ATCL Cabin ... Uniforms Cost USD49,000 ( PHOTO)

WA-UKENYENGE

JF-Expert Member
Oct 1, 2011
2,918
1,233
attachment.php

Wanajamvi, ndiyo Uniform zenyewe hizi, ndiyo hapo utakaposhindwa kushangaa na kuanza kujiuliza hivi ni lini tutaamua kuacha kujiaibisha wenyewe kwa mambo yaliyo wazi kama hili.
 
Attachments

  • ATL_uniform.jpg
    ATL_uniform.jpg
    87.2 KB · Views: 4,356
Wanajamvi, ndiyo Uniform zenyewe hizi, ndiyo hapo utakaposhindwa kushangaa na kuanza kujiuliza hivi ni lini tutaamua kuacha kujiaibisha wenyewe kwa mambo yaliyo wazi kama hili.

Hiyo haitoshi, walipelekwa maofisa wawili eti kuzisimamia zishonwe. wacha Chisi afukuzwe, jizi kubwa
 
Jamani hii nchi imeoza, inahitaji ukombozi wa nguvu - inahitaji serikali ambayo itakuwa ikisikia Challenger amefisaji haraka sana wanakuja nyumbani kwangu na kuchukua kile kinachowezekana ambacho kitaringana na dhamani ya ufisaji halafu kwenda gerezaji ili kwenda kujifunza uzalendo na uzawa.

Huu mtiririko wa wizi ukianzia juu ni vigumu sana kuu-control kuliko ukianzia chini. Mfano iwapo mtoto akichemka ni rahisi sana kumuonya na kumhadabisha iwapo wewe baba ni muadilifu - ndipo nina maana wizi ukianzia chini ni rahisi kuu-control. Aidha ikiwa baba nimekubuhu kufanya madudu mtoto akifanya yale yale sitapata nguvu ya kumuonya na kumuadabisha.

Hii ndiyo hali halisi madudu, wizi, ufisadi umeanzia toka pale Magogoni - "White House", je unategemea rais atamwambia nini waziri, waziri atamwambia nini Katibu, makatibu na mwaziri watawaambia nini wakurugenzi, hivyo hivyo hadi chini iwapo wooote hawa ni wezi.

Nchi hii ina kundi kubwa la viongozi ambao hawana uchungu na nchi hii!!
 
inasikitisha kuona kuna watu wanajiita binadamu,kuna watu wana kufuru ajabu yani ivi vitambaa ndo bei hiyo?...yani nilipatwa hasira
 
Clouds fm wamesema Chizi alikuwa amestaafu kazi mwaka jana na hela zake aikuwa amesha lipwa.

sio clouds fm, kipindi cha power breakfast wamerekodi hotuba ya mheshimiwa na ni kwa maneno yake mwenyewe mheshimiwa waziri mwakyembe
 
Hiyo haitoshi, walipelekwa maofisa wawili eti kuzisimamia zishonwe. wacha Chisi afukuzwe, jizi kubwa
Duh, hiyo ni ATCL vipi kuhusu mashirika mengine, vipi kuhusu halmashauri zinazohonga wabunge ambazo hata wasemaje hawapo! TZ nizaidi yatuijuavyo jamani!
 
Kuna wakati nikiitwa mTanzania najisikia vibaya.

Ni kweli kabisa maana utanzania unahusika husika na watu kutotumia vichwa vyao kufikiri na kutenda. Tunafanya mambo kama dunia yote inaishia leo hii
 
Uniform sio hizi hawa na wanafunzi wa u-cabin crew kwenye chuo cha ATCL

attachment.php

Wanajamvi, ndiyo Uniform zenyewe hizi, ndiyo hapo utakaposhindwa kushangaa na kuanza kujiuliza hivi ni lini tutaamua kuacha kujiaibisha wenyewe kwa mambo yaliyo wazi kama hili.
 
Back
Top Bottom