Tunapinga kila kitu kwasababu mnaharibu na kuvuruga kila kitu.Basi kama huna cha kushauri kaa kimya kuliko kutumia mtandao vibaya kupinga kila kitu
Nimesema hivo sababu miongoni mwa ndege ambazo zinatarajiwa kupokelewa mwaka huu ni pamoja cs300 mbiliHujaona business plan ya ATCL ili u-conclude! Nafikiri watakuwa na cs 300 pia baadae. Kuna sababu kwanini waanze na hii kubwa.
pointlessJiwe halisikiagi na halishauriki
Ndege haipandwi na watanzania tu pumbav weeetatizo la watanzania wasafiri wa ndege kibinafsi si wengi tusubiri asara
Mosi mimi si uvccm pili orodhesha vyote walivyoharibu na kwanini wewe unaona wameharibuTunapinga kila kitu kwasababu mnaharibu na kuvuruga kila kitu.
unajua kutukana umefanya utafiti au unaongea kama umekunywa maji ya chooniNdege haipandwi na watanzania tu pumbav weee
Duuh wagonjwa wa India wamepatiwa ambulanceNdio kuna watalii wengi Huko? Tuliambiwa hili dege ni mahususi kwa kuvutia watalii kuja kutembea nchini kwetu, Leo linageuzwa kuwa ambulance, mweee
Wahindi hawa hawa unao wanyanyasa, tatizo hata wateja kama wapo, ila roho mbaya yako itawafanya watu wakatae vitu vyako hata kama ni vizuri, hasa kama kuna options ataacha kitu chako tu.Watalii ni mojawapo ya wateja...ila pia safari za kutoka Mumbai mpaka Dar es Salaam ina wasafiri wengi.....kuna wahindi na wachina wengi wana business zao Tanzania pia kuna wafanyabiashara wengi wa kitanzania wanafanya business na Nchi za Asia......hapo itategemea na price setting ila soko lipo
Nyie ndiyo mtakaobadilika. Ameanza Kamanda Msigwa, amefuatia Joseph Haule Na wengineTumewazoe, tunasubiri muda ufike mbadili maneno.
Unafikiri kila mtu ni malaya kama wewe, ndege zetu ni za kisasa kuliko airbus, airbus inasifika kwa ukubwa tu ila haifikii boeing, matajiri wote hakuna mwenye airbus hata trump anatembea na boeingYaani mtu aache Emirates, Qatar na Etihad zenye Warembo na Huduma nzuri vile aje kupanda ATC yenye Wahudumu wazembe hivyo. Halafu KQ pamoja na bidii zote za kutangaza na lobying washindwe ATCL iweze !!! Endeleeni kuongeza hasara.
Naungana na wewe, hii itategemea na bei ila kama ni abiria hii route inao wengi sana.. mara ya mwisho nilipanda Ethiopian return ticket Dar-Mumbai ilikua dollar 450 na ndege ilikua imejaa mapema tuWatalii ni mojawapo ya wateja...ila pia safari za kutoka Mumbai mpaka Dar es Salaam ina wasafiri wengi.....kuna wahindi na wachina wengi wana business zao Tanzania pia kuna wafanyabiashara wengi wa kitanzania wanafanya business na Nchi za Asia......hapo itategemea na price setting ila soko lipo
Miaka gani mkuu, sorry nataka tu kujua.Qatar ilikuwa inamwaga saa moja Asubui na SAA nane mchana,Emirates SAA nane na SAA NNE usiku kila siku yaani nyomi,ukikubaliwa na Mungu chochote ufanyacho ni BARAKA tu.
Usiwakatishe tamaa ATCL bwana.Try not to be negative.ATCL=Tanzania= Me and You.Mungu ibariki TanzaniaMzigo kwa walipa kodi huo unaenda kuongezeka.
More routes, more loss; the longer the routes, the bigger loss we incur(disturbing fact).
Alafu ni comming or coming?
Hili tangazo huenda ni feki!!
Hali ya hewa imechafuka jamvini kwani hakuna constructive debates and enagaments kama zama zile ambazo lengo ilikuwa to get a solution. Unaweza poromoshewa mitusi ukajilaumu.Ni mwendo wa kukurupuka tu Mkuu na matokeo yake ni hasara kubwa kwa Taifa. Umepotea sana humu Mkuu.
Hali ya hewa imechafuka jamvini kwani hakuna constructive debates and enagaments kama zama zile ambazo lengo ilikuwa to get a solution. Unaweza poromoshewa mitusi ukajilaumu.
UFIPA kwenye hii thread wame chachamaa, Mbowe azipanda kuzungukia biashara zake tupunguze ujuaji
Tupunguze ujuaji tunataka watalii watakao toka direct Asia, ulaya