tibwilitibwili
Senior Member
- Sep 12, 2006
- 184
- 14
Huko tuendako...haya!
Mimi kama wewe Kitila .Nimepatwa na kichaa baada ya kuona wananchi wanakimbilia JF kusema yanayo wakuta.Naamini kwamba wanao husika wamesha pata ujumbe .
Naomba waleta habari wapunguze jazba na wanaweza kuleta ujumbe wao kwa utulivu ukawa na uzito mkubwa sana badala ya kutumia maneno mazito ya kushusha uzito wa ujumbe wao.