ATCL kuanza direct flights to Mumbai

ATCL kuanza direct flights to Mumbai

Ukienda huko kwa watalii wachache ndio wataongezeka...!!walikuwa hawaji partly because hakukuwa na direct flight.

Siamini kama hii inaweza kuwa strong reason kwa mtalii kweli aliyezamilia kuja Tanzania, kukosa direct hakumfanyi mtu kushindwa kuja kutalii Tanzania maana Connection nyingi sana zipo kutoka Mumbai to Bongoland.. Ni habari njema kama kweli tumefanya research kibiashara..

Kwangu mimi tatizo la Tanzania kukosa watu wengi wa in and out ndio tatizo linaloleta ugumu wa International flight.. In and out huletwa na mzunguko wa kibiashara wa eneo husika unavutia watu kuja kutrade in and out.. Nairobi kwa mfano tubaweza kusem ni business hub maana international firm nyingi sana zinaoperate pale, wakenya wamejitahidi Kwenye small industries with high value pamoja na process industries zinazoatract ndege za mizigo kutua Jomo kenyata.. High efficiency Mombasa port imeifanya pia nairobi kuwa business hub na kuwepo na flight nyingi from nairobi to Mombasa dairy na baadhi ya mashirika makubwa kama Rwandanair kutua pia mombasa...
 
Yaani mtu aache Emirates, Qatar na Etihad zenye Warembo na Huduma nzuri vile aje kupanda ATC yenye Wahudumu wazembe hivyo. Halafu KQ pamoja na bidii zote za kutangaza na lobying washindwe ATCL iweze !!! Endeleeni kuongeza hasara.
Kwa akili kama hizi zako za kiumasikinini sidhani kama kuna kitu utafanya katika maisha yako
 
Yaani mtu aache Emirates, Qatar na Etihad zenye Warembo na Huduma nzuri vile aje kupanda ATC yenye Wahudumu wazembe hivyo. Halafu KQ pamoja na bidii zote za kutangaza na lobying washindwe ATCL iweze !!! Endeleeni kuongeza hasara.
ATC wakijitahidi hii ni route nzuri sana. Ni matatizo yetu wenyewe ndiyo yana tusumbua. Abiria wengi hata wa Kenya airways wangependa sana kusafiri na Air Tanzania tatizo tulikuwa hatuna ndege ya kutupeleka huko.
Nakumbuka enzi ya Djibouti Muscat Dubai ATC ilibidi waanzishe route ya Mombasa ili ibebe abiria wa route hizo. Abiria wengi kutoka Mombasa walikuwa transit kuelekea Dubai. Hata Air Malawi wakajiunga wakala joint venture.
Hii route ni nzuri sana tuombe mambo twende vizuri.
 
Wenzako wanaombea isiwe ili wapate topic za kujadili humu JF
 
Wenzako wanaombea isiwe ili wapate topic za kujadili humu JF
Naamini katika route zote za nje kwa biashara yetu hiyo ndiyo the best tuombe wasi ihujumu tu.
Tutapata abiria kutoka sehemu nyingi zinazo tuzunguka i.e Malawi Mozambique Zimbabwe Burundi Congo Zambia hiyo ni route ya kibiashara
 
Mzigo kwa walipa kodi huo unaenda kuongezeka.

More routes, more loss; the longer the routes, the bigger loss we incur(disturbing fact).
Hakuna kisicho na gharama inategemeana tu na kipi unaanza nacho
 
Nashangaa wanaojifanya wajuaji na kubeza kila kinachofanywa na serikali,mnahisi awajafanya utafiti wa soko au mnataka kila kitu cha utawala kiletwe humu tujadili kichama chama au kisiasa siasa?

Waachane wataalamu wafanye kazi zao.
 
Hii ndege ifanyiwe mpango ipate japo route ya kuanzia London via amsterdam to KIA last destination iwe Dar!

Wahudumu wake wewe wakimataifa msiweke hawa wasuka mawigi watu wa sasa hivi tafuteni warembo haswa! Menu ziwe za nguvu! Kuanzia hapo faida itaobekana.

Pia naomba yule twiga achorwe kama yule twiga wa kwenye ndege za zamani anavutia zaidi. Alafu ubavuni kundikwe "Tanzania the land of Serengeti Klimanjaro and Zanzibar
Nihayo tu kwa uchache.

Polepole tutafika tena kwa faida
 
Ukienda huko kwa watalii wachache ndio wataongezeka...!!walikuwa hawaji partly because hakukuwa na direct flight.
Suala ni ushindan ktk huduma kwa wateja... sio direct flight peke yake inavutia abiria. Kuna Qatar wanaconnect flight kwa ndege zao Dar-Doha-Mumbai na wako vizur kwenye biashara..!
 
Mawazo mazuri ukiondoa hilo la wahudumu. Ebu panda KLM, Swiss, Njoo huku US uniambie kama kuna mhudumu wa kuvutia kama wetu

Hii ndege ifanyiwe mpango ipate japo route ya kuanzia London via amsterdam to KIA last destination iwe Dar! Wahudumu wake wewe wakimataifa msiweke hawa wasuka mawigi watu wa sasa hivi tafuteni warembo haswa! Menu ziwe za nguvu! Kuanzia hapo faida itaobekana. Pia naomba yule twiga achorwe kama yule twiga wa kwenye ndege za zamani anavutia zaidi. Alafu ubavuni kundikwe "Tanzania the land of Serengeti Klimanjaro and Zanzibar
Nihayo tu kwa uchache. Polepole tutafika tena kwa faida
aea
 
Tatizo letu
1. Tuko na mawazo hasi kila wakati hata jema lifanywe tutaliona baya na hiyo imetuathiri mpaka katika maisha yetu ya kawaida mtu akifanya hata jambo zuri tunaponda yaani utafikiri tumerogwa aisee.
2.Maneno mengi mno tunaongea sana vitendo sifuri tubadilike wandugu.Kwani hayo makampuni makubwa kama EMIRATES walianza kila kitu wanaweza? Au ndio vile tunapenda kusifia vya wengine vyetu tunaponda? Vijana tubadilike.
3. Vijana ifike wakati tubadilishe mindset sio kila kitu negative negative tu haitokaa ikatusaidia. Nia aibu kwa kijana kuwa na NEGATIVE ATTITUDE kila wakati utafikiri zuri hata moja hakuna.HATA SHETANI ALIWAHI KUWA MALAIKA.
Hawa wanao comment wala sio vijana ukiwaona utashangaa
 
Yaani mtu aache Emirates, Qatar na Etihad zenye Warembo na Huduma nzuri vile aje kupanda ATC yenye Wahudumu wazembe hivyo. Halafu KQ pamoja na bidii zote za kutangaza na lobying washindwe ATCL iweze !!! Endeleeni kuongeza hasara.
sawabho, POLE KWA KUOA MHA WA KWENU -HIVI HUKUWAONA WAHINDI NA WAARABU WAREMBO- UNGEENDA TU LUHUMBO
 
Back
Top Bottom