Atheists wanaweza kuwa wagonjwa wa akili?

Ukimuuliza Atheist " Hicho kitanda ulicho lalia kimetengenezwa au kimetokea tu chenyewe? " . Atakujibu kimetengenezwa na mtu.". Haya sasa muulize " Huyo mtu alie tengeneza hicho kitanda unamjua au umewahi kumuona au ulimuona wakati anakitengeneza? .. Atakwambia " Sijawahi kumuona".

Muulize tena " Kama hujawahi kumuona alie tengeneza kitanda unatumia vigezo kusema kimetengenezwa na mtu? Atakujibu " Kwa kutumia tu common sense haiwezekani kitanda kama hiki ambacho ni mashine ( simple machine) kiwe kimetokea ti chenyewe bila kutengenezwa.. "

At the same time anasema " Mwanadamu ametokea tu mwenyewe bila chanzo".

How comes kitanda ambacho ni " Simple machine" kiwe kimetengenezwa, halafu huyu mwanadamu ambae ni " Complex machine" awe ametokea tu kwa bahati?

Wazo la namna hii haliwezi kukaa kwenye kichwa cha mtu mwenye akili timamu. Something must be missing in his head.

Anazidiwa akili hata na mtoto wa miaka mitatu. Watoto karibu wote duniani at that age huwa wanawauliza wazazi at that age huwa wanawauliza wazazi wao " Mama hivi mimi mlinitoaga wapi? ".

Tayari akili yake imesha pata ukomavu wa kujua kwamba lazima atakuwa ametolewa sehemu..

Hata kwa kutumia common sense au a " Probability Test" ni ngumu sana kwa akili ya mwanadamu ambayo inawaza sawa sawa ku conclude kwamba ametokea tu..

" The probability of human being to have been created by a higher power is 99% percent "..

Atheists ni wagonjwa wa akili 🔴
Kiranga vipi na wewe huwa kigeugeu kwa maswali kama haya twambie Mungu yupo au hayupo usiseme nywinywi nywi setu yes or no sababu notice zako zipo jf na mapungufu yake
 
Unamaanisha bila njaa , maisha yasingepo! au kusingekuwepo maangaiko ya kutafuta chakula?.
Kama chakula ni kwa sababu ya kuhitaji kula kwa nini kutafuta chakula wakati kula hakupo?

Fikiria mawe. Yanakula? Yanatafuta chakula? Yameendelea? Mawe yanaweza kufanya nini? Yanaweza kuunda hata kiota au hata hasali?

Kwa nini unaogopa magonjwa? Kwa nini unaogopa kifo? Kwa nini unaogopa uhalisia?

Lazima wakati fulani maishani utaumwa. Utapatwa na magonjwa na utakufa. Kifo ni ukweli. Ugonjwa ni ukweli.
 
Muundo thabiti ni jinsi kitu kilivyo kwa nje na kwa ndani na jinsi kinavyofanya kazi.

Si suala la kulinganisha au kufananisha ulimwengu huu na mwingine. Ni jinsi vitu vya asili vilivyo na vinavyofanya kazi.
Unapo define kitu fulani kuwa kina "muundo thabiti" automatically unakuwa umeshakitofautisha na kitu chenye muundo usio thabiti.

Kiuhalisia, huwezi kuutambua au kuupima uthabiti wa muundo fulani bila kuwa na rejea (reference) ya muundo mwingine legelege au usio thabiti.

Utajuaje ni muundo thabiti bila kuwepo kwa reference ya kitu kama hicho chenye muundo usio thabiti?
 
Kama mateso yapo ni kwa sababu Mungu anaweza kuyazuia.

Tatizo si kuzuia mateso. Tatizo mateso ni nini?

Uvumbuzi wote wa binadamu, maarifa ya binadamu hayawezi kufafanuliwa bila kuhusishwa kwa mateso.

Aidha, tungeweza vipi kupima upendo bila mateso? Ni kwa namna gani tunaweza kuongea upendo bila mateso?

Kama mateso yasingekuwepo ulimwengu usingekuwepo. Ulimwengu unaendelea kwa sababu ya mateso.

Kwa hiyo kujibu swali lako Mungu akizuia mateso ulimwengu hautakuwepo.

Kila kitu cha asili kinapitia mateso kwa sababu ndio njia ya kukua na kuendelea. Wavumbuzi wanapitia mateso. Kupona ugonjwa kunaambatana na maumivu.

Anayekataa mateso anakataa kukua na kuendelea. Anachagua kufa.

Mateso kwa yenyewe si adui ni mwalimu mkali.
Maneno meeeengi,

kama Mungu ni muweza wa yote, kwa nini asingeumba dunia ambayo watu wanakua kupitia changamoto bila kuwepo mateso makubwa yasiyo na ulazima? Kwa nini growth lazima ije na mtoto kufa, kansa, njaa au maafa?
 
Mkuu, binafsi, huku 'kutegemeana' ka ulivotamka, ni muundo wa kiakili flani - na ndo ushahidi, kwa sababu sayansi imeweza kutuambia mfumo lakini haijaweza na haitaweza kutuambia kwa nini mfumo uko ivo. Sidhani utaweza pia.
Sasa unaposema ni kwa sheria... sheria za nani?

Pia mkuu, tafakari dini inatuambia muumbaji alituumba kwa udongo tutarudi kuwa udongo... sayansi inatufafanulia decomposition lakini haiwezi kutuambia kwa nini ... ama kwa nini maggots na vultures na mafisi wametokea ama kuumbwa kuwa na kazi maalumu ya kusafisha mizoga hata ile isiyozikwa, mfano wanyama.
Intelligent design hio... yaani isingekuwa ivo, dunia leo ingekuwa inanuka kinoma, kuna akili ilitumika kuepusha hilo
Kitu kinachofanya kazi si ushahidi wa kwamba kilipangwa; na kitu ambacho hatujui kwa nini kipo si ushahidi wa Mungu. Unahitaji kuonyesha intention, si kutafsiri matokeo kama intention.
 
Kama chakula ni kwa sababu ya kuhitaji kula kwa nini kutafuta chakula wakati kula hakupo?

Fikiria mawe. Yanakula? Yanatafuta chakula? Yameendelea? Mawe yanaweza kufanya nini? Yanaweza kuunda hata kiota au hata hasali?
Kwahiyo Yako vizuri, vibaya au hayakuumbwa?
Kwa nini unaogopa magonjwa? Kwa nini unaogopa kifo? Kwa nini unaogopa uhalisia?
Anayeogopa magonjwa ni yule anayekimbia kuomba hata marehemu na vitu visivyokuwepo ,ilimradi ajidanganye kwamba itamsaidia kupona.au hata akifa kwamba ataishi Tena.
Lazima wakati fulani maishani utaumwa. Utapatwa na magonjwa na utakufa. Kifo ni ukweli. Ugonjwa ni ukweli.
Ugonjwa ni ukweli lakin mbaya. Not just an arbitrary alternative of well being
 
Kama chakula ni kwa sababu ya kuhitaji kula kwa nini kutafuta chakula wakati kula hakupo?

Fikiria mawe. Yanakula? Yanatafuta chakula? Yameendelea? Mawe yanaweza kufanya nini? Yanaweza kuunda hata kiota au hata hasali?

Kwa nini unaogopa magonjwa? Kwa nini unaogopa kifo? Kwa nini unaogopa uhalisia?

Lazima wakati fulani maishani utaumwa. Utapatwa na magonjwa na utakufa. Kifo ni ukweli. Ugonjwa ni ukweli.
Mkuu, turudi kwenye mada kuu

Jiwe kutokula, binadamu kuogopa kifo, na ugonjwa kuwepo havithibitishi uwepo wa Divine designer. Hayo yanaonyesha tu tofauti kati ya kisicho hai na kilicho hai, pamoja na survival instinct.

Hapa umefanya non sequitur, umeonesha viumbe vina tabia fulani, halafu ukaruka kusema lazima kuna akili iliyoviumba. Hiyo connection bado hujaithibitisha.

Na kusema “kifo ni ukweli” au “ugonjwa ni ukweli” si jibu. Kitu kuwepo hakuthibitishi nani aliyekiumba.
 
Lazima kwanza uoneshe contrast,ndo dhana Yako imake sense. Hiki ni design, kile pale sio. Au ingekuw namna hivi isingekuwa intelligent design.
Je umeliepuka swali langu?

contrast kuhusu kupumua kuwa ni intelligent design? Pointi yangu ni kwamba huu mfumo si bahati mbaya bali tokeo la intelligent design. Na recycling ya sisi kutegemeana na mimea ndo ushahidi. Unahitaji nn zaidi?

Unachobisha ni kwamba sio intelligent design? umetuonyesha kwa nini ama kwa sababu gani? ama ku-contrast?
 
Kuthibitisha intelligent design, nilitaka ukadirie,ukisie je unintelligible, undesigned reality ingekuwaje, totafautishe na hii
 
Kitu kinachofanya kazi si ushahidi wa kwamba kilipangwa; na kitu ambacho hatujui kwa nini kipo si ushahidi wa Mungu. Unahitaji kuonyesha intention, si kutafsiri matokeo kama intention.
NDIO kile tusichokielewa kwa nini kinafanya kazi na hata wanasayansi kabambe hawana uwezo wa kuelewa ni ushahidi tosha wa nguvu kubwa kuliko sisi imehusika - Mungu. Na ndio ni ushahidi kwamba kilipangwa na si bahati mbaya. Intention ya hiyo design ilikuwa tuendelee kuishi bila kuishiwa hewa ya kupumua.

Mimi naamini Mungu ni muumba kama maandishi bibliani yanavotuambia. Na Mungu ana akili, kwa hiyo uumbaji wake ni wa kiakili. Hence, naamini intelligent design, na siamini nadharia za big bang ama darwinism - eti tumetokea kwa masokwe. Sioni ushahidi wala mantiki ya hizo nadharia. Leo hii ningesikia kila hata miaka 100 sokwe mmoja anabadilika kuwa mwanadamu hapo ningewazia hio nadharia kivinginevo.

Na kama huku kutegemeana hewa ya pumzi na mimea sio ushahidi wa dizaini ya kiakili... basi aidha hunielewi ama huelewi mantiki ya hio pointi. Nieleweshe unabisha nini, na uamini wako kuhusu huku kutegemeana pumzi ni upi... nikuelewe kuwa si mbishi tu ila una pointi za imani yako.
 
Ukimuuliza Atheist " Hicho kitanda ulicho lalia kimetengenezwa au kimetokea tu chenyewe? " . Atakujibu kimetengenezwa na mtu.". Haya sasa muulize " Huyo mtu alie tengeneza hicho kitanda unamjua au umewahi kumuona au ulimuona wakati anakitengeneza? .. Atakwambia " Sijawahi kumuona".

Muulize tena " Kama hujawahi kumuona alie tengeneza kitanda unatumia vigezo kusema kimetengenezwa na mtu? Atakujibu " Kwa kutumia tu common sense haiwezekani kitanda kama hiki ambacho ni mashine ( simple machine) kiwe kimetokea ti chenyewe bila kutengenezwa.. "

At the same time anasema " Mwanadamu ametokea tu mwenyewe bila chanzo".

How comes kitanda ambacho ni " Simple machine" kiwe kimetengenezwa, halafu huyu mwanadamu ambae ni " Complex machine" awe ametokea tu kwa bahati?

Wazo la namna hii haliwezi kukaa kwenye kichwa cha mtu mwenye akili timamu. Something must be missing in his head.

Anazidiwa akili hata na mtoto wa miaka mitatu. Watoto karibu wote duniani at that age huwa wanawauliza wazazi at that age huwa wanawauliza wazazi wao " Mama hivi mimi mlinitoaga wapi? ".

Tayari akili yake imesha pata ukomavu wa kujua kwamba lazima atakuwa ametolewa sehemu..

Hata kwa kutumia common sense au a " Probability Test" ni ngumu sana kwa akili ya mwanadamu ambayo inawaza sawa sawa ku conclude kwamba ametokea tu..

" The probability of human being to have been created by a higher power is 99% percent "..

Atheists ni wagonjwa wa akili 🔴
Kwahyo wew untaka tuamini kwamba hii mishipa niliyonayo ni huyo mungu wako ndo alikaa akafinyanga udongo then akatoboa katikat ili damu ipite na mwil uko na mishipa zaid ya buku🤔🤔
 
Mimi naamini Mungu ni muumba kama maandishi bibliani yanavotuambia. Na Mungu ana akili, kwa hiyo uumbaji wake ni wa kiakili. Hence, naamini intelligent design, na siamini nadharia za big bang ama darwinism - eti tumetokea kwa masokwe. Sioni ushahidi wala mantiki ya hizo nadharia. Leo hii ningesikia kila hata miaka 100 sokwe mmoja anabadilika kuwa mwanadamu hapo ningewazia hio nadharia kivinginevo.
Nani alikuambia tumetokea kwa masokwe ??
 
Kuthibitisha intelligent design, nilitaka ukadirie,ukisie je unintelligible, undesigned reality ingekuwaje, totafautishe na hii
Sasa mkuu hapo nitakuwa nachukua nafasi ya Mungu kufafanua tusichokielewa kiundani... ila cha msingi kwangu huku kutegemeana ni dalili za intelligent design.
 
Swali kwako Infropreneur ukigundua mtoto wako wa kiume amekua shoga Je utafurahi ama utakasirika? Kama utafurahi ni kwanini na kama utakasirika ni kwanini?
 
NDIO kile tusichokielewa kwa nini kinafanya kazi na hata wanasayansi kabambe hawana uwezo wa kuelewa ni ushahidi tosha wa nguvu kubwa kuliko sisi imehusika - Mungu. Na ndio ni ushahidi kwamba kilipangwa na si bahati mbaya. Intention ya hiyo design ilikuwa tuendelee kuishi bila kuishiwa hewa ya kupumua.

Mimi naamini Mungu ni muumba kama maandishi bibliani yanavotuambia. Na Mungu ana akili, kwa hiyo uumbaji wake ni wa kiakili. Hence, naamini intelligent design, na siamini nadharia za big bang ama darwinism - eti tumetokea kwa masokwe. Sioni ushahidi wala mantiki ya hizo nadharia. Leo hii ningesikia kila hata miaka 100 sokwe mmoja anabadilika kuwa mwanadamu hapo ningewazia hio nadharia kivinginevo.

Na kama huku kutegemeana hewa ya pumzi na mimea sio ushahidi wa dizaini ya kiakili... basi aidha hunielewi ama huelewi mantiki ya hio pointi. Nieleweshe unabisha nini, na uamini wako kuhusu huku kutegemeana pumzi ni upi... nikuelewe kuwa si mbishi tu ila una pointi za imani yako.
Vitabu vyenu vinasema tumetoka mavumbini

Kwani umewahi kuona hospital gani mtu katokana na mavumbi ?

Hata watoto wako umewapata Kwa kumtomba mke wako. Ni akili zako za kidini ndio unaamini huyo mtoto katoka mavumbini wakati unakumbuka ulivyokuwa unambaka Binti wa watu.
 
Elimu potofu ya mzungu - Darwinism
Mungo mkubwa wewe

Hakuna anayesema binadamu wametokana na masokwe wa leo. Darwinism haidai kwamba sokwe ni chanzo cha binadamu. Hoja ya evolution ni kwamba binadamu na sokwe wa sasa wana common ancestor wa zamani, kisha kila lineage ikaendelea kubadilika kwa muda mrefu.

Kujua Historia nusu busy nu hatari kuliko bomu la nyuklia.
 
Darwins-Theory-of-Evolution-2.png
dumdum
 
Back
Top Bottom