Nimejitahidi kufwatilia mgogoro wa libya nimejifunza mambo mengi sana moja ni kwamba capilalists has no parmanent frends /enemies but permanent interests kwamdamlemfu nimeona wa tanzania wengi hasa ndugu zangu wa islam wa kichukizwa moja kwa moja na kile kinacho fanywa na marekani pamoja na mataifa ya ulaya dhidi ya libya wakihisi wanania ya kuukandamiza uislam wa lidya pamoja na kuchukua mafuta, chakushangaza ni kwamba gadaffi mwanzoni alivishutumu fikosi vya alkaida kuwa ndio vina fanya mipango na vurugu za kumuondoa yeye madarakani lakini leo malekani anaungwa mkono na umoja wa nchi za kiarabu kwa mashambulizi wanayo yafanya dhidi ya nchi hiyo ambako gadaffi aliamini kuwa ndio litakuwa kimbilio lake akivamiwa na malekani .Na hao wa alabu ndio wa islam wa ukweli kuliko sisi huku tulio pokea tu dini toka kwao ,lakini tumekua tukiumia zaidi kuliko hao waarabu wenzie na gadaffi hasa napo shambuliwa ,labda mtasema mnaumia kwasababu gadaffi ni muafrika lakini mnasahau kuwa gadaffi alisha wai kutamka kuwa endapo Afrika haita ungana ataweka nguvu zake zote kwenya umoja wa kiarabu ,this means Afrika yupo tu ila yeye ni muarabu ,FUNDISHO NI KWAMBA WAISLAMU WA TANZANIA TUMEKUWA TUKIKI UNGA MKONO CCM KWASABABU JK NI WADINI YETU HUKU TUKISAHAU KUWA CCM SIO CHAMA CHAKIDINI HIVYO ZILE KURA TULIZO MPA NDIZO ZILIZO ONGEZA RUDHUKU NDANI YA CHAMA HICHO NA NDIZO ZITAKAZO TU MIKA KUMNADI MKRISTO MWAKA 2015.