ATCL Cabin ... Uniforms Cost USD49,000 ( PHOTO)

ATCL Cabin ... Uniforms Cost USD49,000 ( PHOTO)

Ukimsikiliza Mwakyembe anasema baada ya kuona hayo akapitia faili la Chizi. Akaona mapungufu kwamba aliajiriwa bila veting. Na base ya kumuondoa ikaanzia hapo! Hivi anayemfanyia mwajiriwa wa umma veting ni nani?
Na huu bado ni mradi mpya, mtu anapewa kazi ki ujanja ujanja ili kesho asiweze kukataa maagizo ya alomuweka pale.

Kwanza anaachishwa kazi aliyeajiriwa, halafu anatazamwa mwajiri wake halafu wanatazamwa wazee wake waliomleta duniani kama walifanya makosa au la.
 
Kwanza anaachishwa kazi aliyeajiriwa, halafu anatazamwa mwajiri wake halafu wanatazamwa wazee wake waliomleta duniani kama walifanya makosa au la.


Kwenye red, kama unafikiri kutumia viungo vingine zaidi ya ubongo waweza fanya hivyo.
Ila I agree with you on one thing, uadilifu wa mtu hautokani na aliyemuweka.
Issue moja tu, what if mtu aliyemuweka pale ndo alimshinikiza kupitisha dili zake?
 
Kwenye red, kama unafikiri kutumia viungo vingine zaidi ya ubongo waweza fanya hivyo.
Ila I agree with you on one thing, uadilifu wa mtu hautokani na aliyemuweka.
Issue moja tu, what if mtu aliyemuweka pale ndo alimshinikiza kupitisha dili zake?

Hypothesis.

Kama binaadam mwenye dhamana na madaraka anatokea mtu kukurubuni kwa kuwa kakuweka kwenye madaraka basi hufai hata kuishi duniani. Natamani tuwaombe Wachina waje kutuwekea sheria za ubadhirifu, rushwa, uzembe na waje kuzisimamia.
 
wa kwanza alibuni Logo y shirika , huyu kaja akabuni uniform. hata hivyo kweli walishindwa kupata watanzania wa kuzishona hizo mpaka waende China?!!
 
Hypothesis.

Kama binaadam mwenye dhamana na madaraka anatokea mtu kukurubuni kwa kuwa kakuweka kwenye madaraka basi hufai hata kuishi duniani. Natamani tuwaombe Wachina waje kutuwekea sheria za ubadhirifu, rushwa, uzembe na waje kuzisimamia.

Hivi unajua madhara ya kubebwa? Purposely mtu anamuweka mtu ambaye hana sifa za ofisi ile ili amtumie!
Hapo nani mwenye kosa zaidi?
 
View attachment 55803

Hizi ndio nguo za wafanyakazi wa ndani ya ndege za Air Tanzania, kuhusu bei nakubaliana sio sawa na je kuhusu aliyeweka hiyo picha ya wanafunzi yeye alimaanisha nini?? Tusiwe na ushabiki unaopitiliza hadi kuondoa maana nzima!!

Mbona naona hawa watoa huduma kwa mteja ndani ya ndege ni watu wazima sana. Kwa uzoefu wangu ndege nyingi zinakuwa na watoa huduma vijana (25 to 35 year), lakini hawa, licha ya make up zao naona umri umeenda kiasi. Kama viwango vimerekebishwa, basi watangaze nasi tuliokomaa tukaruke na wings of Kilimanjaro, ila mimi nitataka trip za nje tu, kwani nasikia ndiyo utaratibu kama mtoa huduma unaujuzi mkubwa wa kuongea hizi lugha za wenzetu, na mimi nimo!!!!
:majani7:
 
[MBONA KAMA BATIKI ZA KK,LOOOL MAZITO HAYAAAAA
PELEKA JELA HAWA WEZIIIQUOTE=WA-UKENYENGE;4014743]
attachment.php

Wanajamvi, ndiyo Uniform zenyewe hizi, ndiyo hapo utakaposhindwa kushangaa na kuanza kujiuliza hivi ni lini tutaamua kuacha kujiaibisha wenyewe kwa mambo yaliyo wazi kama hili.[/QUOTE]
 
Uniform sio hizi hawa na wanafunzi wa u-cabin crew kwenye chuo cha ATCL

angalau wewe una make sense, habari ya kusema hizi ndio uniform za kuvaa ndani ya ndege wala haziingii akilini, yaani kwa nguo hizi hata kutembea hatua ndefu ndani ya ndege haifai maana mpasuo lazima utachanika
 
izi nguo ata ali remtulla na wengineo wa tanzania wangeshona mbona?(nimemkubuka designer uyu tu)
 
Mhasibu TUMBIRI nimeshindwa ku quote post yako kuhusu historical cost kwa kuwa simu yangu ya Mchina niliyiosimamia itengenezwe huko Uchina haina uwezo wa kuhimili ku quote. Ila ninachotaka kusema ulichorejea ni gharama za fixed asset kama vile gari na wala si gharama za consumables kama staff uniform ambazo huwa zinakuwa expensed during the financial year in which the cost was incurred. Ukitaka zaidi nitamtuma kijana wangu aje mpeane darsa.
 
Last edited by a moderator:
Mtoamada asante kwa taarifa. Yangu ni haya:
i. ATCL itafute designer mzuri wa kuwatengenezea nguo hapa hapa nchini na wapo wengi sana na wazuri.
ii. Hizo colour jamani zimefifia saaaanaaaa hata hawaonekani tena kama ni warembo / smart.
iv. Zamani usaili wa watumishi wa kwenye ndege ulikuwa na vigezo fulani fulani, je siku hizi hakuna?
v. Hizo uniform haziridhishi ni vizuri zikabadilishwa haraka ili ziendane na wakati na mazingira katika ushindani mkubwa ambao ATCL wanao.
v. Rangi za bendera yetu ni nzuri ukimuweka na twiga wetu unaweza kupata kitu chema chenye mvuto.

ATCL asanteni kwa kuamka mnatutia moyo watanzania jitahidini ushindani ni mkubwa, mtupe raha tujivunie utanzania wetu.

Kwa wafanyakazi wa ndege, lazima kuna standards za maumbo na shepu-Bongo ufisadi umezidi inabaki kuchomeka ndugu hata kama wana sura ngumu na shepu kama wakaanga samaki!-Hovyo sana na ni aibu kwa Taifa.
 
Ama hakika hatutafika kama mambo yenyewe ndo hivi. Dr Mwakyembe hawa waliohusika na ubadhilifu huu wakati ndege yenyewe iko 1 na maddeni kibao huu ni ufisadi uliopitiliza, tunataka kujua mwisho wake
 
Mhasibu TUMBIRI nimeshindwa ku quote post yako kuhusu historical cost kwa kuwa simu yangu ya Mchina niliyiosimamia itengenezwe huko Uchina haina uwezo wa kuhimili ku quote. Ila ninachotaka kusema ulichorejea ni gharama za fixed asset kama vile gari na wala si gharama za consumables kama staff uniform ambazo huwa zinakuwa expensed during the financial year in which the cost was incurred. Ukitaka zaidi nitamtuma kijana wangu aje mpeane darasa.


Mkuu Kimbunga,
Historical Cost ipo applicable to all kind Assets. Siyo Non Current (Fixed) Assets pekee tu. Hata kwa Consumable Assets Historical Cost ni lazima i apply. Kwa nini nasema hivi? Nasema hivyo kwa sababu Concept inaweka wazi kwamba 'The Cost of an Asset should include all necessary cost to get an asset in place and ready for use'. Concept haijaweka restriction to Fixed (Non Current) Asset tu. Muulize hata huyo Mwanao, kama ameiva vizuri atakwambia hivi hivi ninavyokwambia.

Wataalamu wanasema kwamba huwezi kuzi exclude hizo Cost kwenye Cost za Consumable Assets kwa sababu bila hizo gharama huwezi kurealize Ownership ya vitu hivyo. Yani lazima uvilipie usafiri, ushuru, commission ndipo utaweza kuvipata at your place and ready for use. Kwa msingi huo hizo gharma ni sehemu ya Cost ya Assets of any kind. Gharama ambazo zinakuwa excluded ni maintanance cost, supporting cost kwa Assets during operashion in order to make it Productive. In other word all Post Procurement Process cost siyo part ya gharama za Assets.

TUMBIRI (PhD, Hull University - UK),
tumbiri@jamiiforums.com

 
Last edited by a moderator:
Kicheko kimenikaba baada ya kusoma maoni ya wachangiaji humu ndani,yaani watanzania naweza kuwafananisha na wanamama waliolikurupusha jizi likiiba. Basi watapiga kelele weee mpaka jizi linatokomea na hakuna hata mmoja atakayekuwa na uwezo wa kuokota japo jiwe kulitupia jizi hilo.Tumeona mangapi?Kila kashfa inapojitokeza basi kazi yetu ni kupiga makelele tu sawa na kuwashangilia wabadhirifu hao,hivi suala Dowans liliishia wapi?Nina uhakika kabisa hili nalo litapita, haya na tusubirie jingine..
 


Pdidy na CHUAKACHARA


Kwenye fani ya Uhasibu kuna kitu kinaitwa 'Historical Cost Concept' ambayo ina state kwamba 'Thet cost of an Asset should be reported at its cost (Cost or cash equivalent amount) at the time of exchange transaction and should include all cost necessary to get the asset in place and ready for use'. Kwa kiswahili rahisi Maana yake nini? Maana yake ni kwamba jumla ya gharama ya kitu chochote ni pesa uliyotumia kununulia hicho kitu jumlisha gharama zote muhimu ambazo utazitumia kwa ajili ya kukipata hicho kitu ili kiwe tayari kwa matumizi.

Kwa hiyo katika kesi hii, gharama zote za Per-Diem, Air ticket, Commission ya dalali nk zinaform part ya gharama ya Uniform. Mfano rahisi ni wewe unapoagiza gari kutoka nje ya nchi. Hadi gari linakufikia wewe mtumiaji Jumla ya gharama ya gari ni pamoja na Gharama ya kununulia kutoka kwa manufacturer + Gharama za Kusafirisha + Ushuru + Commission ya Clearing Company + Gharama ya kulibeba na Folk lift hadi nyumbani (Au gharama ya mafuta utakapolijaza kwa mara ya kwanza kwa ajili ya kulitoa bandarini hadi nyumbani).

Huo ndio ukweli kama uamini muulize Muhasibu yoyote atakwambia hivyo.

TUMBIRI (PhD, Hull University - UK),
tumbiri@jamiiforums.com

nakubali kabisa pamoja na kuwa mi mi sio mhasibu. lakini common sense inanituma kukuuliza swali hili: Gharama zote hizo ni za lazima? If it were your company will you send somebody to go and watch how the dresses are made in China etc
 
Back
Top Bottom