macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 28,335
- 57,212
Mkuu abiria wanaoingia na kutoka Tanzania wanazidi kuongezeka. Ndege kama Qatar, Emirates, Ethiopian etc zinakuja kila siku na zinajaza hasa wachina na wahindi ambao hulazimika kupitia kwenye main hub zao ie.Doha, Dubai na Addis Ababa. Sasa Air Tanzania ikufanya direct route itaweza kupata wateja. Lazima tuanza kidogo kidogo..Siamini kama hii inaweza kuwa strong reason kwa mtalii kweli aliyezamilia kuja Tanzania, kukosa direct hakumfanyi mtu kushindwa kuja kutalii Tanzania maana Connection nyingi sana zipo kutoka Mumbai to Bongoland.. Ni habari njema kama kweli tumefanya research kibiashara..
Kwangu mimi tatizo la Tanzania kukosa watu wengi wa in and out ndio tatizo linaloleta ugumu wa International flight.. In and out huletwa na mzunguko wa kibiashara wa eneo husika unavutia watu kuja kutrade in and out.. Nairobi kwa mfano tubaweza kusem ni business hub maana international firm nyingi sana zinaoperate pale, wakenya wamejitahidi Kwenye small industries with high value pamoja na process industries zinazoatract ndege za mizigo kutua Jomo kenyata.. High efficiency Mombasa port imeifanya pia nairobi kuwa business hub na kuwepo na flight nyingi from nairobi to Mombasa dairy na baadhi ya mashirika makubwa kama Rwandanair kutua pia mombasa...