake...too late tayari jamaa wameona hatuwezi kujiamulia wenyewe kwa kumfunga kengere gadaffi wanampiga....Let gaddafi go..kwa kweli 42yrs yake ambayo aliamini kuwa hakuna mwingine anaweza ongoza nchi basi...sasa wacha wamtoe ataiangalia libya kwa mbali.
   
 15. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #15
  Mar 20, 2011
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  AU wamejidhalilisha kwa lipi? alichokuwa anafanya Gaddafi ni kulinda uhuru na heshima ya nchi yake, hao unaowaita wapinzani sio zaidi ya waasi; kama mtu anabeba silaha kwa ajili ya kuitoa madarakani serekali dawa yake ni kipigo kwa kutumia silaha kama anazotumia yeye.

  Gaddafi alikuwa hauwi raia wa Libya alikuwa anauwa waasi Uingereza, Marekani na Ufaransa wao ndio wanauwa raia kwa mashambulizi yao.

  Dunia siku zote imekuwa ikipinga kuchukuliwa serikali kwa mapinduzi ya silaha inashangaza leo hii wanabariki Libya kufanyiwa hivyo! Na sisi wengine tunashangilia "kama mazuzu"
   
 16. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #16
  Mar 20, 2011
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Unarmed civilans my nanihii! You are not serious or u dont know what u are talking
   
 17. LD

  LD JF-Expert Member

  #17
  Mar 20, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mmmmmh AU mlikuwa wapi siku zote?
  Viongozi wa Afrika bwana, sijui huwa wanaongoza nini!!!
   
 18. Butola

  Butola JF-Expert Member

  #18
  Mar 20, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,221
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Heri wangekaa kimya tu kuliko kuongea huo upupu wao.
   
 19. Nanyaro Ephata

  Nanyaro Ephata Verified User

  #19
  Mar 20, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 979
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 60
  Ni kweli AU wamekurupuka,na huko nyuma nilipata kuhoji waliko,kimsingi sikubaliani na Ghadafi kuuwa raia wake,lakimi pia kamwe sikubali uvamizi wowote au jaribio lolote la kumwondoa Ghadafi.

  Wazungu wana lao jambo, mafuta na utajiri wa Libya, wanataka kuharibu majengo na miundombinu za libya ili wapate tenda za kuzijenga upya.

  Ghadafi amefanya mengi kwa nchi yake, raia wa Libya wanaishi maisha mazuri, mwaka 2007 Wakati huo nilikuwa Libya raia asiyefanya kazi alikuwa analipwa dinari 80 na kilo hamsini ya unga wa ngano ilikuwa dinari 5.

  Natoa wito kwa nchi za au kupiga vita uvamizi wa wazungu, hata ikibidi kupigana kulinda heshima yake
   
 20. R

  Rutakyamilwa JF-Expert Member

  #20
  Mar 20, 2011
  Joined: Feb 27, 2009
  Messages: 1,869
  Likes Received: 1,161
  Trophy Points: 280
  Sidhani kama African leaders will ever attain any resolution they make!!!!. Just If, If, If, If, If...................Ifs.

  US and allies do your work. Dictator wa miaka 40 inamtosha.
   
Loading...