Atakayeisoma namba ni yule mwenye kipato cha chini

Atakayeisoma namba ni yule mwenye kipato cha chini

Jana hapa Muhimbili kulikuwa na askari na wanajeshi(maofisa) wa kutosha waliopita kuangalia/kujiridhisha na utayari wa kupokea majeruhi wengi kwa wakati mmoja katika vitengo vya ICU na kule Emergency Center, Mifupa(MOI). Huu ni udhalimu wa hali ya juu.

Sasa kilichobaki ni kubutuana tu, wale wamama sijui watoto waliokuwa wanategemea fedha toka kwangu(mtoa huduma) eti nimsaidie anunue dawa, unamuona kwa msaada(consultation) afikapo ofisini, consultation za simu(Sijui dokta nimekunywa sasa hii dawa nimeze au nimeze kesho, sijui wife mjamzito dokta hii dawa ni salama, kupigiwa simu sijui kutaka consultation) sifanyi tena upuuzi, ukija hospital ukalala chini,ukakosa dawa, ukapigwa tarehe poa tu. Na mimi nikienda ofisi za watu nibutuliwe tu.

Mwendo si ndiyo huu bana, Kusoma namba my foot!

Huku ni kukosa weledi, nashukuru wenzio hawako kama wewe....siasa unaziingiza wodini??!! mabadiliko yaanzie kwako.
 
Mbowe hawezi kuisoma namba. Ana biashara zake plus mshahara wa ubunge. Lowassa pia ana hela zake. Mbatia mhandisi pia mbunge. Tundu Lissu advocate. Ana hela zake. Kushangilia eti UKAWA watakoma ni ujinga. Atakayeisoma namba ni yule ambaye akija hospitali ukamwambia hela ya kumuona daktari ni 6000 anapanic anaanza kuwalaum madaktari.

Anaeisoma namba ni yule mwenye kipato cha chini, bima ya afya hana, hata hela ya kumshonea mwanae uniform hana. Anaeisoma namba ni yule ambaye hawez kuafford milo mitatu iliyo kamili kwa siku. Ni upuuzi kwa mtanzania wa manzese (asiyeweza kulipa ada ya shule ya 40k kwa mwaka) kusema Duni ataisoma namba wakati ana taaluma yake na pesa zake. Unaeisoma namba ni wewe ambaye tokea umemaliza chuo ni miaka mitatu huna kazi (halaf kwa upumbavu unashabikia hapa kazi tu). PUMBAVU SANA.

Unaeisoma namba ni wewe ambaye mtoto wako akiumwa mafua tu huwez kuafford dawa. Asilimia kubwa ya waliomchagua pombe ni ile 30% ya watanzania wanaoishi chini ya mstari wa umasikini (kipato cha siku kuwa chini ya dola za kimarekani 1.9.. sawa na sh 4000 hiv).

Hawa ndo wanaisoma namba, miaka 54 ya uhuru bado wanaishi gizani, bado hawawez kupata maji safi na salama...Halaf walivyo wapumbavu wanashabikia hapa kazi tu.. Kweli ni kazi..

Maana kushindia mlo mmoja kwa siku so mchezo, ni kazi kweli. Kumnywesha mwanao mwarobain kwa sabab huwez kumudu bei za madawa, so mchezo ni kazi haswa haswa.

Kama watanzania wenyewe ndo hawa ambao hawajitambui, WE HAVE A LONG WAY TO GO.

Hivi kile kitufe cha 'LIKE' kiko wapi nowadays???
 
Mkuu sidhani kama ulicho kiandika ni sahihi sana.
Nimeusoma uzi wako vizuri na kuuelewa, inaonekana unawatupialawama wote walio mchagua Magufuli kana kwamba wamekosea. inawezekana ni kweliwaliowengi wao hawawezi kumudu milo mitatu kwa siku, labda hawawezi kulipa adaya watoto wao, au hata kuwa nunulia yunifom, na inawezekana wengi wao hawamuduhata kuwatibia mafua watoto wao wakiugua achilia mbali kujitibu wenyewe.
Lakini naona hapa umesahau kitu kimoja muhimu sana, autuseme mmesahau wote hadi kufikia hatua ya kujitoa ufahamu, tatizo lako hapalinaonekana ni la watu kumchagua Magufuli, embu tuambie angechaguliwa Lowasaangefanya nini kuondoa hayo yote uliyo yasema ambacho Magufuli hawezi kufanya?
Umesahau kuwa ile kauli mbiu yenu ya ufisadi alieifanyaizaliwe na kutumika ni huyu huyu Lowasa, umesahau mlituaminisha kuwa huyu mtuni hatari kwa mustakabali wa taifa letu? Mmesahau kuwa nyie ndio mlio sababishaavuliwe(ajiuzuru kwa shinikizo) uwaziri mkuu, na maana ya kuvuliwa/kujiuzurukwa shinikizo uwaziri mkuu ni kwamba hafai na ni mchafu, hamkuishia hapo mlidaitena mkadhamiria huyu bwana ashtakiwe.
CCM ikalitambua hilo, ikaja na kauli mbiu ya kujivua gamba,hapo ndipo mlipopata cha kuongea, mlishinikiza sana huyu bwana awajibishwe yaaniavuliwe gamba kwa nguvu, CCM kwa busara haikufanya hivyo kwani muda ulikuwabado, tena mkaanza kuleta kejeli kwa chama cha CCM na hata mwenyekiti wake kuwahana msimamo, dhaifu na matusi yote tena hadharani lakini CCM ilikaa kimya.
Ilipofika muda wake, huyu bwana akawajibishwa kwa taratibuza chama cha mapinduzi zinazo stahili, yaani ??wakamkata?.
Huku mkiwa tayari mmeisha muandaa mgombea wenu(Dr Slaa), kwaupeo finyu wa akili tena uliotawaliwa zaidi na uchu wa madaraka ndani yakekukiwa na utashi wa maslahi binafsi, mkamuacha Yule mlie muandaa na kumparamiahuyu bwana na kusahau kabisa slogan ??hai?? iliyo kijenga chama chenu yaani kupinga ufisadi, na mkaanza kujengaupya hoja dhaifu ya mfumo.
Mkuu unatambua watanzania hawa wa sasa ni werevu nawanauwezo wa kupambanua mambo na vipaumbele vyao, vyie mlikuwa navyo? Zaidi yakudai kuwa CCM imechoka, CCM haikufanya kitu miaka yote 54, hamkuweza kusimamaupande ulio wajenga, na mbaya zaidi mlikuwa na timu ya watu ambao hiyo CCMiliyo choka ili wa reject, yaani mlichukuwa watu dhaifu walio achwa na CCM. KamaCCm imechoka hao mlio wachukuwa walikuwa katika hali gani? Ni kweli na simatusi wakiitwa oil chafu na makapi kwa sababu CCM haikuwa na kazi nao, huyuKingunge sote tunajua siasa ilisha mshinda mpaka akaamua kuwa mganga wa kienyeji,si ndio aliwawakilisha hao kwenye bunge la katiba?sasa mganga CCM wa nini?
Kwa hali hii militegemea nini hasa? Watanzania wanaakilitimamu mkuu, sio nyumbu wa Serengeti au ngiri wa tsavo..wameisha amua, Magufuli uwezo wa kuleta mabadiliko ya kweli anao, ila kama ulikuwa mtu wa shortcutshortcut jipange upya, kama mfanya biashara usikwepe kodi, kama mtumishi wa uma ulie zoea mazabe badilika, kama mla rushwa acha, kama ulikuwa mvunja sharia inabidi tu uwe mtiifu tena bila shuruti. Na zaidi kila mtu lazima afanye kazikadiri alivyo jaliwa?.
Kwake Kazi tu.

Mimi nashangaa hawa watu wenye akili na kipato inakuwaje waaminishwe kwa miaka nane Lowassa ni fisadi na hafai, halafu tena waaminishwe ndani ya wiki mbili Lowassa si fisadi na ndio anafaa kuleta mabadiliko!!!!!

Hivi huyu Lowassa asingekatwa CCM angekuja UKAWA? Na angebaki CCM mngesema 'mabadiliko ni lowassa'? Acheni unafiki nyinyi UKAWA.
 
Nsikitia sana vijana wenzangu. ukweli ni kwamba AMANI YA MOYONI ni bora sana kuliko PESA. kama huamini hilo muulize mtu yeyote tajiri, wengi wao wana pesa ila hawana AMANi moyoni. Nyie mnaodhani watu huko vijijini wanataka kipato zaidi mnajidanganya sana.

Huko vijijini watu ni shangwe tu kila siku, hawajali haya mambo ya pesa. na ndio mana wamechagua CCM. huko vijijini watu wana amani sana yaani na hilo ndio muhimu kuliko kitu kingine...

WATAKAOISOMA NAMBA ni nyie wa huko huko Dar na Arusha na ndoto zenu za pesa zaidi mfuko, kwa upande wa vijijini maisha yataendelea vizuri kabisa, na hatuhitaji mabadiliko yenu!
 
Wewe umeishi kijiji cha wapi wakakuambia kuwa huku ni raha must are he!!?, Hivi unazijua kero za vijijini wewe au unaropoka tu hapa ili na wewe uonekane umechangia????.
 
mkuu asante sana post yako imenifariji. haijanigusa bima nnayo mtoto wangu nammudu tena nataka niongeze mwingine. na wote wana savings ac.
 
Khaa!! Ukweli ni kwamba watz wengi hatukuwa na imani na mtandao wa lowassa
 
Mbowe hawezi kuisoma namba. Ana biashara zake plus mshahara wa ubunge. Lowassa pia ana hela zake. Mbatia mhandisi pia mbunge. Tundu Lissu advocate. Ana hela zake. Kushangilia eti UKAWA watakoma ni ujinga. Atakayeisoma namba ni yule ambaye akija hospitali ukamwambia hela ya kumuona daktari ni 6000 anapanic anaanza kuwalaum madaktari.

Anaeisoma namba ni yule mwenye kipato cha chini, bima ya afya hana, hata hela ya kumshonea mwanae uniform hana. Anaeisoma namba ni yule ambaye hawez kuafford milo mitatu iliyo kamili kwa siku. Ni upuuzi kwa mtanzania wa manzese (asiyeweza kulipa ada ya shule ya 40k kwa mwaka) kusema Duni ataisoma namba wakati ana taaluma yake na pesa zake. Unaeisoma namba ni wewe ambaye tokea umemaliza chuo ni miaka mitatu huna kazi (halaf kwa upumbavu unashabikia hapa kazi tu). PUMBAVU SANA.

Unaeisoma namba ni wewe ambaye mtoto wako akiumwa mafua tu huwez kuafford dawa. Asilimia kubwa ya waliomchagua pombe ni ile 30% ya watanzania wanaoishi chini ya mstari wa umasikini (kipato cha siku kuwa chini ya dola za kimarekani 1.9.. sawa na sh 4000 hiv).

Hawa ndo wanaisoma namba, miaka 54 ya uhuru bado wanaishi gizani, bado hawawez kupata maji safi na salama...Halaf walivyo wapumbavu wanashabikia hapa kazi tu.. Kweli ni kazi..

Maana kushindia mlo mmoja kwa siku so mchezo, ni kazi kweli. Kumnywesha mwanao mwarobain kwa sabab huwez kumudu bei za madawa, so mchezo ni kazi haswa haswa.

Kama watanzania wenyewe ndo hawa ambao hawajitambui, WE HAVE A LONG WAY TO GO.

Ni kweli kabisa! Mama ntilie, machinga na bodaboda...
 
lowassa tngempa kura kama ccm ingempitisha kwa roho nyeupee,ubunge madiwani ni ukawa .nakuhakikishia watu 10m waliompigia kura wengi alitoka nao ccm walee wa safari ya matumaini.

Wewe ndio ungempa Kura yako.lakini mbowe na wenzake wangezunguka nchi nzima kuwaambia wananchi kuwa hafai ni mwizi na fisadi wa Mali ya umma.
 
Hebu fuatilia mijadala hapa JF kipindi cha kampeni. Issue ilikuwa kuitoa ccm madarakani, hivyo yoyote aliye ccm ni adui wa mabadiliko na maendeleo. Elewa kuwa ccm kudumu madarakani wamegeuka miungu watu, jeuri, wanafanya vimamaendeleo kidogo na vya ghiliba kuombea kura uchaguzi unaofuata. Hawaogopi kufanya ufisadi.

Kuitos tu ccm madarakani haitoshi lazima tuangalie hao wanaotaka kuitoa ccm ni wakina nani. ccm is just an alphabet c c m .kuna watu ambao ndio wanaifanya ccm iwe ccm na hao ndio manahodha wa kuifanya iwe nzuri au mbaya.sasa Chadema walichokifanya ni kumchukua mwanaccm aliyenyimwa nafasi ya kugombea urais kutokana na kukosa sifa na kutuaminisha kuwa anazo sifa.kumbuka nihuyuhuyu lowassa Chadema walimtangaza kuwa Ni mwizi WA Mali ya umma Leo tutawaamini vipi? Panuwa ubongo wako
 
Wewe umeishi kijiji cha wapi wakakuambia kuwa huku ni raha ... ... ...

kuna uwezekano mkubwa vijijini nilivyopita mimi sio kijiji ulichokuwa wewe, kama uko kwenye kijiji ambacho kinataka mabadiliko kuna uwezekano mkubwa ni kwasababu unaangalia sana video za majuu na kutaka kulingana nao,

Vijiji vingi kwa hapa tanzania, ni shangwe tu na kusaidiana na kuishi maisha yenye amani moyoni. hatutaki mabadiliko na ada za bure, tuna miti shamba hatuhitaji madawa n.k.
 
Bahati mbaya hakuna kitufe cha LIKE. Pokea LIKE Mkuu. Nilishasema kuwa wanasema sisi tunaoshabikia upinzani tutaisoma namba, lakini sio sisi peke yetu. Tutakayoisoma namba ni pamoja na wananchi wote wanyonge wa Tanzania. Muda hauganganyi.

Na hao wanaishabikia CCM kwa kupewa kipande cha kanga na tshirt ndo itakula kwao zaidi kwasababu wao ndio wenye maisha magumu.
 
Mbowe hawezi kuisoma namba. Ana biashara zake plus mshahara wa ubunge. Lowassa pia ana hela zake. Mbatia mhandisi pia mbunge. Tundu Lissu advocate. Ana hela zake. Kushangilia eti UKAWA watakoma ni ujinga. Atakayeisoma namba ni yule ambaye akija hospitali ukamwambia hela ya kumuona daktari ni 6000 anapanic anaanza kuwalaum madaktari.

Anaeisoma namba ni yule mwenye kipato cha chini, bima ya afya hana, hata hela ya kumshonea mwanae uniform hana. Anaeisoma namba ni yule ambaye hawez kuafford milo mitatu iliyo kamili kwa siku. Ni upuuzi kwa mtanzania wa manzese (asiyeweza kulipa ada ya shule ya 40k kwa mwaka) kusema Duni ataisoma namba wakati ana taaluma yake na pesa zake. Unaeisoma namba ni wewe ambaye tokea umemaliza chuo ni miaka mitatu huna kazi (halaf kwa upumbavu unashabikia hapa kazi tu). PUMBAVU SANA.

Unaeisoma namba ni wewe ambaye mtoto wako akiumwa mafua tu huwez kuafford dawa. Asilimia kubwa ya waliomchagua pombe ni ile 30% ya watanzania wanaoishi chini ya mstari wa umasikini (kipato cha siku kuwa chini ya dola za kimarekani 1.9.. sawa na sh 4000 hiv).

Hawa ndo wanaisoma namba, miaka 54 ya uhuru bado wanaishi gizani, bado hawawez kupata maji safi na salama...Halaf walivyo wapumbavu wanashabikia hapa kazi tu.. Kweli ni kazi..

Maana kushindia mlo mmoja kwa siku so mchezo, ni kazi kweli. Kumnywesha mwanao mwarobain kwa sabab huwez kumudu bei za madawa, so mchezo ni kazi haswa haswa.

Kama watanzania wenyewe ndo hawa ambao hawajitambui, WE HAVE A LONG WAY TO GO.

Wenyeviti wa vitongoji wasio na posho
 
kuna uwezekano mkubwa vijijini nilivyopita mimi sio kijiji ulichokuwa wewe, kama uko kwenye kijiji ambacho kinataka mabadiliko kuna uwezekano mkubwa ni kwasababu unaangalia sana video za majuu na kutaka kulingana nao,

vijiji vingi kwa hapa tanzania, ni shangwe tu na kusaidiana na kuishi maisha yenye amani moyoni. Hatutaki mabadiliko na ada za bure, tuna miti shamba hatuhitaji madawa n.k.
a man with idiotic mind
 
Wanaoimba wataisoma namba, wao hasa ndo wanaisoma namba. Maana hawana elimu wala kipato. Zile elf kumi walizokuwa wanapewa za kampeni sasa zimeisha. Tutaona nani ataisoma namba sasa!! Na Ole wake mjinga mjinga aniombe hata sh mia mfuasi wa magamba, nitampa kibao cha moto hajawahi pewa
 
Back
Top Bottom