Bosi wenu makengeza aliwaaminisha kuwa safari hii ikulu kiulauni, kwamba mtu yeyote makini asingeacha kumchukua Lowassa akiwa na mtaji mzuri kisiasa.
Makengeza yake yalimfanya asione jinsi alivyom brand kwa miaka huyo mwizi mwenzie na ghafla akaja na falsafa yake ya kitaahira ya kubadilisha gia ndege ikiwa angani.
Wananchi masikini wana akili kuliko nyie matajiri na minds zenu ambazo zime corrupt!! Mliopoteza uwezo wa kuhoji na kubaki tu ndiyo mzee, ndiyo mzee. Waliihitaji maelezo ya kina kuhusu gia kubadilishwa ndege ikiwa angani. Nyie minyumbu, pamoja na madigrii yenu, pamoja na ujanja wenu, ongeza na pesa zenu za rushwa mmeshindwa kuhoji zaidi ya kututaka watu masikini wa vijijini tumpigie kura huyo mgonjwa wenu anaye vibrate kama nokia!!
Lakini kumbe tuna akili kuliko nyie wasomi, wasomi mmeshindwa kuamua nani anafaa kuwa raisi awamu ya tano, sisi tumeweza, tumeamua na ndege yenu imeanguka.
Halafu mbona mnapenda kututisha? Au kwa nini tuogope? Kwamba tukija mjini mtakataa kutupokea kwenye nyumba zenu za kupanga? Kwamba tukiomba pesa za matibabu mtatunyima? Pesa zenu zinawasaidia nini nyie wenyewe kwanza? Mna mipesa lakini mnatetemeka na kujinyea hovyo kama bata na kuadhirika, mbona haziwasaidii mkatibiwa mnabaki kuhangaika kama tunavyohangaika na sisi na mafua yetu?
Mlitulazimisha kuwa maadui wa adui yenu na tukakubali, leo mmekula pesa zake amekuwa rafiki yenu halafu tena mnataka awe rafiki yetu pia? Hapana, siyo bila maelezo, siyo kihivyo, tumekataa ulofa!!
Mlishindwa kuhoji katibu mkuu yuko wapi na kwa nini chama ni salama bila katibu mkuu? Nyie watu hamna akili, vinginevyo msingeridhika na maelezo mepesi kuwa ni msaliti. Kwamba alilisaliti kanisa, akamsaliti na mkewe angeshindwaje kukisaliti chama? Msingeridhika na maelezo mepesi kuwa yalikuwa ni maamuzi ya "mchumba wake" ambaye ni mbaya kama Delila -Josehine ambaye anamfungia ndani.
Mkaaminishwa kuwa Dr Slaa hakuwa kitu tena ndani ya chama na mkaaminishwa kuwa wapiga kura ni hao mabodaboda, machinga na mama nitilie wa Dar tu!!
Sasa mmejua kuna watu wa vijijini? Kumbe wale wa Jangwani walikuwa hawatoshi kukamilisha malengo yenu. Kumbe mlitakiwa kumleta kijijini pia na sisi tukamsikia (kama huwa anaongea) pengine tungemwelewa.
Kwa kutofanya mliyotakiwa kufanya, na kwa kufanya yale hamkutakiwa kufanya basi mjilaumu wenyewe na upumbavu wenu, dont be extroverts!!
Mmefeli kwa sababu hamna akili full stop!!