Atakayeisoma namba ni yule mwenye kipato cha chini

Kwa kuwa wanaoichagua CCM ni watu wa vijijini ambao kwao hata maji tu ni shida, acheni waisome namba!
 
Yaah tuache ushabiki he's a gud leader by the way, let's pray 4 him. Mungu anakusudi lake kumpitisha kikubwa aache kuambatana na udhalimu na dhuluma kwa watu wake kama watawala waliopita
 
Acheni kutumia matatizo ya watanzania kama advantage ya kutimiza malengo yenu ya kifisadi.Kwani si ndo huyuhuyu lowassa ambae kwa miaka8 chadema wamekua wakimnadi majukwaani kama ni mwizi na fisadi mkubwa na mpaka wakaorodhesha jina lake kwenye orodha ya aibu(list of shame).lmekuje ndani ya miezi mitatu ageuke kua msafi na shujaa wa kuwaletea watanzania mabadiliko.? kwani si ndo huyuhuyu lowassa alipoibuka kutoka mafichoni na kuutaka uraisi kupitia chama hichohicho ambacho ww unakiona hakina uwezo wa kuwaletea watz maendeleo.jiulize km hasingekatwa maendeleo angeyafanya ndani ya chama kipi?.hacheni ku2mia matatizo ya watanzania ili kutimiza ulafi wenu wa madaraka, ufisadi wenu na kutaka kupewa nafasi ya kupiga dili.watanzania wameshtuka na ndomana wamewakataa.msiwafanye watz wajinga ni kheri ya nusu shari kuliko shari kamili.hatuwezi kuchezea kamari maisha yetu na mustakabali wa watoto wetu.lowassa hafai hata kwa majaribio
 
Jadili haja mkuu hatujaja kupeana mipasho aote tunajenga Taifa 1 weka uchama wako bench kwanza.
 
Miaka mitano sio mingi tutege macho na masikio yetu vizuri tuone viwanda vingapi vitafufuliwa na vingapi vitaanzishwa. Pia tutaona kila kijiji kikipata milioni 50 na mahakama ya mafisadi ikijengwa. Let's wait tym w'll tell.

Ndugu
Trust me watanzania wengi wana akili za nyumbu. Kumbukumbu ni sifuri. Nina uhakika kati ya ahadi za Magufuli, atakazotimiza hata 10% hazifiki. Lakini atachaguliwa tena. Na ataimbiwa sifa kede kede. Ndio watanzania hao. Majuha wengi mno.
 
Mbowe hawezi kuisoma namba. Ana biashara zake plus mshahara wa ubunge. Lowassa pia ana hela zake. Mbatia mhandisi pia mbunge. Tundu Lissu advocate. Ana hela zake. Kushangilia eti UKAWA watakoma ni ujinga.

Atakayeisoma namba ni yule ambaye akija hospita
li ukamwambia hela ya kumuona daktari ni 6000 anapanic anaanza kuwalaum madaktari. Anaeisoma namba ni yule mwenye kipato cha chini, bima ya afya hana, hata hela ya kumshonea mwanae uniform hana.

Anaeisoma namba ni yule ambaye hawez kuafford milo mitatu iliyo kamili kwa siku. Ni upuuzi kwa mtanzania wa manzese (asiyeweza kulipa ada ya shule ya 40k kwa mwaka) kusema Duni ataisoma namba wakati ana taaluma yake na pesa zake.

Unaeisoma namba ni wewe ambaye tokea umemaliza chuo ni miaka mitatu huna kazi (halaf kwa upumbavu unashabikia hapa kazi tu).

Unaeisoma namba ni wewe ambaye mtoto wako akiumwa mafua tu huwez kuafford dawa. Asilimia kubwa ya waliomchagua pombe ni ile 30% ya watanzania wanaoishi chini ya mstari wa umasikini (kipato cha siku kuwa chini ya dola za kimarekani 1.9.. sawa na sh 4000 hiv).

Hawa ndo wanaisoma namba, miaka 54 ya uhuru bado wanaishi gizani, bado hawawez kupata maji safi na salama... Halaf walivyo wanashabikia hapa kazi tu.. Kweli ni kazi..

Maana kushindia mlo mmoja kwa siku so mchezo, ni kazi kweli. Kumnywesha mwanao mwarobain kwa sabab huwez kumudu bei za madawa, so mchezo ni kazi haswa haswa

Kama watanzania wenyewe ndo hawa ambao hawajitambui, WE HAVE A LONG WAY TO GO.

Mkuu wacha kubwabwaja hovyo. Watu tumevuna mavitu kibao wakati wa kampeni kama vile 1000/, 5000/, 10,000/, kofia, matisheti, kanga, makofia, chumvi na bila kusahau ahadi thamu thamu rukiki.

Nyota njema imetufikia na mabadiliko ya kweri yanakusha sasha.
 
Mbowe hawezi kuisoma namba. Ana biashara zake plus mshahara wa ubunge. Lowassa pia ana hela zake. Mbatia mhandisi pia mbunge. Tundu Lissu advocate. Ana hela zake. Kushangilia eti UKAWA watakoma ni ujinga. Atakayeisoma namba ni yule ambaye akija hospitali ukamwambia hela ya kumuona daktari ni 6000 anapanic anaanza kuwalaum madaktari. Anaeisoma namba ni yule mwenye kipato cha chini, bima ya afya hana, hata hela ya kumshonea mwanae uniform hana. Anaeisoma namba ni yule ambaye hawez kuafford milo mitatu iliyo kamili kwa siku. Ni upuuzi kwa mtanzania wa manzese (asiyeweza kulipa ada ya shule ya 40k kwa mwaka) kusema Duni ataisoma namba wakati ana taaluma yake na pesa zake. Unaeisoma namba ni wewe ambaye tokea umemaliza chuo ni miaka mitatu huna kazi (halaf kwa upumbavu unashabikia hapa kazi tu). PUMBAVU SANA. Unaeisoma namba ni wewe ambaye mtoto wako akiumwa mafua tu huwez kuafford dawa. Asilimia kubwa ya waliomchagua pombe ni ile 30% ya watanzania wanaoishi chini ya mstari wa umasikini (kipato cha siku kuwa chini ya dola za kimarekani 1.9.. sawa na sh 4000 hiv). Hawa ndo wanaisoma namba, miaka 54 ya uhuru bado wanaishi gizani, bado hawawez kupata maji safi na salama... Halaf walivyo wapumbavu wanashabikia hapa kazi tu.. Kweli ni kazi.. Maana kushindia mlo mmoja kwa siku so mchezo, ni kazi kweli. Kumnywesha mwanao mwarobain kwa sabab huwez kumudu bei za madawa, so mchezo ni kazi haswa haswa.
Kama watanzania wenyewe ndo hawa ambao hawajitambui, WE HAVE A LONG WAY TO GO.
Edwin,
Mwananchi wa kawaida
C&P
I rest my case
 
Inadhihirisha jinsi gani una akili ya kuambiwa na kufikiriwa na ukawa,tatizo wana ukawa hamna msimamo Bali unafiki tu.
 
Nyoko nyoko hospital hakuna dawa,kapewe CCM sasa,mara ooh bro nitafutie kazi huko,staki upuuzi
 
Hahahahahahaha usiwasahau wazee wa buku 7000 nao ajira yao ishakwisha sasa.
 
Mm pia sitaisoma namba, nina elim ya chuo kikuu alaf ni mtafutaji nisiyechoka na pia naamini milango ya mafanikio itafunguka sababu najituma kwa bidii ktk kufanya biashara zangu.
 
Acheni kutumia matatizo ya watanzania kama advantage ya kutimiza malengo yenu ya kifisadi.Kwani si ndo huyuhuyu lowassa ambae kwa miaka8 chadema wamekua wakimnadi majukwaani kama ni mwizi na fisadi mkubwa na mpaka wakaorodhesha jina lake kwenye orodha ya aibu(list of shame).lmekuje ndani ya miezi mitatu ageuke kua msafi na shujaa wa kuwaletea watanzania mabadiliko.? kwani si ndo huyuhuyu lowassa alipoibuka kutoka mafichoni na kuutaka uraisi kupitia chama hichohicho ambacho ww unakiona hakina uwezo wa kuwaletea watz maendeleo.jiulize km hasingekatwa maendeleo angeyafanya ndani ya chama kipi?.hacheni ku2mia matatizo ya watanzania ili kutimiza ulafi wenu wa madaraka, ufisadi wenu na kutaka kupewa nafasi ya kupiga dili.watanzania wameshtuka na ndomana wamewakataa.msiwafanye watz wajinga ni kheri ya nusu shari kuliko shari kamili.hatuwezi kuchezea kamari maisha yetu na mustakabali wa watoto wetu.lowassa hafai hata kwa majaribio

pokea like kubwa toka kwangu, wengine kwakuwa hawajitabu watakutukana
 
Mbowe hawezi kuisoma namba. Ana biashara zake plus mshahara wa ubunge. Lowassa pia ana hela zake. Mbatia mhandisi pia mbunge. Tundu Lissu advocate. Ana hela zake. Kushangilia eti UKAWA watakoma ni ujinga.

Atakayeisoma namba ni yule ambaye akija hospita
li ukamwambia hela ya kumuona daktari ni 6000 anapanic anaanza kuwalaum madaktari. Anaeisoma namba ni yule mwenye kipato cha chini, bima ya afya hana, hata hela ya kumshonea mwanae uniform hana.

Anaeisoma namba ni yule ambaye hawez kuafford milo mitatu iliyo kamili kwa siku. Ni upuuzi kwa mtanzania wa manzese (asiyeweza kulipa ada ya shule ya 40k kwa mwaka) kusema Duni ataisoma namba wakati ana taaluma yake na pesa zake.

Unaeisoma namba ni wewe ambaye tokea umemaliza chuo ni miaka mitatu huna kazi (halaf kwa upumbavu unashabikia hapa kazi tu).

Unaeisoma namba ni wewe ambaye mtoto wako akiumwa mafua tu huwez kuafford dawa. Asilimia kubwa ya waliomchagua pombe ni ile 30% ya watanzania wanaoishi chini ya mstari wa umasikini (kipato cha siku kuwa chini ya dola za kimarekani 1.9.. sawa na sh 4000 hiv).

Hawa ndo wanaisoma namba, miaka 54 ya uhuru bado wanaishi gizani, bado hawawez kupata maji safi na salama... Halaf walivyo wanashabikia hapa kazi tu.. Kweli ni kazi..

Maana kushindia mlo mmoja kwa siku so mchezo, ni kazi kweli. Kumnywesha mwanao mwarobain kwa sabab huwez kumudu bei za madawa, so mchezo ni kazi haswa haswa.

Kama watanzania wenyewe ndo hawa ambao hawajitambui, WE HAVE A LONG WAY TO GO.

Mwingine wa kuisoma namba ni yule anaefia nyumbani kama kibudu kwani hawezi ku afford kwenda kutibiwa hospitali za ccm India.
 
Acheni kutumia matatizo ya watanzania kama advantage ya kutimiza malengo yenu ya kifisadi.Kwani si ndo huyuhuyu lowassa ambae kwa miaka8 chadema wamekua wakimnadi majukwaani kama ni mwizi na fisadi mkubwa na mpaka wakaorodhesha jina lake kwenye orodha ya aibu(list of shame).lmekuje ndani ya miezi mitatu ageuke kua msafi na shujaa wa kuwaletea watanzania mabadiliko.? kwani si ndo huyuhuyu lowassa alipoibuka kutoka mafichoni na kuutaka uraisi kupitia chama hichohicho ambacho ww unakiona hakina uwezo wa kuwaletea watz maendeleo.jiulize km hasingekatwa maendeleo angeyafanya ndani ya chama kipi?.hacheni ku2mia matatizo ya watanzania ili kutimiza ulafi wenu wa madaraka, ufisadi wenu na kutaka kupewa nafasi ya kupiga dili.watanzania wameshtuka na ndomana wamewakataa.msiwafanye watz wajinga ni kheri ya nusu shari kuliko shari kamili.hatuwezi kuchezea kamari maisha yetu na mustakabali wa watoto wetu.lowassa hafai hata kwa majaribio

Wanaopora ushindi wa wengine kwa nguvu ndio patriots?wanaoiba na kuwatukana watanzania ndio wanaofaa?......tusubiri tuone hayo watakayofanya.uwanja tuwaachie watimize ahadi zao ili tuwe na uhalali wa kunyosha au kutokunyosha vidole. Kumbuka wanasema ccm ni ile ile.....ile ile ya magamba kung'ang'ania kiunoni,mabilioni kuonekana ni vijisenti,na mamilioni ya umma kutumika kununulia mchicha kwa ajili ya mlo wa familia!
 
TANGAZO: Ni marufuku kwa kijana yeyote kuachia seat kwa mzee yeyote ndani ya dalada au badi eti iliakae kwakuwa zimejaa halafu wewe kijana unaamua kusimama; nayeye asimame tu ili ajionee mwenyewe ubaya wa ccm yake ambayo amekuwa akijinasibu kuwa ni chama chake; hawa ndo wanasababisha mfumo mbovu ulioifikisha hapa tz; utashangaa watoto wake mwnyewe hawajamaliza hata kidacho cha pili, pakulala na chakula ni shiiiddaaa, ukimuuliza anakujibu maisha magumu; ukimwambia maisha magumu kwasababu ya mfomo wa serikali ya ccm inayouza maliasili zetu kwa bei ya bure kwa wachina; bibi au babu anang'aka na kujipiga kifua kuwa eti yeye ni kada tangu TANU hadi ccm; ni upuuzi na ukosefu wa elimu; kwahiyo hakuna kupisha seat eti bibi au babu akae ni wewe usimame..
 
Mkuu wacha kubwabwaja hovyo. Watu tumevuna mavitu kibao wakati wa kampeni kama vile 1000/, 5000/, 10,000/, kofia, matisheti, kanga, makofia, chumvi na bila kusahau ahadi thamu thamu rukiki.

Nota njema imetufikia na mabadiliko ya keri yanakusha sasha. HapaKaziTu.
 
Back
Top Bottom