Bepari
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 904
- 330
Mtu asiyekuwa na uhakika wa maisha kujidai oh mtaisoma namba ni fedheha tupu.
Wewe una hakika ya maisha, Ukawa ya nini?

nilikuwa na mawazo hayo hayo ila nimekuja kugundua watanzania wengi wamepiga kura na wamejitahidi sana ila zimeibiwa .mawakala tuliowaweka wengi wamenunuliwa ,ccm imejiongezea kura nyingi kiukweli lowasa alipata kura zaidi ya 10m ambao ni watanzania wamempa.upo sahihi sana. Mie nilileta uzi hapa juzi kwamba "wote tutaisoma namba" japo wachache tu mfano hao ulio wataja. Tena nilisema uwe umeichagua au hujaichagua utaisoma namba.
Leo nilikuwa offisini akaja mwanafunzi mmoja anasoma sauti na anachangisha hela ili apate ada. Ki ukweli nilikuwa na hasira sana wakati waliahidiwa elimu bure mpaka level yake.
lowassa tngempa kura kama ccm ingempitisha kwa roho nyeupee,ubunge madiwani ni ukawa .nakuhakikishia watu 10m waliompigia kura wengi alitoka nao ccm walee wa safari ya matumaini.labda nikuulize je kama lowassa jina lake lisingekatwa na ccm akapitishwa kuwania uraisi ungempigia kura yako? Pelekeni unafiki huko.mnajifanya mna uchungu na nchi hii kumbe ni unafiki mtupu.nchi hii itakombolewa na wenye uzalendo wa kweli na uchungu bila kujali chama .nahuyu si mwingine bali ni john pombe magufuli.
Mbowe hawezi kuisoma namba. Ana biashara zake plus mshahara wa ubunge. Lowassa pia ana hela zake. Mbatia mhandisi pia mbunge. Tundu Lissu advocate. Ana hela zake. Kushangilia eti UKAWA watakoma ni ujinga. Atakayeisoma namba ni yule ambaye akija hospitali ukamwambia hela ya kumuona daktari ni 6000 anapanic anaanza kuwalaum madaktari.
Anaeisoma namba ni yule mwenye kipato cha chini, bima ya afya hana, hata hela ya kumshonea mwanae uniform hana. Anaeisoma namba ni yule ambaye hawez kuafford milo mitatu iliyo kamili kwa siku. Ni upuuzi kwa mtanzania wa manzese (asiyeweza kulipa ada ya shule ya 40k kwa mwaka) kusema Duni ataisoma namba wakati ana taaluma yake na pesa zake. Unaeisoma namba ni wewe ambaye tokea umemaliza chuo ni miaka mitatu huna kazi (halaf kwa upumbavu unashabikia hapa kazi tu). PUMBAVU SANA.
Unaeisoma namba ni wewe ambaye mtoto wako akiumwa mafua tu huwez kuafford dawa. Asilimia kubwa ya waliomchagua pombe ni ile 30% ya watanzania wanaoishi chini ya mstari wa umasikini (kipato cha siku kuwa chini ya dola za kimarekani 1.9.. sawa na sh 4000 hiv).
Hawa ndo wanaisoma namba, miaka 54 ya uhuru bado wanaishi gizani, bado hawawez kupata maji safi na salama...Halaf walivyo wapumbavu wanashabikia hapa kazi tu.. Kweli ni kazi..
Maana kushindia mlo mmoja kwa siku so mchezo, ni kazi kweli. Kumnywesha mwanao mwarobain kwa sabab huwez kumudu bei za madawa, so mchezo ni kazi haswa haswa.
Kama watanzania wenyewe ndo hawa ambao hawajitambui, WE HAVE A LONG WAY TO GO.
Labda nikuulize je kama lowassa jina lake lisingekatwa na ccm akapitishwa kuwania uraisi ungempigia Kura yako? Pelekeni unafiki huko.mnajifanya mna uchungu na nchi hii kumbe ni unafiki mtupu.nchi hii itakombolewa na wenye uzalendo wa kweli na uchungu bila kujali Chama .nahuyu si mwingine Bali ni john pombe Magufuli.
Kwa kiasi kikubwa kuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya akili na hali ya kiuchumi ya mtu/ watu.
Alaaniwe aliyekudanganya kua Ukawa ungeibadili Tanzania kua paradiso, tuko duniani, lazima kushindana na changamoto zake,