Tutafika
JF-Expert Member
- Nov 4, 2009
- 1,443
- 636
Bw Chizi alikodisha ndege ya bilioni 80 kwa zaidi ya bilioni 270, ameshonesha unifom kwa bilioni zaidi ya 78. Halafu kuna watu wanamtetea aendelee kuwepo ATCL
Nasikitika hata magazeti mengine huwa yanafanya kosa hili. Hawajui tofauti ya million na billion