Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,952
- 10,037
Kimbunga huyu jamaa kafanya sana ufisadi ATCL halafu dada zetu wafanyakazi wa kwenye ndege wanamjua vizuri sana.
Mkuu ritz kumbe na huko kwa mair hostess pia huyo mkuu yupo? Nadhani amekaa pale chini ya mwaka lakini ufisadi wa miaka kumi! Angekaa miaka 2 ingekuwaje? Yaani pamoja na aliowarithi kuburuzwa mahakamani yeye hakuogopa hata kidogo!
Last edited by a moderator: