dua la kukuMzigo kwa walipa kodi huo unaenda kuongezeka.
More routes, more loss; the longer the routes, the bigger loss we incur(disturbing fact).
Alafu ni comming or coming?
Hili tangazo huenda ni feki!!
dua la kukuMzigo kwa walipa kodi huo unaenda kuongezeka.
More routes, more loss; the longer the routes, the bigger loss we incur(disturbing fact).
Alafu ni comming or coming?
Hili tangazo huenda ni feki!!
well said..............inabidi kuwekwe mfumo wa kuwa na uongozi wa aina ya magufuli kwa kipindi cha miaka kama 30 mfululizo hivi....akiondoka 2025....tutafute mwingine atakayekuja kuendeleza haya aliyoanzishaSiku Magufuli akiondoka madarakani hizi ndege zitageuzwa "air unga".
Shida ni kwamba kiongozi aina ya Magufuli hupatikana kila baada ya miaka hamsini,Juliasi Kambarage Nyerere na huyu wa leo tofauti ya miaka hamsini.well said..............inabidi kuwekwe mfumo wa kuwa na uongozi wa aina ya magufuli kwa kipindi cha miaka kama 30 mfululizo hivi....akiondoka 2025....tutafute mwingine atakayekuja kuendeleza haya aliyoanzisha
hahahahahahahahahahaahahahahah.........................now we have to go back and sit down and critically think how we can build strong institutions .....however, it has been proven without dought from empirical evidence that, it is people and not institution which matter critically for sustainability and developmentShida ni kwamba kiongozi aina ya Magufuli hupatikana kila baada ya miaka hamsini,Juliasi Kambarage Nyerere na huyu wa leo tofauti ya miaka hamsini.
hao wafungwa LUPANGO kazi kujamiiana kazi hawafanyiJiwe halisikiagi na halishauriki
Mzigo kwa walipa kodi huo unaenda kuongezeka.
More routes, more loss; the longer the routes, the bigger loss we incur(disturbing fact).
Alafu ni comming or coming?
Hili tangazo huenda ni feki!!
Swali la Kizushi Any Time Cancellation Limited (ATCL) wana ndege ngapi kwa ajili ya hiyo route? Tuanzie hapo? Na kati yenu nani aliwahi kupanda KQ direct flight from Nairobi hadi Bangkok ? Kama una majibu hayo jiulize kwa nini Emirates wanaruka Dar - Dubai- Mumbai those are the economics of airline trade! Itakwenda mara ngapi kwa wiki ukiwa na ndege moja? Kweli Biashara imevamiwa na Washamba mpaka kieleweke hiyo KQ it has has made loss of millions of dollars Mwaka Jana tu tena za wanahisa sio hii ATCL inayopata fedha kutoka kwa Doto tena za walipa kodi ! We call it going for glory! No research no right to comment ! Hata hiyo Air India it made a loss of 8 billion dolars halafu munaleta za kuleta kuhusu ATCL. KQ are partners with KLM and Air France you want to compete with them you are not serious ![/Q
Kiukweli, binafsi siwezi acha kupanda emirates nikapande atcl. No way. (brand loyalty)
Hii ndege lengo lake ni kuwa "ambulance" kwanini wasingeweka direct route ya guangzhou china inayotumiwa na wafanyabiashara wengi wa kitz?
Point is, route ya kwenda china ingekuwa viable zaidi kwa shirika letu changa.Kwani hao wagonjwa na wasindikizaji watapanda bure? Kuna ubaya gani kwa shirika kutumia fursa ya kuwepo kwa "wagonjwa" wengi wanaokwenda na kurudi India kufanya biashara? Unaonaje ukiambatisha hapa taarifa ya utafiti wako wa soko la Guangzhou dhidi ya soko la Mumbai ili tulinganishe tuone kama wamekosea?
Kudos Mr. PresidentMUMBAI Fly Air Tanzania Dreamliner 787 direct from Dar es Salaam to Mumbai. Watch this space for more details. [HASHTAG]#TheWingsOfKilimanjaro[/HASHTAG] [HASHTAG]#EndeleaKupsauaAnga[/HASHTAG] [HASHTAG]#Mumbai[/HASHTAG] [HASHTAG]#India[/HASHTAG] [HASHTAG]#Dreamliner[/HASHTAG]
View attachment 766774
View attachment 766779