Kile kikao kilichopindisha utaratibu wa chama kumbe ni "Yuda" alijipanga, akashtukiwa na kupewa cha namba 2 ili kummaliza kabisa

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
12,396
Reaction score
39,441
Mambo si mambo.

Kumbe "Yuda" alitaka kabisa bibi asiendelee na kile cheo baada ya 2025. Alijipanga kunyakua akashtukiwa ndipo bibi akapindisha mambo na taratibu za lile lichama ili kummaliza. Na yalijulikana ndani ya lile lichama ndipo team yake ikapanga waende tofauti kwa siri.

Mbaya zaidi ili kumaliza mission hiyo akampa cheo namba mbili ila mwamba-yuda kumbe hajaelewa. Bibi alidhani mwamba-yuda ataridhika
Lakini wapi. Mwamba-yuda bado anakitaka cheo.

Huko ndani kumechafuka inaonekana mawindo ni namba tatu wa Tanganyika anataka 2030 lazima awe yeye. Sasa yuda akiharibu mambo kwa sasa basi hata huyo namba tatu mpango wake utakuwa umeisha maana anautamani sana 2030. Hataki kusikia kingine. Yuda akifanikisha mission yake ngoma ni mpaka 2035 hukooo...Hapo ndo namba tatu wa Tanganyika anapozidi kuchafukwa.

Yeye yuda mambo ya kufika 2030 hataki kuyasikia na hayupo tayari. Anaweka shinikizo chini chini ili mpango wake uende vizuri.

Tutakuwepo kushuhudia mpasuko wa hilo lichama ambao naamini kwa asilimia 100 utatimia awamu hii. Hii haramu inaenda kujimaliza yenyewe.

Na Yuda anafurahi sana yale mambo ya ishirini na tisa maana ni kama yanamfanya ahalalishe mission yake.
 
1000012079.jpg
 
The veracity of this claim is close to zero, if not zero. Fazafaka wa Kizimkazi ni mtu wa visasi sana; Nchimbi angekuwa amefanya hayo lazima angefurushwa. We all know what happened to anyone who tried to throw a wrench in her 2025 plans. Remember Speaker Ndugai? Remember Luhaga Mpina? Remember Humphrey Polepole?
 
Hawa wanaoleta mada za kufikirika hapa ni kama hawamjui Samia.

Samia is ruthless when it comes to her crooked business.

Mtu anayediriki kumuua Mzee Ally Kibao kwa namna ile iliyofanyika kwa sababu za kipuuzi kama zile, bado unampa hadhi ya kujuwa kupangamambo kwa kutumia akili?
 
Tuache kujadili vita za urais ccm. Nimeona lema anamkaribisha nchimbi chadema this is insane. Na nimeshangaa watu kibao kujifanya team Nchimbi as if siyo CCM yule!!

Tunakosa focus kabisa na mambo yetu tunaanza kuwabrand CCM duh
 
Chadema shida yenu ndio hiyo ni wepesi sana kuwachukua watu walioshindwa ccm na kuwaleta kwenu mkiamini kwamba watawaletea mabadiliko kumbe ndio mnazidi kujikaanga ,

Mtu anaye husika kwenye kufisadi Nchi na raia anawezaje kuwa mwema !?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom