ATCL Cabin ... Uniforms Cost USD49,000 ( PHOTO)

Jamani hii nchi imeoza, inahitaji ukombozi wa nguvu - inahitaji serikali ambayo itakuwa ikisikia Challenger amefisaji haraka sana wanakuja nyumbani kwangu na kuchukua kile kinachowezekana ambacho kitaringana na dhamani ya ufisaji halafu kwenda gerezaji ili kwenda kujifunza uzalendo na uzawa.

Huu mtiririko wa wizi ukianzia juu ni vigumu sana kuu-control kuliko ukianzia chini. Mfano iwapo mtoto akichemka ni rahisi sana kumuonya na kumhadabisha iwapo wewe baba ni muadilifu - ndipo nina maana wizi ukianzia chini ni rahisi kuu-control. Aidha ikiwa baba nimekubuhu kufanya madudu mtoto akifanya yale yale sitapata nguvu ya kumuonya na kumuadabisha.

Hii ndiyo hali halisi madudu, wizi, ufisadi umeanzia toka pale Magogoni - "White House", je unategemea rais atamwambia nini waziri, waziri atamwambia nini Katibu, makatibu na mwaziri watawaambia nini wakurugenzi, hivyo hivyo hadi chini iwapo wooote hawa ni wezi.

Nchi hii ina kundi kubwa la viongozi ambao hawana uchungu na nchi hii!!

Ingekuwa ni kweli maneno yako, leo tusingeshuhudia hayo tunayoyajadili, mpeni sifa zake Rais jamani kama anafanya kazi nzuri, kutwa kumkandia tu hata anapojaribu kujitutumua kuonesha ukali? hebu kueni waungwana kwanza !
 
airtz.jpg

Hizi ndio nguo za wafanyakazi wa ndani ya ndege za Air Tanzania, kuhusu bei nakubaliana sio sawa na je kuhusu aliyeweka hiyo picha ya wanafunzi yeye alimaanisha nini?? Tusiwe na ushabiki unaopitiliza hadi kuondoa maana nzima!!
 
ukipita sekta zote za serikali ndio utajua hii nchi tunaweza kujenga bara bara zetu wenyewe
Kuna siku niliambiwa gharama ya majoho wanayovaa madiwani wa halmashauri yangu BP ikapanda, sijui majoho yale yanasaidia nini kwenye vikao vyao. Tumekuwa kama taifa la vichaa.
 
Mie ninavyojua uniform zinakuwa kwa akina dada ni suruali au sketi zinazoishia kwenye magoti kwa sababu wakati wa kuokoa abiria unahitaji kutembea kwa haraka. Sasa vitenge kama mnahudhuria kongomano la uamsho kidogo nachelea kuoana hili chaguo na safety issue wakati wa hatari. Ni ushauri tu.
 
Mie ninavyojua uniform zinakuwa kwa akina dada ni suruali au sketi zinazoishia kwenye magoti kwa sababu wakati wa kuokoa abiria unahitaji kutembea kwa haraka. Sasa vitenge kama mnahudhuria kongomano la uamsho kidogo nachelea kuoana hili chaguo na safety issue wakati wa hatari. Ni ushauri tu.

NAona unaota, ni kama wanahudhuria kongamano la mzee wa upako la kuponya vilema wasoweza kutembea
 
Afadhali utammke kwa hiyo USD kwa Tsh inatisha ni kama shs 74,000,000 kwa hivyo vitambaa vya ts 500 kwa mita. SHAME on YOU CHIZI. Ndio maana unaitwa Chizi.
 
Mwakyembe anapayuka ili kujustify usanii wa kumuweka binamu yake. Mpaka CAG atakapokagua hapo na kuthibitisha hayo matumizi ndo nitaamini. Amejumlisha gharama za safari na malazi ya hao maafisa kwenye uniform bila ya kueleza cost per unit uniform ni shs ngapi. Sasa mitanzania mijinga ikishaona tu inakurupuka na kusema huu ni ufisadi. Haiingii akilini maafisa wa shirika waende kushona nguo uchina halafu wakae huko huko kuzisubiria. Tupate taarifa kutoka upande wa pili ndio tufanye judgement. We hujiulizi kwa nini Mwakyembe alikuwa anaongea kwa jazba na kutokwa na mapovu?? Anataka kuficha kukurupuka kwake.
YALEYALE ya kizungumkuti cha mwenye 'LICHAMA' kumpasia Uenyekiti and possibly mgombea Urais come 2015, Mkwe wake! Maajabu hayabagui, yapo kotekote..kushoto na kulia, nyuma na mbele! Tusubiri kuona mengi zaidi
 
Ok
huyo bwana anaetetea doller 50,000 embu tumsaidie kwanza kimahesabu
50,000 *1600 =80,000,000 (wasiojua ni million themanini)
waliokaa huko siku 45 wawili @250 usd
250usd*45*2=22,500 usd hizi ni sawa na 22,500*1600=36,000,00o yaani million thelathini na sita /2
kila mmoja aliondoka na million 18,000...ok

million 80,000-36,000=44,000,000
tkt kwa watu wawili
doller 478 walipata discount *2 =956 appr 1000 usd/sawa na 1,600,000

million 44-milli 1.6
baki million 42.4 ok tufanye million 42

sasa basi na akili yako wewe unaetetea hili chukua 42,000,000/17=2,470,588 million@uniform

ok toa laki 470 kwa kila mtu peleka kwa dalali alietoa hilo dili usiulize wapi

470,000*17 =7990000 hizi za udalali

nchi gani inatengeneza nguo kwa million 2??ukiacha kwenu sumbawanga???

Ahasante kwa kukokotoa hayo mahesabu, maana watu wengine mpaka uwawekee kinywani. hata common sense ina-dictate extravagant use of public funds
 
Nani ni designer? Yaani hawa ni brown na hizo nguo brown... matokeo ni uchakavu wa hao watu na ni mateso kweli

wamechoka kama Viatu Vyao Vinavyoonyesha... Kweli Ukiwaweka wa Kenya na wa Kwetu; hata kama bei ya Ticket ya

Kenya ni Ghali, Narukia ya Kenya kwasababu wao ni weusi zaidi yetu lakini rangi za nguo zao zinateleza na kupendezesha

mantiki ya rangi yao. Hapa Sisi tatizo ni kugawa pesa kwa Marafiki, Serikali ina pesa za kuchezea yaani wanaonekana

Kama Vichuguu... PAINFULL!!!
 
Ni Tshs 78,000,000 na ni wastani wa 4,000,00 kwa jozi moja, Tanzaniaaaaaaa ehe!
To be specific, ni sawa na USD 4083 kila moja.
sawa na Tshs. 6,533,333 (milioni) kwa jozi moja.
Si nyingi sana lakini.
 
Kila moja ni wastani wa Dolali 2882.35..... kazi kweli kweli.... Per Diem hapo hakuna..
 
No data no research no right to speak; uniform zilizo ongelewa na mhesh mwakyembe sio hizi hawa niwanafunzi wa chuo cha mafunzo ya cabin crew.
 
no data no research no right to speak; uniform zilizo ongelewa na mhesh mwakyembe sio hizi hawa niwanafunzi wa chuo cha mafunzo ya cabin crew.
 
Mwakyembe anapayuka ili kujustify usanii wa kumuweka binamu yake. Mpaka CAG atakapokagua hapo na kuthibitisha hayo matumizi ndo nitaamini. Amejumlisha gharama za safari na malazi ya hao maafisa kwenye uniform bila ya kueleza cost per unit uniform ni shs ngapi. Sasa mitanzania mijinga ikishaona tu inakurupuka na kusema huu ni ufisadi. Haiingii akilini maafisa wa shirika waende kushona nguo uchina halafu wakae huko huko kuzisubiria. Tupate taarifa kutoka upande wa pili ndio tufanye judgement. We hujiulizi kwa nini Mwakyembe alikuwa anaongea kwa jazba na kutokwa na mapovu?? Anataka kuficha kukurupuka kwake.

Suala hapa ni sahihi au busara USD 49,000/= itumike kununulia nguo hata kama ikijumuishwa na nauli na masurufu ya watumishi waliozifuata wakati ATCL in hali mbaya ya fedha wanashindwa hata kulipa mishahara?
 
Back
Top Bottom