ATCL: Another Richmond!

ATCL: Another Richmond!

Nyingine hizo.
 

Attachments

Labda tuwatumie file moja moja. Angalieni attachments kwenye postings zangu kuanzia hii na zinazofuata

Poa Mtanzania, malizia mafaili yaliyobaki, mie naweka picha za ndege.
 
Shukrani wa ndugu; haya mambo ni mazito. Nashindwa sijui nianzie wapi tu tukubali tu yaishe?
 
Picha za ndege zetu zipo hapa chini
 

Attachments

  • ndaniyahangar.JPG
    ndaniyahangar.JPG
    43 KB · Views: 122
  • nakitambaa.JPG
    nakitambaa.JPG
    36.7 KB · Views: 121
  • matengenezokushoto.JPG
    matengenezokushoto.JPG
    28.6 KB · Views: 118
  • kutokaardhini.JPG
    kutokaardhini.JPG
    3.2 KB · Views: 123
  • kushotokwambali.JPG
    kushotokwambali.JPG
    35.7 KB · Views: 123
  • ndaniyahangar2.JPG
    ndaniyahangar2.JPG
    42.2 KB · Views: 121
  • usawawakati.JPG
    usawawakati.JPG
    33.2 KB · Views: 123
Ndege zetu
attachment.php


attachment.php


[media]http://www.jamboforums.com/attachment.php?attachmentid=1239&d=1204551786[/media]

[media]http://www.jamboforums.com/attachment.php?attachmentid=1240&d=1204551786[/media]

attachment.php


[media]http://www.jamboforums.com/attachment.php?attachmentid=1242&d=1204551802[/media]

[media]http://www.jamboforums.com/attachment.php?attachmentid=1243&d=1204551802[/media]

Tuendelee na mjadala wa kodi zetu
Idimi
 
Mafiles ya mwisho, upgrade software zenu basi.

Jasusi, ujanja wote wa bure kwi kwi kwi!!!
 
Kumbe na bwana IDIMI naye alikuwa anatuma wakati huo huo? Naomba moderators ondoeni copies zingine ili kutokupunguza speed wanachama wanavyosoma JF.
 
Kumbe na bwana IDIMI naye alikuwa anatuma wakati huo huo? Naomba moderators ondoeni copies zingine ili kutokupunguza speed wanachama wanavyosoma JF.

no ngoja zote ziwepo! wengine hapa tumependa hii mixing maana hata Usher ameshidwa ku-catch up!
 
Tunahitaji sayansi ya hali ya juu sana ili tuweze kuangamiza hiki kirusi cha ufisadi....Hii vita si lelemama. Hata William Haji???
 
Naona Mwanakijiji Muziki Autoki Ngoja Niwagaie Jamaa
Mziki Wa Rose Mhando Wacheze Au Unasemaje ??
 
mheshimiwa MoD tafadhali iweke hii thread sticky hapo juu... iungane na ndugu zake kina Buzwagi na Richmond..
 
Shukrani wa ndugu; haya mambo ni mazito. Nashindwa sijui nianzie wapi tu tukubali tu yaishe?


Mimi ndio nasema naanza kuogopa sana, pengine watanzania wote tumepandikiziwa jini la ufisadi, vinginevyo tutasemaje maana ni kila kona ya nchi, sasa tutajificha wapi?
 
Huko tuendako...haya; pamoja na utamu wa hii thread, ninashida kidogo. Unajua mkishaanza kuweka namba za watu humu kwenye public forum sidhani kama ni sawa na hapa ndipo akina Manumba wanapopata sababu za kutimiza dhamira yao. Sisi tunaficha hata majina yetu, tunapata wapi haki ya kutundika namba za simu za watu, tena mobile? Mimi nilidhani moderation ni pamoja na mambo kama haya au?
 
Back
Top Bottom