Nyangomboli
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 3,502
- 1,958
You better keep quiet if you know nothing my dear. We have a decease called UJUAJI. Same person is a Driver, Police Economist, Teacher and kilakitu. Siyo fair jamani. Acheni watu wafanye kazi zao. Kama wewe ni Mchumi acha mtu wa Mipango nae afanye yake. Mwalimu acha Mlinzi afanye yake. Mhasibu acha daktari afanye kazi yake. Huwezi kufahamu kila kitu ndugu. Mnajiaibisha. Hata wakipata hasara hawatakuwa wa kwanza maana Kenya Airways wanazipata na wanasonga mbele. Acheni ujuaji. Tunawachoka.Mzigo kwa walipa kodi huo unaenda kuongezeka.
More routes, more loss; the longer the routes, the bigger loss we incur(disturbing fact).