AU's dilemna and the Libyan crisis

AU's dilemna and the Libyan crisis

Walioandaa resolution ni Lebanon na Arab League.


Mwanzoni mwa miaka ya 90 UN ilipeleka majeshi Somalia, wanajeshi 50 wa India au Pakistan wakaishia kuchinjwa kama kuku, sasa hivi kuna majeshi ya kulinda amani ya AU kutoka Uganda na kila siku yanashambuliwa laini hatusikii mtu analalamika.

Kwa nini hawakwenda hao wa marekani,uk,france?

Majeshi ya kimarekani na NATO yamebaki kwenye advisory na training capacity uko Iraq sio tena kwenye mission.

Wameua wananchi wasio hatia wangapi mpaka kufikia hatua hii unayosema?

Kuhusu Afghanistan well USA walikuwa attacked na Al Qaeda ambao wamepewa hifadhi Afghanistan therefore US kama taifa lolote walikuwa provoked, isitoshe waliwaambia Taleban wawasalimishe perpetrators lakini kwa kiburi cha Taleban wakagoma ulitegemea wafanye nini? Heck ata ingekuwa serikali ya Tanzania imeshambuliwa ningetegemea wangefanya the same thing kama US.


Mkuu, nani aliunda,kuipa mafunzo na misaada ya kifedha al qaeda?

http://www.globalresearch.ca/index.php?context=va&aid=2769

Kwa sababu rebels wakishirikiana na Arab League wameomba msaada wa International community na jumuiya ya kimataifa imeridhia ndio maana tuko kwenye hii hali.
Mkuu, tokea lini waasi wakasaidiwa na jumuiya ya kimataifa kuiondosha serikali iliyo madarakani?

Libya tayari alikuwa anasupply mafuta yake kwa wingi nchi za magharibi na kulikuwa hakuna tatizo lolote isitoshe makampuni mengi tu ya Uingereza yalikuwa yamesaini mikataba na NOC.

mkuu,ilikuwa inafanya hivyo kwa maamuzi yake ambayo west hawapendi kuona Gaddaffi ana jeuri,gaddaffi hakuwa yes man kama saudi na bahrain kwa hiyo wlikuwa wanatafuta kisingizio tu.
 
hawana uhuru wakati hadi leo waandishi wa marekani wanazulula ovyo tripoli na benghazi,bado fcbk iko hewani.hapa suala sio uhuru wala nini umefika wakati tu wa nchi za arabia kuongozwa under one law from Tehran finish
Mkuu jana Libya imewaachia wahandishi wanne wa New York Times baada ya kuwa detained kwa siku kadhaa, muendeshaji wa Libya Al Hurra Mohammed al-Nabbous alipigwa risasi na sniper, wahandishi wawili wa AFP nao inasemekana wamekuwa detained na kuna yule mpiga picha wa Al Jazeera naye aliuliwa wiki iliyopita.
 
The Western World is just using this opportunity to Revenge on all attacks made to them...which had a connection with Libya and Ghaddafi....
 
Rais Museven amejitutumua ni vizuri lakini tunataka umoja wa Afrika utoe tamko na kutekeleza kwa vitendo msimamo wake.Siamini kama kuna haki kwa nchi moja kuingilia kijeshi nchi nyingine kwani kila nchi ina haki ya kujitatulia matatizo yake yenyewe,watu wa nje wanapaswa kutoa ushauri tu wa namna ya kutatua mizozo inayozikumba nchi jirani.

Ukiangalia suala la Zanzibar,Misri,Sudan,Kenya na hali inayoendelea Ivory Coast ni wananchi wenyewe walijiamulia/wanaojiamulia mambo yao wenyewe kwa msaada wa ushauri kutoka nje sio kuchochea vita.Suala la Libya limegubikwa na uonevu mkubwa dhidi ya Gaddaf na wanachi wake.Haiingii akilini kwa watu wanaotaka kumuondoa raisi kwa njia ya nguvu ya umma wakatumia makombora na kuteka miji muhimu yenye mafuta,hawa ni waasi waliopandikizwa na hao Wanaonyemelea mafuta.

Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizobarikiwa rasilimali nyingi za asili,mambo yanavyoendelea sasa ya kisiasa, jamaa hawa wanaweza kujipenyeza na kutuchochea hatimaye tukachinjana kama Israeli na Palestina.Tunapojadili suala la Libya tuangalie pia majaaliwa ya nchi zetu masikini zinazotegemea zaidi maamuzi ya hawa wakubwa katika mambo yote muhimu katika maisha yetu,angalia mitaala ya elimu tunakopi kutoka kwao/tunatekeleza kwa amri yao,mifumo yote ya maisha yetu tunapangiwa nao.

Waafrika tukiamka sasa na kusema basi lingekuwa jambo muhimu zaidi kwa maisha yajayo ya watoto wetu.UGOMVI UKITOKEA KWA JIRANI YAKO UNAPASWA KUUSULUHISHA SIO KUUCHOCHEA.Ubaya haulipwi kwa ubaya matokea yake ni kupandikiza chuki itakayodumu milele.Leo Iraq,Afghanstan na kwingineko zilizoanguswa tawala zake kwa mtindo wa uvamizi wa hawa jamaa mpaka leo bado wanachinjana,hakuna amani hata kidogo.Njia sahihi ni kuchochea mazungumzo ya pande zinazohasimiana.

Tuendelee kujadili.
 
umemuona mkwere anavyokonda? Je asingekunywa kikombe cha babu ingekuwaje? tunaonewa kwa sababu na sisi tunatumia uhuru wetu vibaya na kubinafsisha madaraka kifamilia. Kusingekuwa na uasi kama gadaffi asingeanza kumuandaa mtoto wake kuendelea kula nchi. lakini aliona kama nchi ya familia vile , hawa jamaa huwa wanaangalia loop holes ndo wanawachapa kwa sababu zao zingine lakini viongozi wa africa waache kuachia hizi loop holes, watu wanang'ang'ania madaraka utazani nini bwana? acha wachapwe tu
 
PRESIDENT YOWERI K. MUSEVENI'S ARTICLE ON LIBYA By the time Muammar Gaddaffi came to power in 1969, I was a third year university student at Dar-es-Salaam. We welcomed him because he was in the tradition of Col. Gamal Abdul Nasser of Egypt who had a nationalist and pan-Arabist position.Soon, however, problems cropped up with Col. Gaddafi as far as Uganda and Black Africa were concerned:1.Idi Amin came to power with the support of Britain and Israel because they thought he was uneducated enough to be used by them. Amin, however, turned against his sponsors when they refused to sell him guns to fight Tanzania. Unfortunately, Col. Muammar Gaddafi, without getting enough information about Uganda, jumped in to support Idi Amin. This was because Amin was a ‘Moslem’ and Uganda was a ‘Moslem country’ where Moslems were being ‘oppressed’ by Christians. Amin killed a lot of people extra-judicially and Gaddafi was identified with these mistakes. In 1972 and 1979, Gaddafi sent Libyan troops to defend Idi Amin when we attacked him. I remember a Libyan Tupolev 22 bomber trying to bomb us in Mbarara in 1979. The bomb ended up in Nyarubanga because the pilots were scared. They could not come close to bomb properly. We had already shot-down many Amin MIGs using surface-to-air missiles. The Tanzanian brothers and sisters were doing much of this fighting. Many Libyan militias were captured and repatriated to Libya by Tanzania. This was a big mistake by Gaddafi and a direct aggression against the people of Uganda and East Africa.2.The second big mistake by Gaddafi was his position vis-à-vis the African Union (AU) Continental Government “now”. Since 1999, he has been pushing this position. Black people are always polite. They, normally, do not want to offend other people. This is called: ‘obufura’ in Runyankore, mwolo in Luo – handling, especially strangers, with care and respect. It seems some of the non-African cultures do not have ‘obufura’. You can witness a person talking to a mature person as if he/she is talking to a kindergarten child. “You should do this; you should do that; etc.” We tried to politely point out to Col. Gaddafi that this was difficult in the short and medium term. We should, instead, aim at the Economic Community of Africa and, where possible, also aim at Regional Federations. Col. Gaddafi would not relent. He would not respect the rules of the AU. Something that has been covered by previous meetings would be resurrected by Gaddafi. He would ‘overrule’ a decision taken by all other African Heads of State. Some of us were forced to come out and oppose his wrong position and, working with others, we repeatedly defeated his illogical position.3.The third mistake has been the tendency by Col. Gaddafi to interfere in the internal affairs of many African countries using the little money Libya has compared to those countries. One blatant example was his involvement with cultural leaders of Black Africa – kings, chiefs, etc. Since the political leaders of Africa had refused to back his project of an African Government, Gaddafi, incredibly, thought that he could by-pass them and work with these kings to implement his wishes. I warned Gaddafi in Addis Ababa that action would be taken against any Ugandan king that involved himself in politics because it was against our Constitution. I moved a motion in Addis Ababa to expunge from the records of the AU all references to kings (cultural leaders) who had made speeches in our forum because they had been invited there illegally by Col. Gaddafi.4.The fourth big mistake was by most of the Arab leaders, including Gaddafi to some extent. This was in connection with the long suffering people of Southern Sudan. Many of the Arab leaders either supported or ignored the suffering of the Black people in that country. This unfairness always created tension and friction between us and the Arabs, including Gaddafi to some extent. However, I must salute H.E. Gaddafi and H.E. Hosni Mubarak for travelling to Khartoum just before the Referendum in Sudan and advised H.E. Bashir to respect the results of that exercise. 5.Sometimes Gaddafi and other Middle Eastern radicals do not distance themselves sufficiently from terrorism even when they are fighting for a just cause. Terrorism is the use of indiscriminate violence – not distinguishing between military and non-military targets. The Middle Eastern radicals, quite different from the revolutionaries of Black Africa, seem to say that any means is acceptable as long as you are fighting the enemy. That is why they hijack planes, use assassinations, plant bombs in bars, etc. Why bomb bars? People who go to bars are normally merry-makers, not politically minded people. We were together with the Arabs in the anti-colonial struggle. The Black African liberation movements, however, developed differently from the Arab ones. Where we used arms, we fought soldiers or sabotaged infrastructure but never targeted non-combatants. These indiscriminate methods tend to isolate the struggles of the Middle East and the Arab world. It would be good if the radicals in these areas could streamline their work methods in this area of using violence indiscriminately.________________________________________ These five points above are some of the negative points in connection to Col. Gaddafi as far as Uganda’s patriots have been concerned over the years. These positions of Col. Gaddafi have been unfortunate and unnecessary.Nevertheless, Gaddafi has also had many positive points objectively speaking. These positive points have been in favour of Africa, Libya and the Third World. I will deal with them point by point:1.Col. Gaddafi has been having an independent foreign policy and, of course, also independent internal policies. I am not able to understand the position of Western countries which appear to resent independent-minded leaders and seem to prefer puppets. Puppets are not good for any country. Most of the countries that have transitioned from Third World to First World status since 1945 have had independent-minded leaders: South Korea (Park Chung-hee), Singapore (Lee Kuan Yew), China People’s Republic (Mao Tse Tung, Chou Enlai, Deng Xiaoping, Marshal Yang Shangkun, Li Peng, Jiang Zemin, Hu Jing Tao, etc), Malaysia (Dr. Mahthir Mohamad), Brazil (Lula Da Silva), Iran (the Ayatollahs), etc. Between the First World War and the Second World War, the Soviet Union transitioned into an Industrial country propelled by the dictatorial but independent-minded Joseph Stalin. In Africa we have benefited from a number of independent-minded leaders: Col. Nasser of Egypt, Mwalimu Nyerere of Tanzania, Samora Machel of Mozambique, etc. That is how Southern Africa was liberated. That is how we got rid of Idi Amin. The stopping of genocide in Rwanda and the overthrow of Mobutu, etc., were as a result of efforts of independent-minded African leaders. Muammar Gaddafi, whatever his faults, is a true nationalist. I prefer nationalists to puppets of foreign interests. Where have the puppets caused the transformation of countries? I need some assistance with information on this from those who are familiar with puppetry. Therefore, the independent-minded Gaddafi had some positive contribution to Libya, I believe, as well as Africa and the Third World. I will take one little example. At the time we were fighting the criminal dictatorships here in Uganda, we had a problem arising of a complication caused by our failure to capture enough guns at Kabamba on the 6th of February, 1981. Gaddafi gave us a small consignment of 96 rifles, 100 anti-tank mines, etc., that was very useful. He did not consult Washington or Moscow before he did this. This was good for Libya, for Africa and for the Middle East. We should also remember as part of that independent-mindedness he expelled British and American military bases from Libya, etc.2.Before Gaddafi came to power in 1969, a barrel of oil was 40 American cents. He launched a campaign to withhold Arab oil unless the West paid more for it. I think the price went up to US$ 20 per barrel. When the Arab-Israel war of 1973 broke out, the barrel of oil went to US$ 40. I am, therefore, surprised to hear that many oil producers in the world, including the Gulf countries, do not appreciate the historical role played by Gaddafi on this issue. The huge wealth many of these oil producers are enjoying was, at least in part, due to Gaddafi’s efforts. The Western countries have continued to develop in spite of paying more for oil. It, therefore, means that the pre-Gaddafi oil situation was characterized by super exploitation in favour of the Western countries.3.I have never taken time to investigate socio-economic conditions within Libya. When I was last there, I could see good roads even from the air. From the TV pictures, you can even see the rebels zooming up and down in pick-up vehicles on very good roads accompanied by Western journalists. Who built these good roads? Who built the oil refineries in Brega and those other places where the fighting has been taking place recently? Were these facilities built during the time of the king and his American as well as British allies or were they built by Gaddafi? In Tunisia and Egypt, some youths immolated (burnt) themselves because they had failed to get jobs. Are the Libyans without jobs also? If so, why, then, are there hundreds of thousands of foreign workers? Is Libya’s policy of providing so many jobs to Third World workers bad? Are all the children going to school in Libya? Was that the case in the past – before Gaddafi? Is the conflict in Libya economic or purely political? Possibly Libya could have transitioned more if they encouraged the private sector more. However, this is something the Libyans are better placed to judge. As it is, Libya is a middle income country with GDP standing at US$ 89.03 billion. This is about the same as the GDP of South Africa at the time Mandela took over leadership in 1994 and it about 155 times the current size of GDP of Spain.4.Gaddafi is one of the few secular leaders in the Arab world. He does not believe in Islamic fundamentalism that is why women have been able to go to school, to join the Army, etc. This is a positive point on Gaddafi’s side.________________________________________ Coming to the present crisis, therefore, we need to point out some issues:1.The first issue is to distinguish between demonstrations and insurrections. Peaceful demonstrations should not be fired on with live bullets. Of course, even peaceful demonstrations should coordinate with the Police to ensure that they do not interfere with the rights of other citizens. When rioters are, however, attacking Police stations and Army barracks with the aim of taking power, then, they are no longer demonstrators; they are insurrectionists. They will have to be treated as such. A responsible Government would have to use reasonable force to neutralize them. Of course, the ideal responsible Government should also be an elected one by the people at periodic intervals. If there is a doubt about the legitimacy of a Government and the people decide to launch an insurrection, that should be the decision of the internal forces. It should not be for external forces to arrogate themselves that role, often, they do not have enough knowledge to decide rightly. Excessive external involvement always brings terrible distortions. Why should external forces involve themselves? That is a vote of no confidence in the people themselves. A legitimate internal insurrection, if that is the strategy chosen by the leaders of that effort, can succeed. The Shah of Iran was defeated by an internal insurrection; the Russian Revolution in 1917 was an internal insurrection; the Revolution in Zanzibar in 1964 was an internal insurrection; the changes in Ukraine, Georgia, etc., all were internal insurrections. It should be for the leaders of the Resistance in that country to decide their strategy, not for foreigners to sponsor insurrection groups in sovereign countries. I am totally allergic to foreign, political and military involvement in sovereign countries, especially the African countries. If foreign intervention is good, then, African countries should be the most prosperous countries in the world because we have had the greatest dosages of that: slave trade, colonialism, neo-colonialism, imperialism, etc. All those foreign imposed phenomena have, however, been disastrous. It is only recently that Africa is beginning to come up partly because of rejecting external meddling. External meddling and the acquiescence by Africans into that meddling have been responsible for the stagnation in Africa. The wrong definition of priorities in many of the African countries is, in many cases, imposed by external groups. Failure to prioritize infrastructure, for instance, especially energy, is, in part, due to some of these pressures. Instead, consumption is promoted. I have witnessed this wrong definition of priorities even here in Uganda. External interests linked up, for instance, with internal bogus groups to oppose energy projects for false reasons. How will an economy develop without energy? Quislings and their external backers do not care about all this.2.If you promote foreign backed insurrections in small countries like Libya, what will you do with the big ones like China which has got a different system from the Western systems? Are you going to impose a no-fly-zone over China in case of some internal insurrections as happened in Tiananmen Square, in Tibet or in Urumqi?3.The Western countries always use double standards. In Libya, they are very eager to impose a no-fly-zone. In Bahrain and other areas where there are pro-Western regimes, they turn a blind eye to the very same conditions or even worse conditions. We have been appealing to the UN to impose a no-fly-zone over Somalia so as to impede the free movement of terrorists, linked to Al-Qaeda, that killed Americans on September 11th, killed Ugandans last July and have caused so much damage to the Somalis, without success. Why? Are there no human beings in Somalia similar to the ones in Benghazi? Or is it because Somalia does not have oil which is not fully controlled by the western oil companies on account of Gaddafi’s nationalist posture?4.The Western countries are always very prompt in commenting on every problem in the Third World – Egypt, Tunisia, Libya, etc. Yet, some of these very countries were the ones impeding growth in those countries. There was a military coup d'état that slowly became a Revolution in backward Egypt in 1952. The new leader, Nasser, had ambition to cause transformation in Egypt. He wanted to build a dam not only to generate electricity but also to help with the ancient irrigation system of Egypt. He was denied money by the West because they did not believe that Egyptians needed electricity. Nasser decided to raise that money by nationalizing the Suez Canal. He was attacked by Israel, France and Britain. To be fair to the USA, President Eisenhower opposed that aggression that time. Of course, there was also the firm stand of the Soviet Union at that time. How much electricity was this dam supposed to produce? Just 2000 mgws for a country like Egypt!! What moral right, then, do such people have to comment on the affairs of these countries?5.Another negative point is going to arise out of the by now habit of the Western countries over-using their superiority in technology to impose war on less developed societies without impeachable logic. This will be the igniting of an arms race in the world. The actions of the Western countries in Iraq and now Libya are emphasizing that might is “right.” I am quite sure that many countries that are able will scale up their military research and in a few decades we may have a more armed world. This weapons science is not magic. A small country like Israel is now a super power in terms of military technology. Yet 60 years ago, Israel had to buy second-hand fouga magister planes from France. There are many countries that can become small Israels if this trend of overusing military means by the Western countries continues.________________________________________ 6.All this notwithstanding, Col. Gaddafi should be ready to sit down with the opposition, through the mediation of the AU, with the opposition cluster of groups which now includes individuals well known to us – Ambassador Abdalla, Dr. Zubeda, etc. I know Gaddafi has his system of elected committees that end up in a National People’s Conference. Actually Gaddafi thinks this is superior to our multi-party systems. Of course, I have never had time to know how truly competitive this system is. Anyway, even if it is competitive, there is now, apparently, a significant number of Libyans that think that there is a problem in Libya in terms of governance. Since there has not been internationally observed elections in Libya, not even by the AU, we cannot know what is correct and what is wrong. Therefore, a dialogue is the correct way forward.7.The AU mission could not get to Libya because the Western countries started bombing Libya the day before they were supposed to arrive. However, the mission will continue. My opinion is that, in addition, to what the AU mission is doing, it may be important to call an extra-ordinary Summit of the AU in Addis Ababa to discuss this grave situation.8.Regarding the Libyan opposition, I would feel embarrassed to be backed by Western war planes because quislings of foreign interests have never helped Africa. We have had a copious supply of them in the last 50 years – Mobutu, Houphouet Boigny, Kamuzu Banda, etc. The West made a lot of mistakes in Africa and in the Middle East in the past. Apart from the slave trade and colonialism, they participated in the killing of Lumumba, until recently, the only elected leader of Congo, the killing of Felix Moummie of Cameroon, Bartholomew Boganda of Central African Republic, the support for UNITA in Angola, the support for Idi Amin at the beginning of his regime, the counter-revolution in Iran in 1953, etc. Recently, there has been some improvement in the arrogant attitudes of some of these Western countries. Certainly, with Black Africa and, particularly, Uganda, the relations are good following their fair stand on the Black people of Southern Sudan. With the democratization of South Africa and the freedom of the Black people in Southern Sudan, the difference between the patriots of Uganda and the Western Governments had disappeared. Unfortunately, these rush actions on Libya are beginning to raise new problems. They should be resolved quickly.Therefore, if the Libyan opposition groups are patriots, they should fight their war by themselves and conduct their affairs by themselves. After all, they easily captured so much equipment from the Libyan Army, why do they need foreign military support? I only had 27 rifles. To be puppets is not good.9.The African members of the Security Council voted for this Resolution of the Security Council. This was contrary to what the Africa Peace and Security Council had decided in Addis Ababa recently. This is something that only the extra-ordinary summit can resolve.10.It was good that certain big countries in the Security Council abstained on this Resolution. These were: Russia, China, Brazil, India, etc. This shows that there are balanced forces in the world that will, with more consultations, evolve more correct positions.11.Being members of the UN, we are bound by the Resolution that was passed, however rush the process. Nevertheless, there is a mechanism for review. The Western countries, which are most active in these rush actions, should look at that route. It may be one way of extricating all of us from possible nasty complications. What if the Libyans loyal to Gaddafi decide to fight on? Using tanks and planes that are easily targeted by Mr. Sarkozy’s planes is not the only way of fighting. Who will be responsible for such a protracted war? It is high time we did more careful thinking.Yoweri K. MuseveniPRESIDENT20th March 2011________________________________________
 
AU wangejijengea credibility kwa kutatua tatizo la Ivory Coast kwanza. Failure to do that wataonekana kama wanapiga kelele za kitoto tu
 
Gadafi yupi? Si ndio alitupiga vita through Id amini dada? Kudadadeki akafie mbali

For the sake of Libya's people mkuu sio Gadafi.
Ukiisaidia Libya haumsaidii gadafi bali angalia raia wake.
 
Walioandaa resolution ni Lebanon na Arab League..

Mkuu, Really?

The text, drafted by France and Britain and circulated to members of the UN Security Council on Friday, also calls for an arms embargo against Libya as well as travel bans and asset freezes for the country's top leaders. The six-page draft was obtained by Reuters. (Reuters)
UN draft: Libya may have committed 'crimes against humanity' - Israel News, Ynetnews

The draft was distributed at a closed-door meeting by Britain and Lebanon after the Arab League called on the council on Saturday to set up a no-fly zone amid advances by leader Muammar Gaddafi's troops against the rebels based in the east.

http://www.freemalaysiatoday.com/20...-security-council-but-questions-still-linger/
 
Mimi sina hakika na au inafanya nini labda ivunjwe ianzishwe upyyyyyyyyyaaaaaaaaaaaaaaaa
 
AU wamejidhalilisha kwa lipi? alichokuwa anafanya Gaddafi ni kulinda uhuru na heshima ya nchi yake, hao unaowaita wapinzani sio zaidi ya waasi; kama mtu anabeba silaha kwa ajili ya kuitoa madarakani serekali dawa yake ni kipigo kwa kutumia silaha kama anazotumia yeye.

Gaddafi alikuwa hauwi raia wa Libya alikuwa anauwa waasi Uingereza, Marekani na Ufaransa wao ndio wanauwa raia kwa mashambulizi yao.

Dunia siku zote imekuwa ikipinga kuchukuliwa serikali kwa mapinduzi ya silaha inashangaza leo hii wanabariki Libya kufanyiwa hivyo! Na sisi wengine tunashangilia "kama mazuzu"
Tunalishwa propaganda TUNASHIBA na tumeshakuwa na mazoea mabaya ya kuona KILA JAMBO ZURI na la KUFURAHISHA NI LA KIMAGHARIBI!!! Hatujithamini tena wala hatuthamini maamuzi yetu kama WAAFRIKA! Na ikiwa hivi ndivyo, AFRIKA ITATAWALIWA MILELE.

Inahitajika MA-RAIS Wendawazimu ndio watawale nchi hizi na kututoa kwenye UTUMWA WA KIFIKRA. Tunahitaji ukombozi wa dhati na si UKIMBIZI. Leo hii chunguzeni na tazameni kwa makini sana, wanasiasa wanaovuma na kukubalika kwamba ni wa upinzani wengi wanajengwa kutoka nje ya Afrika! Aibu iliyoje kwa Afrika!? Ina maana hatuna watu wenye uwezo wa kufikiri tofauti na hao wakubwa wa dunia?

Leo wengi wetu tunacheka na kuona Gaddafi anapata haki yake stahili, lakini tumesahau kwamba nasi pia tuna MADINI, GESI, MAFUTA na rasilimali nyinginezo... Je kesho ni nani anajengwa ili aje KUWALINDIA MASLAHI hayo hao WAKUBWA? Je hakutatokea maandamano ya wenye silaha ili kuondosha udikteta uliobobea? Je wakati huo wewe na mimi tutakuwa upande upi? Je hilo litatumalizia VISASI? Je hatujiulizi kile tulichokijenga kwa mwendo wa konokono muda huo kitabaki kuendelea kuwepo!? Na kama kitakuwa kimeangamia itatuchukua muda gani kujijenga upya? (katika haya hebu tazameni walivyoibomoa Iraq na walichokijenga ni kipi? Leo wanaibomoa Libya je Wataijenga?)
Hii ni Afrika yetu na tutahukumiwa kwa kushindwa kuilinda wenyewe na vizazi vijavyo!

LEO HII HAO TUNAOWAITA WAKUBWA WANALIITA BARA LETU "BARA LA MATUKIO" ZAMANI WAKILIITA "BARA LA GIZA"
 
Gadhafi’s days are numbered and he has sworn to fight till the end. As per their beliefs he will go to heaven and be blessed with 72 virgins. But wait he already has more virgins than that!!!


http://xqno.com/binb

Gaddafi is already having his own version of heaven on earth by having an entourage of female supposedly virgin body guards that live and will die for him. What is up with that?
http://xqno.com/binbhttp://xqno.com/binb
http://xqno.com/binb http://xqno.com/binb
http://xqno.com/binb

His argument on creating female fighters is that if women are trained and taught the art of
combat they can better protect themselves and not be victims like those in other war torn
Arab countries.

http://xqno.com/binb
His female body guards known as The Amazonian Guard are killing machines. They are trained
to protect him and die for him. They also take a vow of chastity and apparently many young
women are dying to take on this role. As a matter of fact one got killed saving his life http://xqno.com/binb
when his convoy was attacked by assasins by throwing herself in the line of fire. http://xqno.com/binb


So even if Gadaffi doesn't see his dream of being the first leader of a United States of
Africa, atleast he has seen his heaven on earth.
http://xqno.com/binb

For sure, some of these ladies are real stunners, but they'll stun you, too or "knock you
out... if you mess with their supreme leader. Some wear lipstick, jewelry, polished nails,
even high heels.
http://xqno.com/binb




http://xqno.com/binb
Gaddafi is in safe hands . These virgins can kick a$$...

http://xqno.com/binb
The Libyan leader's female guards are trained to kill.

More trained killers...
http://xqno.com/binb
http://xqno.com/binb
http://xqno.com/binb
http://xqno.com/binb
http://xqno.com/binb
http://xqno.com/binb

http://xqno.com/binb
http://xqno.com/binb
http://xqno.com/binb
http://xqno.com/binb

Muammar Gaddafi fears flying over water, prefers staying on the ground floor and almost never travels without his trusted Ukrainian nurse, a “voluptuous blonde,” Galina Kolotnytska.

http://xqno.com/binb
Qadhafi relies heavily on his long-time Ukrainian nurse, Galyna Kolotnytska, who has been described as a "voluptuous blonde."
http://xqno.com/binb

Sadly she has left him and gone back to Ukraine!!!
 
Ni kweli kabisa mr/ms mfamaji,mapigano au vikwazo vyovyote wanaoathirika ni wananchi wasio na hatia,hata wakimuua Gaddaf bado wananchi wataathirika sana kwa miaka mingi ijayo.
 
Je pia ni kwanini Russia na China hawakutumia kura yao ya turufu?

Kama wangetumia basi kusingekuwa na mashambulizi hayo, na wao wakaamua kutopiga kura kwenye baraza la usalama la UN.

You have a very good point
 
Kwa hakika sisi waafrika Mungu ametunyima weledi,ujasiri,huruma,ni waoga,wavivu,wanafiki,watu wa kujipendekeza kwa matajiri.

Inasikitisha kuona bara lenye nchi 53 kushindwa kuwa na umoja wenye nguvu unaoweza kukemea mabedui wanaotudharau na kutufanyia vitendo vya unyanyasaji na mauji yasiyo na sababu.Angalia Marekani na washirika wake wanavyoionea Libya nchi ya nne kwa utajiri barani Afrika,yenye watu wanaothaminiwa na kiongozi wake.Wananchi wote wanapatiwa huduma zote muhimu bila malipo wala ubaguzi wa aina yoyote.Leo mataifa tajiri kutokana na wivu wao kwa rasilimali ya mafuta iliyomo nchini humo wanatoa macho na kuamua kupandikiza waasi ili wamuondoe Gaddafi kwa kisingizio eti hapendi demokrasia,kwani demokrasia ni nini? Nchi zetu tunaochaguana kila kukicha mbona maisha yametushinda? Uingereza mbano wanaogozwa na malkia?

Viongozi wa Afrika mbona mpo kimya? Baada ya Libya mnadhani nanyi mtakuwa salama? Inasikitisha sana viongozi wa Afrika kuendekeza kuwa ombaomba tu kwa hao Wamarekani,kufikiri kwenu kumefikia mwisho?

Waungwana nanyi toeni mawazo yenu nini kifanyike ili viongozi wa Afrika wabadilike na kuchukua hatua dhidi ya wakoloni hawa!

Suala si viongozi wa afrika mbona wapo kimya.....je unajua mataifa
ya magharibi na marekani yalianza kwa kauli gani juu ya huo uvamizi?
Walianza kwa kumwita Gadafi ni dikteta je,umewahi kujiuliza ni rais yupi wa
afrika ambaye si dikteta.....mugabe,mwai kibaki,museveni,paul kagame n.k
ambao hao na wengi wanajenga umoja wa afrika na marais wakiwa ni vio-
ngozi wa umoja huo.

Unaweza kusema labda Tanzania haina rais dikteta ikawa sawa lakini je,
mfumo wa kuongozwa na chama kimoja kwa muda miaka 30 je,chama
hicho si dikteta na kama chama ni dikteta je, marais wake watakuwa si
madikteta?hapa ni sawa na kusema mtu amelala chooni halafu asubuhi
anukie harufu ya pilau....na usione wazungu ni wajinga kwa kutowashi-
rikisha umoja wa afrika kwani wanajua wote sisi hatuna demokrasia ya
kimagharibi.....hatuna mkuu YAANI SISI NI MADIKTETA watuchape tu.


naitabiria afrika kupotea kabisa katika ulimwengu ujao.
 
Humu ndani tuache unafki wakuu...inabidi Gadafi alivyokuwa anauwa watu wake hamkuona???alafu mnataka viongizi wa Africa waingilie nini???hamkusikia alivyo sema kwamba atapita nyumba hadi nyumba anaenda kuuwa mmoja mmoja sasa wewe kama rais kweli una uchungu na wananchi wako????yaani sipotoka mtaani atawauwa wote alafu bado mnamtete wacha apewe adabu na wakubwa na wenye akili zaidi yake.....na tuache mambo ya kumtetea.....
 
Mkuu, Really?

The text, drafted by France and Britain and circulated to members of the UN Security Council on Friday, also calls for an arms embargo against Libya as well as travel bans and asset freezes for the country's top leaders. The six-page draft was obtained by Reuters. (Reuters)
UN draft: Libya may have committed 'crimes against humanity' - Israel News, Ynetnews

The draft was distributed at a closed-door meeting by Britain and Lebanon after the Arab League called on the council on Saturday to set up a no-fly zone amid advances by leader Muammar Gaddafi’s troops against the rebels based in the east.

Libya no-fly zone draft resolution circulated at UN | Free Malaysia Today

On March 12, the Arab League called on the Security Council to establish a no-fly zone

The resolution — drafted by France and Britain and introduced by Lebanon — passed 10–0 with five abstentions. The United States added its sponsorship of the resolution before the vote.
Hivi nini maana ya draft? Maana clearly umeacha kusema kuwa ilikuwa introduced na Lebanon, wewe ulitegemea Tanzania ndio wadraft? Heheh mkuu watu wenye taaluma ya kuenforce no fly zone ndio waliodraft.

The Security Council resolution demands the immediate and complete end to all violence and abuse against all Libyans. It imposes “a ban on all flights in the airspace of the Libyan Arab Jamahiriya in order to help protect civilians.”

The resolution also authorizes U.N.-member states to take “all necessary measures … to protect civilians and civilian populated areas under threat of attack in the Libyan Arab Jamahiriya, including Benghazi, while excluding a foreign occupation force of any form on any part of Libyan territory.”
Hapo kwenye nyekundu hapo ndipo panawapa Allied Forces ruhusa ya kujipigia mabomu wanavyotaka.
As long as hakuna majeshi ya nchi za kigeni kwenye ardhi ya Libya, hii mission ina baraka zote za UN.

In addition, the resolution authorizes U.N. members to act nationally or through regional organizations.


“The resolution also strengthens enforcement of the arms embargo and bans all international flights by Libyan-owned or operated aircraft,” Rice said. The resolution also empowers a newly established Libyan Sanctions Committee to impose sanctions against those who violate the arms embargo, she said.
Hapo kwenye red panaipa nafasi AU, EAC na hivi vijiorganisation vyetu vinavyokula hela za walipa kodi nafasi ya kresolve hii issue ya Libya lakini mpaka leo naona tunajiuma uma.
 
Nimejitahidi kufwatilia mgogoro wa libya nimejifunza mambo mengi sana moja ni kwamba capilalists has no parmanent frends /enemies but permanent interests kwamdamlemfu nimeona wa tanzania wengi hasa ndugu zangu wa islam wa kichukizwa moja kwa moja na kile kinacho fanywa na marekani pamoja na mataifa ya ulaya dhidi ya libya wakihisi wanania ya kuukandamiza uislam wa lidya pamoja na kuchukua mafuta, chakushangaza ni kwamba gadaffi mwanzoni alivishutumu fikosi vya alkaida kuwa ndio vina fanya mipango na vurugu za kumuondoa yeye madarakani lakini leo malekani anaungwa mkono na umoja wa nchi za kiarabu kwa mashambulizi wanayo yafanya dhidi ya nchi hiyo ambako gadaffi aliamini kuwa ndio litakuwa kimbilio lake akivamiwa na malekani .Na hao wa alabu ndio wa islam wa ukweli kuliko sisi huku tulio pokea tu dini toka kwao ,lakini tumekua tukiumia zaidi kuliko hao waarabu wenzie na gadaffi hasa napo shambuliwa ,labda mtasema mnaumia kwasababu gadaffi ni muafrika lakini mnasahau kuwa gadaffi alisha wai kutamka kuwa endapo Afrika haita ungana ataweka nguvu zake zote kwenya umoja wa kiarabu ,this means Afrika yupo tu ila yeye ni muarabu ,FUNDISHO NI KWAMBA WAISLAMU WA TANZANIA TUMEKUWA TUKIKI UNGA MKONO CCM KWASABABU JK NI WADINI YETU HUKU TUKISAHAU KUWA CCM SIO CHAMA CHAKIDINI HIVYO ZILE KURA TULIZO MPA NDIZO ZILIZO ONGEZA RUDHUKU NDANI YA CHAMA HICHO NA NDIZO ZITAKAZO TU MIKA KUMNADI MKRISTO MWAKA 2015.

I have nothing to say rather than thanking you while I respect your honesty
 
Uingereza mbona wanaogozwa na malkia?

Viongozi wa Afrika mbona mpo kimya? Baada ya Libya mnadhani nanyi mtakuwa salama? Inasikitisha sana viongozi wa Afrika kuendekeza kuwa ombaomba tu kwa hao Wamarekani,kufikiri kwenu kumefikia mwisho?

Waungwana nanyi toeni mawazo yenu nini kifanyike ili viongozi wa Afrika wabadilike na kuchukua hatua dhidi ya wakoloni hawa!

Mkuu.
Viongozi wetu wengi wa Afrika ni 10% type.
Pili wengi wanabaki madarakani kwa wizi wa kura.
Tatu, wanapopata hiyo 10% wanaificha katika mabenki ya mataifa ya West na kwa hiyo siri zao zinajuulika vyema na serikali za nchi hizo. Ndio sababu huwa rahisi kurubuniwa.
Nne, Bajeti za nchi nyingi ingawa zina utajiri wa rasilimali za asili lakini zinategemea ufadhili na misaada ya West na US.
Last but not least, wameingiwa na woga, wasiwasi na kiwewe. Hawajijui wala hawajitambui wanaogopa hii njia mpya ya Maandamano ya kudai haki katika nchi, pia hawajui nani atakuwa target baada ya Gaddaffi.

Nchi za Yemen, Bahrain, Algeria, Oman, Syria zinashuhudia maandamano na Yemen inaoneka ndio inafuata baada ya Libya. Wanapoangalia manuari za kivita za West na US na ndege za kivita zinavyomwaga mabomu kama mvua za masika basi wakuu wetu wako taabani. Wengine nafikiri wanavaa diapers!!

sisi wengine tunafurahia ,tunacheka kwa kuletewa demokrasi na west na US. Wengine tunaposema hawa West na US hawana kawaida ya kutetea maslahi ya wananchi wa nchi wanazozilenga ni mbinu tu ya kupandikiza "watumishi wao". Ukisema hivi unaambiwa unamsapoti Gaddaffi.

kwa vile wengi wa wanachi tuko usingizini basi kwa nguvu za kijeshi walizonazo hawa waharibifu wa dunia, wanarudi tena kwa aina mpya kujigawia Afrika na mataifa ya dunia ya tatu vile wapendavyo....tukae mkao wa kuliwa.
 
On March 12, the Arab League called on the Security Council to establish a no-fly zone

Hivi nini maana ya draft? Maana clearly umeacha kusema kuwa ilikuwa introduced na Lebanon, wewe ulitegemea Tanzania ndio wadraft? Heheh mkuu watu wenye taaluma ya kuenforce no fly zone ndio waliodraft.

Hapo kwenye nyekundu hapo ndipo panawapa Allied Forces ruhusa ya kujipigia mabomu wanavyotaka.
As long as hakuna majeshi ya nchi za kigeni kwenye ardhi ya Libya, hii mission ina baraka zote za UN.

Hapo kwenye red panaipa nafasi AU, EAC na hivi vijiorganisation vyetu vinavyokula hela za walipa kodi nafasi ya kresolve hii issue ya Libya lakini mpaka leo naona tunajiuma uma.

Mkuu.
Wewe unapenda kutupa sugar coated kloroquine and quinine.
Kama West ndio wame-draft hiyo resolution na kujiwekea hicho kipengele cha "all necessary measures" halafu wakaikokoteza Jordan. jordan na Britain ndio wame-introduce hiyo resolution kwenye chamber..huoni ni kiini macho hiki mkuu?

and within hours, wakaanza kudondosha mabomu Libya, measures zipi zingefuata kabla ya kudondosha mabomu? mkuu AU au Arab league wataresolve vipi issue hii wakati unadondosha mabomu kama mvua ya masika?

mzozo wa Libya umechukua siku ngapi kabla ya West na US kuanza uharibifu wao.
Mbona kuna mizozo imeshachukua miaka mingi sasa na bado wanatafuta suluhisho kwa mazungumzo na sio kwa kudondosha mabomu?
Jee UN au west na US walituma ujumbe wowote Libya kwa kufanya diplomasia na serikali ya Gaddaffi kabla ya kudondosha mabomu?

Wito wao wa kwanza ilikuwa Gaddaffi aache uasi na aondoke madarakani. na halafu wamesema ni lazima aondoke tu...halafu mkuu unapopiga majeshi ya serikali lakini unawapa cover waasi wawapige majeshi ya serikali. Hizi ni sheria za wapi?
 
Back
Top Bottom