kibogo
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 9,739
- 4,746
Leo nimeamka na nimejiapiza mambo kadhaaUngekuwa unaijua hsitoria ya nchi ilivyokuwa miaka 20 iliyopita usingesema hayo hata huyo mnayemshabikia bado uwezo wake kuleta maendeleo ni ndoto kwakuwa ameshindwa jimboni mwake ni vipi angeweza kuisaidia Tanzania nzima unaongelea madawati baada ya shule kujengwa LAKINI HUKO NYUMA HATA HIZO SHULE HAZIKUWEPO WALIJUA HILO? SASA HIVI TUNAKWENDA MBELE HATUTAKI MAJUNGU YENU MWACHENI MAGUFULI AFANYE KAZI YAKE.
1.Sikopeshi mtu yeyote ninayemjua ni mwana-CCM, nami sitakopa kwa mwana-CCM maana anaweza kunipa mkosi bure.
2. Sitoi msaada wowotw kijijini kwetu maana kwa ahadi walizopewa diwani, mbunge na Rais wa CCM waliowachagua hawayahitaji msaada wangu
3.Nikiona masikini au fukara siwezi kusikitika kama zamani maana najua Bulldozer litawakomboa
4.Chochote nitakachofanya kuanzia sasa ni kwa maendeleo ya familia yangu..siyo kwa maendeleo ya nchi...Maana.tumepata jembe, sina haja ya kuhangaikia nchi..
5.Naiongeza TBC na Star TV kwenye list ya protected channels kwenye DSTV ili wanangu wasiziangalie wasije wakaugua uzezeta..
..........