niachiemimi
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,657
- 5,410
Kuna member aliwahi kusema kua kunatofauti kubwa sana kati ya maneno upinzani na opposition. Waliopo Tanzania sio opposition party bali ni vyama vya upinzani.
2016 ndo walipunguza ruti, wakaacha moja Kwa siku.Miaka gani mkuu, sorry nataka tu kujua.
Duh! Watu mna mambo. Hiyo Dreamliner haijawasili bado tz; nadhani hata kukamilika kutengenezwa itakuwa bado.aisee... Ndio hii iliondoka na mzee majuto jana?
MAZWAZWA ndivyo walivyo Mkuu wanaimbishwa nyimbo kila kukicha zilizojaa upuuzi na ambazo hazina maslahi kwa Watanzania.
Hapa umeongea vizuri. Umeshauri nini kifanyike na kwa mtazamo wako tujiimarishe kwanza kwenye route za mikoani na nchi jirani. Umepinga vizuri.Sijaponda ila nime-think Critically. Cha muhimu ilikuwa ni kujiimarisha katika route za mikoani na nchi jirani ili ATCL iweze ku-feed Emirates. Juzi imeshuhudiwa Emirates wakifanya utafiti wa JNIA kuweza kuhudumia ndege kubwa kwa kusingizia kuwa hali ya hewa ya Mauritius ilikuwa mbaya. Wale walikuwa kwenye utafiti.
Kwanza ni ajabu kupanda ndege yenye turbo propeller engine na kuacha ndege yenye jet engine ambayo haipati misukosuko angani na inatumia muda mfupi kukamilisha safariNi swala zuri sana ila je abiria wapo kiasi gani? Isije kuwa kama KQ walienda wakaamua kupunguza safari maana ndege ilikua yarudi robo.
Afu ni ngumu MTU kuacha Emirates, Qatar na Etihad kupanda ATCL/KQ
Hapa umeongea vizuri. Umeshauri nini kifanyike na kwa mtazamo wako tujiimarishe kwanza kwenye route za mikoani na nchi jirani. Umepinga vizuri.
Kwanza ni ajabu kupanda ndege yenye turbo propeller engine na kuacha ndege yenye jet engine ambayo haipati misukosuko angani na inatumia muda mfupi kukamilisha safari
Safi sana tufanye Biashara ya direct kwa cargo
Na ni hatua nzuri coz kutoka nje itakuwa si lazima upitie Kenya au kanchi kadogo kama Rwanda. Kumbuka mizunguko hii yote inakufanya utumie pesa nyingi njiani hasa kipindi cha kuconnect flight.
Yaap. Kila mtu ana mtazamo na hilo lazima liheshimiwe. Hata wewe kuwaza kuwa sisi ni bush lawyers ni mtazamo wako na tunatofautiana hapo. La muhimu ni tusipinge tu sababu tunapinga. Tutoe mtazamo mbadala na tuzingatie Utaifa kwanza.Sawabo ametoa wazo kwa mtizamo wake ambao sio lazima uwe sahihi. Hii ni assumption tu na ATCL tusiwadharau kuwa hawajui wafanyalo. Kuna opinions hapa JF zitokanazo na kusikia, kugoogle, lakini sio lazima ndio suluhisho. Bado naamini atcl kafanya uchunguzi kabla ya kuamua. Kuna wataalamu ATCL kuzidi sisi bush lawyers wa JF.
Kwakuwa tunaanza basi yatupasa tuanze kwa ubora na ufanisi wa hali ya juu! KLM wao washafuzu hivyo tusiwaige kwa hilo!Mawazo mazuri ukiondoa hilo la wahudumu. Ebu panda KLM, Swiss, Njoo huku US uniambie kama kuna mhudumu wa kuvutia kama wetu
aea
Viongozi serikalini wanaotibiwa india watakuwa wanasafiri bure na hapo ndipo kodi ya Mtanzania itakavyotumika ovyo

Mkuu unamacho kama ya kwasi hiyo comming iko wapi kwenye tangazoMzigo kwa walipa kodi huo unaenda kuongezeka.
More routes, more loss; the longer the routes, the bigger loss we incur(disturbing fact).
Alafu ni comming or coming?
Hili tangazo huenda ni feki!!
Tambua wame-edit.Mkuu unamacho kama ya kwasi hiyo comming iko wapi kwenye tangazo
WellTambua wame-edit.
ha ha haa.. OkDuh! Watu mna mambo. Hiyo Dreamliner haijawasili bado tz; nadhani hata kukamilika kutengenezwa itakuwa bado.