Audio: Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu, amezungumza na waandishi wa habari leo, Januari 7, 2022

Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. Tundu Lissu leo, January 7, 2022 saa 4:00 asubuhi, saa za Afrika ya mashariki, amezungumza na waandishi wa habari.

Chanzo: Chadema Media
Code:
https://www.youtube.com/watch?v=WgIY7Q7w2uM

7 January 2022

Makamu Mwenyekiti Mhe. Tundu Lissu, anazungumza na waandishi wa habari.

Source : CHADEMA MEDIA TV
 
Hebu twendeni taratibu...

Ina maana Mbunge/Spika wa Bunge kila anachosema kama ni cha kiserikali inatafsirika kwamba aliyeongea ni Mhimili wa Bunge, na kwahiyo kum-challenge ni kuingilia Mhimili wa Bunge?!

Anyway, wacha nami niache unafiki na niongee moja kwa moja!!!

Kusema kwamba challenge ya SSH kwa Ndugai ni kuingilia Mhimili mwingine, NI UPOTOSHAJI WA WAZI!!!

Kilicho Mhimili ni TAASISI na sio MTU au Cheo cha Mtu!! Kwa muktadha huu, Mhimili ni BUNGE na sio MBUNGE/SPIKA!!

Mbunge anapoongea au kufanya kazi ya Kibunge NDANI YA BUNGE, anakuwa amefanya au kusema kwa niaba ya Mhimili!! Na anaposema kwa niaba ya Mhimili, hapo ukimwingilia au kum-challenge ndo utakuwa unau-challenge Mhimili kwa sababu, ingawaje Mhimili ni Bunge na sio Mbunge lakini bado Bunge haliwezi kuwa Bunge bila Wabunge!!

Ni kutokana na hilo, ndo maana Ibara ya 100(2) ya Katiba yetu inasema:-

Hapo utaona wazi kwamba, Comfort Zone kwa Mbunge ni Ndani ya Bunge! Akiwa ndani ya Bunge anakuwa anafanya kazi ya kibunge kwa niaba ya Bunge ambalo ndilo Mhimili!

Na akiwa hapo, Mbunge HAKAMATIKI wala HAGUSIKI kwa sababu analindwa na Ibara ya 100(2)! Na ndo maana hata huyu Tundu Lissu mwenyewe, kaipa vitofa sana Serikali ya JPM akiwa bungeni lakini hawakuweza kumfanya chochote kwa sababu humo, at least theoretically, hakamatiki wala hagusiki!! Na kwa kujua hilo, ndo maana mara zote walikuwa wanamlia timing kwa yale atakayotamka akiwa nje ya bunge!!

Turudi kwa Ndugai vs Samia!!!

Hebu kwanza nijuzeni!

Ndugai ni Kiongozi wa Mhimili mmoja wapo and at the same time, Samia nae ni kiongozi wa Mhimili mwingine, kama ambavyo Ibara ya 33(2) ya Katiba yetu inavyosema:-

Now, WHY ionekane Samia ndie ame-challenge Mhimili wakati alichofanya Samia ndicho kile kile alichofanya Ndugai?! Mbona hatusemi kwamba Ndugai ameingilia Mhimili mwingine? Mbona hatusemi Ndugai ame-challenge mamlaka nyingine?

Najua wapo watakaosema

Lakini kama nilivyosema hapo juu... kwani Maoni ya Ndugai yalikuwa ni sehemu ya kazi zake za Kibunge ndani ya Bunge ili tuhalalishe kwamba alichofanya Samia ni kuingilia Mhimili mwingine?!

Let me again go straight to the point...

SAMIA HAKUINGILIA MHIMILI WOWOTE ULE BALI, "AMEINGILIA" UHURU WA KUTOA MAONI kama unavyotajwa kwenye Ibara ya 18(1) kwamba:-

Ndugai hakuwa anafanya kazi kama Mhimili wa Bunge kwa sababu Mhimili sio cheo bali taasisi!!! Kwa maana nyingine, maoni yake HAYALINDWI na Ibara ya 100(2) bali yanalingwa na Ibara 18(1) kama inavyotakiwa kwangu mimi na wewe hata kama sio Wabunge au Spika wa Bunge!!

Lakini hata hiyo Ibara ya 18(1), Samia ameiingilia vipi?!

Labda kama kuna kitu nime-miss lakini ninachoona Ndugai alitumia uhuru wake wa kutoa maoni ili KUTEMA NYONGO dhidi ya Samia, na Samia nae katumia uhuru wake kutema nyongo dhidi ya Ndugai... ngoma droo!!

Au, bila kujali ikiwa tuhuma ni za kweli au si za kweli, bado Kiongozi wa Mhimili mmoja ana haki ya kutema nyongo dhidi yaMhimili Mwingine lakini huo Mhimili mwingine ukijibu inakuwa ni kuingilia Mhimili ule uliotema nyongo hata kama nyongo hiyo ipo nje ya kazi ay Mhimili?

Ninachosema ni kwamba, kwanini iwe ni halali Ndugai kutema nyongo dhidi ay Mhimili mwingine lakini iwe haramu Mhimili mwingine kujibu?!

Hapo kwenye Samia kuingilia uhuru wa kutoka maoni nimeweka kifunga na kifungua semi kwa sababu sioni ameingilia vipi hata kama TL anadai Ndugai amelazimishwa kujiuzulu Sina taarifa za Samia kushinikiza Ndugai ajiuzulu au kuagiza Ndugai akamatwe... hiyo ndo ingekuwa kuingilia uhuru wa kutoa maoni!

Nilichokiona ni Samia kutema nyongo kwa staili ile ile ya Ndugai, lakini from nowhere, kama kawaida yao CCM ndo wakaanza kuibuka na kumtaka Ndugai ajiuzulu... yaani utadhani hapo kabla hawakufahamu Ndugai aliongea nini, lakini hakuwafanya chochote hadi SSH alipoonesha kutopendezwa na sindao za Ndugai... KUJIPENDEKEZA EFFECT!!

Kama wana-CCM waliona Ndugai alikuwa na wajibu wa kujiuzulu basi wangemshinikiza afanye hivyo hata kabla SSH hajasema chochote!!

PAMOJA NA YOTE hayo, Samia amekurupuka na Ndugai amehukumiwa largely kutokana na video editing na ujengaji mbovu wa hoja!

Ingawaje watu wamemkejeli Ndugai aliposema video imekuwa edited, ukweli ndo huo! Video inayosambazwa mitandaoni inaanza kwa kumuonesha Ndugai akianza kusema:-

Ukianzia hapo, ni rahisi sana kuamini Ndugai alim-target Samia moja kwa moja! Binafsi, nilipata mashaka kidogo na hivyo nikaamua ni-search more clips ndipo nikakutana na nyingine ambayo imeanza kama ifuatavyo:-

Sasa ukiachana na huo utangulizi ulioachwa kwa makusudi kabisa, ndo unakuta Ndugai anaendelea:-

Sasa ukiunganisha sehemu iliyokatwa na sehemu inayosambazwa, utagundua Ndugai alikuwa anawasemanga wanaopinga TOZO! Ndo hapo akasema hatupo bungeni kukomoa watu, kwa mfano hili la tozo tumelaumiwa sana! lakini wakati tunalaumiwa, ni tozo hizo hizo ndizo hivi sasa zinajenga madarasa na vituo vya afya!!

Na hapo ndipo akaingiza suala la mkopo wa mama, na ndipo anahoji ni lipi bora kwa taifa! Tuendelee kukamuana wenyewe kwa wenyewe au tugemee mikopo?! Na kwa maoni yake, anaona ni lazima tukamuane wenyewe kwa wenyewe, na kama 2025 mtatuhukumu na kuwataka Wafuasi wa Mikopo badala ya kukamuana wenyewe, let it be!!

Kwa bahati mbaya kabisa, SSH wakaona kipengele cha mikopo bila kufahamu hilo suala la mikopo limeingiaje!

Lakini kwa upande mwingine, nimeshangazwa sana na Mwananchi Communication kwa sababu kwa ukubwa wa hii media, sijui ni kwanini wakaamua ku-upload video ambayo imekatwa na matokeo yake ikaharibu kabisa hoja ya Ndugai!! Ingawaje pia nashangazwa na jazba za SSH kwa sababu kama angemuita Ndugai amuulize imekuaje tena mtu kama yeye anainanga serikali kuchukua mikopo, bila shaka Ndugai angefafanua, na kutoa full video!! Kinyume chake, SSH akanuna, na kwenda hewani huku akiwa na nusu tu ya kile alichoongea Ndugai unless kama alisikiliza yote lakini akaamua kupuuza!

Je, Ndugai alitumia vibaya Uhuru wake wa Kutoa Maoni?

Ibara ya 62(1) inasema Bunge litakuwa na sehemu mbili, yaani Rais na Wabunge! Kwa maana nyingine, SSH nae ni sehemu ya Bunge! Na kifungu kidogo cha 3 cha ibara husika kinasema:-

Sijui mnanielewa?!

Kumbe jambo linalotakiwa kuamuliwa na pande zote mbili litahesabika limetekelezwa IPASAVYO endapo tu lina baraka ya Bunge na Rais.

Sasa Je, hivi nyie mmeshawahi kusikia Samia or any past Presindent akiingia bungeni kujadili suala la nchi kuchukua mkopo?! Kama wenzangu mmewahi kusikia, then well and good lakini binafsi sijawahi kwa sababu utaratibu upo kama ifuatavyo!

Wizara mbalimbali zinaanda bajeti zake!! Ikishafanyika consolidation, Wizara ya Fedha ndiyo itafahamu vyanzo mbalimbali vya mapato yetu! Sasa ikionekana vyanzo vyetu haviwezi kuivusha bajeti husika, ndipo hapo linaingizwa suala la MIKOPO kama moja ya vyanzo vya mapato!

Utaratibu huo ukikamilika, ndipo pale mnasikia kuna KIKAO CHA BAJETI BUNGENI! Kazi ya Bunge ni KUKUBALI KUIDHINISHA AU KUKATAA, chochote kitakacholetwa kwao na Wizara ya Fedha!! Wabunge mkishasema NDIYOOOOOO BAJETI YA WIZARA YA FEDHA IPITIE, hapo tafsiri yake inakuwa mmeiruhusu serikali, pamoja na mambo mengine KWENDA KUKOPA!!

Kwavile Wabunge, including Ndugai mlishamwambia Mwigulu Nchemba kwamba "BABA, BAJETI YAKO NDIYOOOO", manake Ndugai na wenzake wamemwambia Mwigulu NENDA TU KAKOPE HIYO MIHELA! Sasa wakati Mwigulu atakapokuwa anatekeleza moja ya NDIYOO ambayo ni kukopa, yeye atakachofanya sio baadae kurudi tena kwenu ili mjadili kuchukua mkopo kwa sababu mlishamruhusu!!

KItakachofuata hapo ni timu ya wachache tu, including rais, ndio watakaoshughulika na huo ukopaji, and finally, itakuwa imelamilika ile sehemu ya Ibara ya 62(1)(3) inayosema "mpaka liwe limeamuliwa au limetekelezwa na Wabunge na vile vile na Rais "! Wabunge mlishapiga makofi ya NDIYOOO ikiwa ni pamoja na NDIYOOO KOPENI TU, na Rais nae anakuja kukamilisha Mchakato akiwa na timu yake!!

Sasa kama Ndugai alishasema NDIYOOOOOO, KOPENI TU, inakuaje tena anatoka nje na kuanza kulia lia?! Anyway, ametumia Uhuru wake wa Ibara ya 18(1)... Uhuru wa Kutoa Maoni bila kuingiliwa lakini linapokuja suala la COLLECTIVE RESPONSILIBITY, anakuwa amefanya jinai kubwa sana ya kiuongozi kwa sababu huwezi kutoa nje kupinga kitu ambacho wewe mwenyewe umeshiriki kupitisha!!!

Lau kama Ndugai angekuwa ni Mbunge wa Kawaida, well and good lakini unapokuwa KIONGOZI wa taasisi iliyofanya maamuzi halafu tena unaenda kukejeli maamuzi hayo hadharani, my friends, nashangaa akina Tundu Lissu wanaongea kirahisi rahisi tu but that's serious violation of collective responsibility!!

Wewe kweli ni true jamii forum expert member. Kwa muda mrefu tumekosa very strong arguments like this. Well said and big up
 
Nakmbe
Hebu twendeni taratibu...

Ina maana Mbunge/Spika wa Bunge kila anachosema kama ni cha kiserikali inatafsirika kwamba aliyeongea ni Mhimili wa Bunge, na kwahiyo kum-challenge ni kuingilia Mhimili wa Bunge?!

Anyway, wacha nami niache unafiki na niongee moja kwa moja!!!

Kusema kwamba challenge ya SSH kwa Ndugai ni kuingilia Mhimili mwingine, NI UPOTOSHAJI WA WAZI!!!

Kilicho Mhimili ni TAASISI na sio MTU au Cheo cha Mtu!! Kwa muktadha huu, Mhimili ni BUNGE na sio MBUNGE/SPIKA!!

Mbunge anapoongea au kufanya kazi ya Kibunge NDANI YA BUNGE, anakuwa amefanya au kusema kwa niaba ya Mhimili!! Na anaposema kwa niaba ya Mhimili, hapo ukimwingilia au kum-challenge ndo utakuwa unau-challenge Mhimili kwa sababu, ingawaje Mhimili ni Bunge na sio Mbunge lakini bado Bunge haliwezi kuwa Bunge bila Wabunge!!

Ni kutokana na hilo, ndo maana Ibara ya 100(2) ya Katiba yetu inasema:-

Hapo utaona wazi kwamba, Comfort Zone kwa Mbunge ni Ndani ya Bunge! Akiwa ndani ya Bunge anakuwa anafanya kazi ya kibunge kwa niaba ya Bunge ambalo ndilo Mhimili!

Na akiwa hapo, Mbunge HAKAMATIKI wala HAGUSIKI kwa sababu analindwa na Ibara ya 100(2)! Na ndo maana hata huyu Tundu Lissu mwenyewe, kaipa vitofa sana Serikali ya JPM akiwa bungeni lakini hawakuweza kumfanya chochote kwa sababu humo, at least theoretically, hakamatiki wala hagusiki!! Na kwa kujua hilo, ndo maana mara zote walikuwa wanamlia timing kwa yale atakayotamka akiwa nje ya bunge!!

Turudi kwa Ndugai vs Samia!!!

Hebu kwanza nijuzeni!

Ndugai ni Kiongozi wa Mhimili mmoja wapo and at the same time, Samia nae ni kiongozi wa Mhimili mwingine, kama ambavyo Ibara ya 33(2) ya Katiba yetu inavyosema:-

Now, WHY ionekane Samia ndie ame-challenge Mhimili wakati alichofanya Samia ndicho kile kile alichofanya Ndugai?! Mbona hatusemi kwamba Ndugai ameingilia Mhimili mwingine? Mbona hatusemi Ndugai ame-challenge mamlaka nyingine?

Najua wapo watakaosema

Lakini kama nilivyosema hapo juu... kwani Maoni ya Ndugai yalikuwa ni sehemu ya kazi zake za Kibunge ndani ya Bunge ili tuhalalishe kwamba alichofanya Samia ni kuingilia Mhimili mwingine?!

Let me again go straight to the point...

SAMIA HAKUINGILIA MHIMILI WOWOTE ULE BALI, "AMEINGILIA" UHURU WA KUTOA MAONI kama unavyotajwa kwenye Ibara ya 18(1) kwamba:-

Ndugai hakuwa anafanya kazi kama Mhimili wa Bunge kwa sababu Mhimili sio cheo bali taasisi!!! Kwa maana nyingine, maoni yake HAYALINDWI na Ibara ya 100(2) bali yanalingwa na Ibara 18(1) kama inavyotakiwa kwangu mimi na wewe hata kama sio Wabunge au Spika wa Bunge!!

Lakini hata hiyo Ibara ya 18(1), Samia ameiingilia vipi?!

Labda kama kuna kitu nime-miss lakini ninachoona Ndugai alitumia uhuru wake wa kutoa maoni ili KUTEMA NYONGO dhidi ya Samia, na Samia nae katumia uhuru wake kutema nyongo dhidi ya Ndugai... ngoma droo!!

Au, bila kujali ikiwa tuhuma ni za kweli au si za kweli, bado Kiongozi wa Mhimili mmoja ana haki ya kutema nyongo dhidi yaMhimili Mwingine lakini huo Mhimili mwingine ukijibu inakuwa ni kuingilia Mhimili ule uliotema nyongo hata kama nyongo hiyo ipo nje ya kazi ay Mhimili?

Ninachosema ni kwamba, kwanini iwe ni halali Ndugai kutema nyongo dhidi ay Mhimili mwingine lakini iwe haramu Mhimili mwingine kujibu?!

Hapo kwenye Samia kuingilia uhuru wa kutoka maoni nimeweka kifunga na kifungua semi kwa sababu sioni ameingilia vipi hata kama TL anadai Ndugai amelazimishwa kujiuzulu Sina taarifa za Samia kushinikiza Ndugai ajiuzulu au kuagiza Ndugai akamatwe... hiyo ndo ingekuwa kuingilia uhuru wa kutoa maoni!

Nilichokiona ni Samia kutema nyongo kwa staili ile ile ya Ndugai, lakini from nowhere, kama kawaida yao CCM ndo wakaanza kuibuka na kumtaka Ndugai ajiuzulu... yaani utadhani hapo kabla hawakufahamu Ndugai aliongea nini, lakini hakuwafanya chochote hadi SSH alipoonesha kutopendezwa na sindao za Ndugai... KUJIPENDEKEZA EFFECT!!

Kama wana-CCM waliona Ndugai alikuwa na wajibu wa kujiuzulu basi wangemshinikiza afanye hivyo hata kabla SSH hajasema chochote!!

PAMOJA NA YOTE hayo, Samia amekurupuka na Ndugai amehukumiwa largely kutokana na video editing na ujengaji mbovu wa hoja!

Ingawaje watu wamemkejeli Ndugai aliposema video imekuwa edited, ukweli ndo huo! Video inayosambazwa mitandaoni inaanza kwa kumuonesha Ndugai akianza kusema:-

Ukianzia hapo, ni rahisi sana kuamini Ndugai alim-target Samia moja kwa moja! Binafsi, nilipata mashaka kidogo na hivyo nikaamua ni-search more clips ndipo nikakutana na nyingine ambayo imeanza kama ifuatavyo:-

Sasa ukiachana na huo utangulizi ulioachwa kwa makusudi kabisa, ndo unakuta Ndugai anaendelea:-

Sasa ukiunganisha sehemu iliyokatwa na sehemu inayosambazwa, utagundua Ndugai alikuwa anawasemanga wanaopinga TOZO! Ndo hapo akasema hatupo bungeni kukomoa watu, kwa mfano hili la tozo tumelaumiwa sana! lakini wakati tunalaumiwa, ni tozo hizo hizo ndizo hivi sasa zinajenga madarasa na vituo vya afya!!

Na hapo ndipo akaingiza suala la mkopo wa mama, na ndipo anahoji ni lipi bora kwa taifa! Tuendelee kukamuana wenyewe kwa wenyewe au tugemee mikopo?! Na kwa maoni yake, anaona ni lazima tukamuane wenyewe kwa wenyewe, na kama 2025 mtatuhukumu na kuwataka Wafuasi wa Mikopo badala ya kukamuana wenyewe, let it be!!

Kwa bahati mbaya kabisa, SSH wakaona kipengele cha mikopo bila kufahamu hilo suala la mikopo limeingiaje!

Lakini kwa upande mwingine, nimeshangazwa sana na Mwananchi Communication kwa sababu kwa ukubwa wa hii media, sijui ni kwanini wakaamua ku-upload video ambayo imekatwa na matokeo yake ikaharibu kabisa hoja ya Ndugai!! Ingawaje pia nashangazwa na jazba za SSH kwa sababu kama angemuita Ndugai amuulize imekuaje tena mtu kama yeye anainanga serikali kuchukua mikopo, bila shaka Ndugai angefafanua, na kutoa full video!! Kinyume chake, SSH akanuna, na kwenda hewani huku akiwa na nusu tu ya kile alichoongea Ndugai unless kama alisikiliza yote lakini akaamua kupuuza!

Je, Ndugai alitumia vibaya Uhuru wake wa Kutoa Maoni?

Ibara ya 62(1) inasema Bunge litakuwa na sehemu mbili, yaani Rais na Wabunge! Kwa maana nyingine, SSH nae ni sehemu ya Bunge! Na kifungu kidogo cha 3 cha ibara husika kinasema:-

Sijui mnanielewa?!

Kumbe jambo linalotakiwa kuamuliwa na pande zote mbili litahesabika limetekelezwa IPASAVYO endapo tu lina baraka za Bunge na Rais.

Sasa Je, hivi nyie mmeshawahi kusikia Samia or any former President akiingia bungeni kujadili suala la nchi kuchukua mkopo?! Kama wenzangu mmewahi kusikia, then well and good lakini binafsi sijawahi kwa sababu utaratibu haupo hivyo, bali:-

Wizara mbalimbali zinaanda bajeti zao!! Ikishafanyika consolidation, Wizara ya Fedha ndiyo itafahamu vyanzo mbalimbali vya mapato yetu! Sasa ikionekana vyanzo vyetu haviwezi kuivusha bajeti husika, ndipo hapo linaingizwa suala la MIKOPO kama moja ya vyanzo vya mapato!

Utaratibu huo ukikamilika, ndipo pale mnasikia kuna KIKAO CHA BAJETI BUNGENI! Kazi ya Bunge ni KUKUBALI KUIDHINISHA AU KUKATAA, chochote kitakacholetwa kwao na Wizara ya Fedha!! Wabunge mkishasema NDIYOOOOOO BAJETI YA WIZARA YA FEDHA IPITIE, hapo tafsiri yake inakuwa mmeiruhusu serikali, pamoja na mambo mengine KWENDA KUKOPA!!

Kwavile Wabunge, including Ndugai mlishamwambia Mwigulu Nchemba kwamba "BABA, BAJETI YAKO NDIYOOOO", manake Ndugai na wenzake wamemwambia Mwigulu NENDA TU KAKOPE HIYO MIHELA! Sasa wakati Mwigulu atakapokuwa anatekeleza moja ya NDIYOO ambayo ni kukopa, yeye atakachofanya sio baadae kurudi tena kwenu ili mjadili kuchukua mkopo kwa sababu mlishamruhusu!!

KItakachofuata hapo ni timu ya wachache tu, including rais, ndio watakaoshughulika na huo ukopaji, and finally, itakuwa imekamilika ile sehemu ya Ibara ya 62(1)(3) inayosema "mpaka liwe limeamuliwa au limetekelezwa na Wabunge na vile vile na Rais "! Wabunge mlishapiga makofi ya NDIYOOO ikiwa ni pamoja na NDIYOOO KOPENI TU, na Rais nae anakuja kukamilisha Mchakato akiwa na timu yake!!

Sasa kama Ndugai alishasema NDIYOOOOOO, KOPENI TU, inakuaje tena anatoka nje na kuanza kulia lia?!

Anyway, ametumia Uhuru wake wa Ibara ya 18(1)... Uhuru wa Kutoa Maoni bila kuingiliwa lakini linapokuja suala la COLLECTIVE RESPONSILIBITY, anakuwa amefanya jinai kubwa sana ya kiuongozi kwa sababu huwezi kutoka nje kupinga kitu ambacho wewe mwenyewe umeshiriki kupitisha!!!

Lau kama Ndugai angekuwa ni Mbunge wa Kawaida, well and good lakini unapokuwa KIONGOZI wa taasisi iliyofanya maamuzi halafu tena unaenda kukejeli maamuzi hayo hadharani, my friends, nashangaa akina Tundu Lissu wanaongea kirahisi rahisi tu but that's serious violation of collective responsibility!!

Naomba mwenye summary aniwekee...
 
Tuwekee summary kiongozi kama hutojari. Ingawa kumsikiliza Lisu kwa sauti yake kuna burudani yake.
Dah!

We Matola wewe!!! Nakumbuka back in the days nilikuwa nafanya freelancing!! Moja ya kazi ambazo ilikuwa ukinikuta nazifanya basi fahamu nimechoka mbaya mn , basi ni hiyo kazi ya transcription 😂😂!!

Sikuwahi kupenda transcription hata kidogo manake unaweza kuta audio.video ya saa 1, unatumia hata saa 5 na zaidi!
 
Mkuu Chige,

Asante sana kwa nondo zako zilizoshiba, umedadavua vyema na elimu juu yake

Arguments kama hizi ndio zilipelekea nikavutiwa na JF those years,
sasa hv upuuzi umekuwa mwingi sana inakuwa nadra sana kupata nondo za dizaini kama hii

Salute
 
Pamoja, Kiongozi!!!
 
Lakini kwa upande mwingine, nimeshangazwa sana na Mwananchi Communication kwa sababu kwa ukubwa wa hii media, sijui ni kwanini wakaamua ku-upload video ambayo imekatwa na matokeo yake ikaharibu kabisa hoja ya Ndugai!!

Aidha, nashangazwa na jazba za SSH kwa sababu kama angemuita Ndugai amuulize imekuaje tena mtu kama yeye anainanga serikali kuchukua mikopo, bila shaka Ndugai angefafanua, na kutoa full video!! Kinyume chake, SSH akanuna, na kwenda hewani huku akiwa na nusu tu ya kile alichoongea Ndugai unless kama alisikiliza yote lakini akaamua kupuuza!

Je, Ndugai alitumia vibaya Uhuru wake wa Kutoa Maoni?

Ibara ya 62(1) inasema Bunge litakuwa na sehemu mbili, yaani Rais na Wabunge! Kwa maana nyingine, SSH nae ni sehemu ya Bunge! Na kifungu kidogo cha 3 cha ibara husika kinasema:-

Sijui mnanielewa?!

Kumbe jambo linalotakiwa kuamuliwa na pande zote mbili litahesabika limetekelezwa IPASAVYO endapo tu lina baraka za Bunge na Rais.

Sasa Je, hivi nyie mmeshawahi kusikia Samia or any former President akiingia bungeni kujadili suala la nchi kuchukua mkopo?! Kama wenzangu mmewahi kusikia, then well and good lakini binafsi sijawahi kwa sababu utaratibu haupo hivyo, bali:-

Wizara mbalimbali zinaanda bajeti zao!! Ikishafanyika consolidation, Wizara ya Fedha ndiyo itafahamu vyanzo mbalimbali vya mapato yetu! Sasa ikionekana vyanzo vyetu haviwezi kuivusha bajeti husika, ndipo hapo linaingizwa suala la MIKOPO kama moja ya vyanzo vya mapato!

Utaratibu huo ukikamilika, ndipo pale mnasikia kuna KIKAO CHA BAJETI BUNGENI!

Kazi ya Bunge ni KUIDHINISHA AU KUKATAA, chochote kitakacholetwa kwao na Wizara ya Fedha!! Wabunge mkishasema NDIYOOOOOO BAJETI YA WIZARA YA FEDHA IPITIE, hapo tafsiri yake inakuwa mmeiruhusu serikali, pamoja na mambo mengine KWENDA KUKOPA!!

Kwavile Wabunge, including Ndugai mlishamwambia Mwigulu Nchemba kwamba "BABA, BAJETI YAKO NDIYOOOO", manake Ndugai na wenzake wamemwambia Mwigulu NENDA TU KAKOPE HIYO MIHELA! Sasa wakati Mwigulu atakapokuwa anatekeleza moja ya NDIYOO ambayo ni kukopa, yeye atakachofanya sio baadae kurudi tena kwenu ili mjadili kuchukua mkopo kwa sababu mlishamruhusu!!

KItakachofuata hapo ni timu ya wachache tu, including rais, ndio watakaoshughulika na huo ukopaji, and finally, itakuwa imekamilika ile sehemu ya Ibara ya 62(1)(3) inayosema "mpaka liwe limeamuliwa au limetekelezwa na Wabunge na vile vile na Rais "! Wabunge mlishapiga makofi ya NDIYOOO ikiwa ni pamoja na NDIYOOO KOPENI TU, na Rais nae anakuja kukamilisha Mchakato akiwa na timu yake!!

Sasa kama Ndugai alishasema NDIYOOOOOO, KOPENI TU, inakuaje tena anatoka nje na kuanza kulia lia?!

Anyway, ametumia Uhuru wake wa Ibara ya 18(1)... Uhuru wa Kutoa Maoni bila kuingiliwa lakini linapokuja suala la COLLECTIVE RESPONSILIBITY, anakuwa amefanya jinai kubwa sana ya kiuongozi kwa sababu huwezi kutoka nje kupinga kitu ambacho wewe mwenyewe umeshiriki kupitisha!!!

Lau kama Ndugai angekuwa ni Mbunge wa Kawaida, well and good lakini unapokuwa KIONGOZI wa taasisi iliyofanya maamuzi halafu tena unaenda kukejeli maamuzi hayo hadharani, my friends, nashangaa akina Tundu Lissu wanaongea kirahisi rahisi tu but that's a serious violation of collective responsibility!!
Umeweka ukweli wote wazi,hakika umeitendea haki akili.
 
Ndugai alikuwa Spika wa hovyo kuliko wote,lakini kuzungumzia juu ya deni haikuwa kosa,imekuwa kosa kwa sababu tuna rais wa kifalme. Hii point kubwa sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom