AU's dilemna and the Libyan crisis

AU's dilemna and the Libyan crisis

A puppet will always remain as a puppet! may be he/she can only change to be a clown!! i cannot say no more!
 
Jamani hivi kuna umuhimu wa kuwa na AU?? Kama demokrasia yetu ni kiini macho????
 
Acha wapate kichapo hata JK atachapwa kupitia Misaada ya fedha za bajeti hadi aandika katiba mpya.Wakitoka L;ibya watatua bongo kushinikiza katiba.

Wazungu wanapenda kupora pale ambapo demokrasia inashamiri na wao ndiyo wanapenda washiriki kushamirisha ili waonekane mbele ya macho ya wanachi kama ni watetezi.

Mimi naona bora wafanye hivyo ili watawala wetu wawajibike kwetu na wao wajione sote tunaibiwa na hivyo tutaweza kuwa wamoja.Tofauti na sasa watawala wanajiona miungu watu wanaendelea kwiba tu leo eti tunasambiwa deni la taifa 11.8trioni hii ni ya wapi??
 
Jamani hivi kuna umuhimu wa kuwa na AU?? Kama demokrasia yetu ni kiini macho????

AU Ni Mkutano wa marais kujuliana hali na kutambulishana tuu.hauna faida yeyote na wananchi wa kawaida.Mifano iko mingi,moja...

Nchi ya sudani iko vitani kwa miongo kadhaa sasa,nchi ya Ivory coast iko vitani mpaka sasa kwa miezi kadhaa wapi AU? Kenya iliingia kwenye migogoro ya uchaguzi mpaka watu kuuana lakini wapi AU? Nchi ya Somalia iko kwenye matatizo mpaka leo na haijulikani lini yataisha wapi AU?

Kwa ufupi AU imeshindwa kazi na ifutwe.
 
PRESIDENT Yoweri Museveni has attacked the Western countries for their military action in Libya and accused them of double standards.

Over the weekend, France, UK, Canada, US and Denmark launched aerial attacks on military targets and bases in Libya, arguing that they are intended to halt Col. Muammar Gadaffi loyalists from killing civilians.

Museveni also warned that the habit of the Western countries using their superiority in technology to impose war on less developed countries "without impeachable logic" will ignite an arms race in the world.

"The actions of the Western countries in Iraq and now Libya are emphasizing that might is ‘right.' I am quite sure that many countries that are able will scale up their military research and in a few decades we may have a more armed world," Museveni said in a statement yesterday.

In the nine-page statement, the President accused the West of hastily imposing a ‘no-fly zone' on Libya yet it has dragged its feet on the Africa Union request for the same over Somalia.

"We have been appealing to the UN to impose a no-fly zone over Somalia so as to impede the free movement of terrorists, linked to Al-Qaeda that killed Americans on September 11, killed Ugandans last July and have caused so much damage to the Somalis, without success. Why?" the President asked.
The UN imposed a ‘no-fly zone' on Libya last Thursday.

Museveni also accused the West of looking on as a Libya-like crisis evolves in the Great state of Bahrain.

The President said despite Gadaffi's past mistakes that included supporting Ugandan dictator Idi Amin, trying to bulldoze the AU and meddling in internal affairs of several countries using cultural leaders, he is an independent minded nationalist who has developed his country to middle income and refused to become a Western puppet.

"Muammar Gaddafi, whatever his faults, is a true nationalist. I prefer nationalists to puppets of foreign interests. Where have the puppets caused the transformation of countries?" Museveni wondered.

He suggested that an extra-ordinary summit of the AU should be called in Addis-Ababa, Ethiopia to help extricate "all of us from possible nasty complications."

Museveni urged Gadaffi to sit at a round table with the opposition, adding that since there have never been elections in Libya, "dialogue is the correct way forward."

"The ideal responsible Government should also be an elected one by the people at periodic intervals," he advised.
 
Jamaa anapoint hapo, kwanini UN isiingilie Somalia? UN walifanya nini wakati wa mauaji ya Rwanda?

Halafu nchi kama China na Russia ni wanafiki, kama walikuwa hawataki hiyo no-fly-zone si wange-veto badala ya ku abstain halafu sasa hivi wanapiga domo kupinga.

Simuungi Ghadafi, na nalaani double standards za UN.
 
Harakati za jamii ya kimataifa zinazoendela dhidi ya Libya zimekosolewa Rais Yoweri Museveni wa Uganda.

Katika tahariri yake kuhusu mgogoro wa Libya, iliochapishwa kwenye magazeti nchini humo Rais Museveni amemkosoa na pia kumtetea Kanali Muamar Gaddafi.

Kiongozi huyo amepinga upinzani ambao unaungwa mkono na mataifa ya kigeni na ameyaita mataifa hayo kama yenye undumila kuwili unaothibitishwa na kuweka haraka marufuku ya ndege kupaa kwenye anga ya Libya.

Museveni ambaye ni mmoja walioteuliwa kwenye jopo la kutatua mzozo huo na Umoja wa Afrika amehoji kwa nini nchi hizo zina puuza hali mbaya kama vile ya Bahrain ama maeneo mengine yenye kuegemea upande wa magharibi.

Katika tahariri hiyo, anauliza ikiwa Benghazi pekee ndio kuna raia na Mogadishu hakuna au ni kwa sababu nchini Somalia ambapo wameomba Umoja wa Mataifa kuingilia kati mzozo unaoendelea hakuna mafuta.

Aidha, Rais Museveni amemsifu Kanali Gadafi kama mmoja wa viongozi wa Kiarabu ambae hashabikii uislamu wa itikadi kali.

Kiongozi huyo pia amemsifu Gaddafi kama kiongozi wa Afrika ambaye ana mawazo yake binafsi asie shawishika na sera za kigeni.

Kwenye tahariri hiyo pia, Rais Museveni amekosoa sera za Gaddafi, na kutoa mifano kama alivyounga mkono utawala wa Iddi Amin alieongoza Uganda tangu mwaka wa 1971 hadi 1979.

Museveni ameongeza kuwa Gadaafi alikosa kuingilia mambo ya ndani ya nchi za kiafrika, kwa mfano kwa kuwahusisha viongozi wa kijadi ama kitamaduni, kama vile wafalame na watemi katika masuala ya kisiasa.

Tahriri yake imekamilika kwa kuutaka umoja wa Mataifa kudurusu azimio lake la marufuku ya ndege kupaa kwenye anga ya Libya.

BBC Swahili - Habari - Museveni alaani mashambulizi ya Libya

There is a point here made Museveni. The Patronage shown by Western and US are not for human being but for their own interest!!! It is a NO FLY ZONE but they fly!!! They are protecting BUT THEY KILLING PEOPLE!!!! In BAHRAIN they are supporting the Govt while people with no arms are on the street!!!! In LIBYA they are supporting Armed REBELS while people are not on the street!!! IT IS DOUBLE STANDARD INDEED!!! In Ivory Coast, They Didn't take action but have been killled and they are still killing each other!!! Yet, France was the coloniser and is the one who sow those greedy seeds in African countries and is NOT taking Action!!! Same France didn't take Action to avoid blood bath in Rwanda of almost 1 million people!!!
Americans have so far killed 600000 people in Iraq and Afganistan but they are protecting people in LIBYA!!!
This is what make me think that these people are not peolpe and they are not after the poor and they hate anyone who tries to get out of poverty cycle without depending much on them!!!!!

I don't agree and will never agree with the Agrression of US and his Alies on other nations!!!!!!
 
AU Ni Mkutano wa marais kujuliana hali na kutambulishana tuu.hauna faida yeyote na wananchi wa kawaida.Mifano iko mingi,moja...

Nchi ya sudani iko vitani kwa miongo kadhaa sasa,nchi ya Ivory coast iko vitani mpaka sasa kwa miezi kadhaa wapi AU? Kenya iliingia kwenye migogoro ya uchaguzi mpaka watu kuuana lakini wapi AU? Nchi ya Somalia iko kwenye matatizo mpaka leo na haijulikani lini yataisha wapi AU?

Kwa ufupi AU imeshindwa kazi na ifutwe.

Na kama hiyo haitoshi, mtatizo ya Misri, Tunisia na sasa Libya kote AU wamekaa kimya hadi international community imetia maguu ndio wanajifanya kujitokeza eti kumediate the dialogue, unafiki mtupu.

Tatizo viongozi wenyewe wa AU ndio kama akina M7, JK, etc, wataalamu wa kuchakachua, wakiona mchakachuaji mwenza ananyolewa wao kimyaa
 
Lets await the reign of the vultures? Then most eyes will open to see the true enemies! A quest for democracy? But which democracy? The one from d oppressors, imperialists, colonialists dat makes and breaks at their own suitable time using their media to brainwash and give peanuts to people out of their daily toils and sweats while they live like kings on resources thats never their own. Africa has always been part of a conquered continent because of the peoples blindness to reality and its leaders greed! WESTERN NATIONS ENCOURAGES AFRICAN LEADERS TO BECOME GREEDY AND CORRUPT TO SUIT THEIR DESIRES TO CORNER ITS RESOURCES AND WHEN SUCH LEADERS BECOMES UNCONTROLLABLE TO THEM THEY LOOK FOR A REPLACEMENT THEREBY EXPLOITING AVAILABLE OPPORTUNITIES TO OUTST SUCH LEADERS.
 
Yes Comrade Museveni,tell them....
I do not support a man killing his own people but my instinct tells me that there are more to this than meet the eyes. The western world meddling into the affairs of Libya is suspicious. In Burundi, Somalia and Democratic Republic of Congo there was massacre, they never thought of bombardment. Ask me why? Nothing of interest in those places and also the Government in these war torn countries have not for once had issue with the so called world powers and have their way like Gaddafi. Gaddafi is being targeted because of two things; Oil and Personal grief (Lockebrie Plane bombing) fresh in the memory of Americans and British. If truly those people are called rebels, then they are against the state, they need to fight it out but the way I see it, tribal sentiments have set in and the military involvement of UN would not have been so quick and sporadic. They need to observe first and let the world see that Gaddafi has really over-stepped his boundary before they start shelling him. Please Can anyone tell me what is to be achieved by shelling his compound? They want him dead. THE MEDIATORS IN ACTION who disarm one for other to claim more ground. Two wrongs can never make a right but Western world will always be right.

President Museveni has written an article analysing his former ally Muammar Gaddafi’s rule. The President tells of what Gaddafi’s has done right and wrong during his 42-year rule as well as his take on the unrest in Libya. We bring you an abridged version of the article.

By the time Muammar Gaddaffi came to power in 1969, I was a third year university student at Dar-es-Salaam. We welcomed him because he was in the tradition of Col. Gamal Abdul Nasser of Egypt who had a nationalist and pan-Arabist position.

Soon, however, problems cropped up with Col. Gaddafi as far as Uganda and Black Africa were concerned:

1.Idi Amin came to power with the support of Britain and Israel because they thought he was uneducated enough to be used by them. Amin, however, turned against his sponsors when they refused to sell him guns to fight Tanzania. Unfortunately, Col. Muammar Gaddafi, without getting enough information about Uganda, jumped in to support Idi Amin. This was because Amin was a ‘Moslem’ and Uganda was a ‘Moslem country’ where Moslems were being ‘oppressed’ by Christians. Amin killed a lot of people extra-judicially and Gaddafi was identified with these mistakes. In 1972 and 1979, Gaddafi sent Libyan troops to defend Idi Amin when we attacked him. I remember a Libyan
Tupolev 22 bomber trying to bomb us in Mbarara in 1979. The bomb ended up in Nyarubanga because the pilots were scared. They could not come close to bomb properly. We had already shot-down many Amin MIGs using surface-to-air missiles. The Tanzanian brothers and sisters were doing much of this fighting. Many Libyan militias were captured and repatriated to Libya by Tanzania. This was a big mistake by Gaddafi and a direct aggression against the people of Uganda and East Africa.

2.The second big mistake by Gaddafi was his position vis-à-vis the African Union (AU) Continental Government “now”. Since 1999, he has been pushing this position. Black people are always polite. They, normally, do not want to offend other people. This is called: ‘obufura’ in Runyankore, mwolo in Luo – handling, especially strangers, with care and respect. It seems some of the non-African cultures do not have ‘obufura’. You can witness a person talking to a mature person as if he/she is talking to a kindergarten child. “You should do this; you should do that; etc.” We tried to politely point out to Col. Gaddafi that this was difficult in the short and medium term. We should, instead, aim at the Economic Community of Africa and, where possible, also aim at Regional Federations. Col. Gaddafi would not relent. He would not respect the rules of the AU. Something that has been covered by previous meetings would be resurrected by Gaddafi. He would ‘overrule’ a decision taken by all other African Heads of State. Some of us were forced to come out and oppose his wrong position and, working with others, we repeatedly defeated his illogical position.

3.The third mistake has been the tendency by Col. Gaddafi to interfere in the internal affairs of many African countries using the little money Libya has compared to those countries. One blatant example was his involvement with cultural leaders of Black Africa – kings, chiefs, etc. Since the political leaders of Africa had refused to back his project of an African Government, Gaddafi, incredibly, thought that he could by-pass them and work with these kings to implement his wishes. I warned Gaddafi in Addis Ababa that action would be taken against any Ugandan king that involved himself in politics because it was against our Constitution. I moved a motion in Addis Ababa to expunge from the records of the AU all references to kings (cultural leaders) who had made speeches in our forum because they had been invited there illegally by Col. Gaddafi.

4.The fourth big mistake was by most of the Arab leaders, including Gaddafi to some extent. This was in connection with the long suffering people of Southern Sudan. Many of the Arab leaders either supported or ignored the suffering of the Black people in that country. This unfairness always created tension and friction between us and the Arabs, including Gaddafi to some extent. However, I must salute H.E. Gaddafi and H.E. Hosni Mubarak for travelling to Khartoum just before the Referendum in Sudan and advised H.E. Bashir to respect the results of that exercise.

5.Sometimes Gaddafi and other Middle Eastern radicals do not distance themselves sufficiently from terrorism even when they are fighting for a just cause. Terrorism is the use of indiscriminate violence – not distinguishing between military and non-military targets. The Middle Eastern radicals, quite different from the revolutionaries of Black Africa, seem to say that any means is acceptable as long as you are fighting the enemy. That is why they hijack planes, use assassinations, plant bombs in bars, etc. Why bomb bars? People who go to bars are normally merry-makers, not politically minded people. We were together with the Arabs in the anti-colonial struggle. The Black African liberation movements, however, developed differently from the Arab ones. Where we used arms, we fought soldiers or sabotaged infrastructure but never targeted non-combatants. These indiscriminate methods tend to isolate the struggles of the Middle East and the Arab world. It would be good if the radicals in these areas could streamline their work methods in this area of using violence indiscriminately.

These five points above are some of the negative points in connection to Col. Gaddafi as far as Uganda’s patriots have been concerned over the years. These positions of Col. Gaddafi have been unfortunate and unnecessary.
 
sawa.

lakini kwanini museveni amechezea katiba na kumruhusu kuwa na nia kama za qaddafi za kuwa kiongozi badala ya rais?
 
Dikteta anamkosoa mwenzake ambaye maji yamemfika shingoni. Hata Museveni yatamfika yanayomfika Gadafi - watu wote wanataka haki zao.
 
sawa.

lakini kwanini museveni amechezea katiba na kumruhusu kuwa na nia kama za qaddafi za kuwa kiongozi badala ya rais?

tena yeye alishawishi mabadiliko ya katiba ya Uganda ili awe rais wa milele na baada ya kushinda uchaguzi uliopita alisema see you in 2016,akimaanisha atagombea tena na kwa hila zake na vitisho atashinda.....nyani haoni...........!!!!:smash:
 
sawa.

lakini kwanini museveni amechezea katiba na kumruhusu kuwa na nia kama za qaddafi za kuwa kiongozi badala ya rais?

Hajawahi kuyaona yale ma-ndege ya Tornado, amphibious, B-2 Stealth,reconnaissance na ma-tomahawk cruise missile kwa macho anataka yaje Kampala kumsalimia....na vile ameshapata mafuta very soon yatamtembelea kama akiendelea kutaka kutawala kama Gadafi
 
Back
Top Bottom