huu ni ukweli ingawa ni wachache sana wanaoelewa mtazamo wako.Anaeisoma namba ni yule mwenye kipato cha chini, bima ya afya hana, hata hela ya kumshonea mwanae uniform hana. Anaeisoma namba ni yule ambaye hawez kuafford milo mitatu iliyo kamili kwa siku. Ni upuuzi kwa mtanzania wa manzese (asiyeweza kulipa ada ya shule ya 40k kwa mwaka) kusema Duni ataisoma namba wakati ana taaluma yake na pesa zake. Unaeisoma namba ni wewe ambaye tokea umemaliza chuo ni miaka mitatu huna kazi (halaf kwa upumbavu unashabikia hapa kazi tu). .
Ukawa wana wabunge takriban sitini hapo hujaongeza vt maalumMimi nilimpa lowasa kura yangu na nishabiki wa chadema sana tu.ila swali nililojiuliza nikua hivi lowasa angeshinda uraisi kweli angeendesha inchi huku chadema wana viti vya ubunge 34.hiliswali limekua gumu sana. But ukweli nikua tumerudi nyuma hatuna moja kwa kuchagua mafisiem
Mbowe hawezi kuisoma namba. Ana biashara zake plus mshahara wa ubunge. Lowassa pia ana hela zake. Mbatia mhandisi pia mbunge. Tundu Lissu advocate. Ana hela zake. Kushangilia eti UKAWA watakoma ni ujinga. Atakayeisoma namba ni yule ambaye akija hospitali ukamwambia hela ya kumuona daktari ni 6000 anapanic anaanza kuwalaum madaktari.
Anaeisoma namba ni yule mwenye kipato cha chini, bima ya afya hana, hata hela ya kumshonea mwanae uniform hana. Anaeisoma namba ni yule ambaye hawez kuafford milo mitatu iliyo kamili kwa siku. Ni upuuzi kwa mtanzania wa manzese (asiyeweza kulipa ada ya shule ya 40k kwa mwaka) kusema Duni ataisoma namba wakati ana taaluma yake na pesa zake. Unaeisoma namba ni wewe ambaye tokea umemaliza chuo ni miaka mitatu huna kazi (halaf kwa upumbavu unashabikia hapa kazi tu). PUMBAVU SANA.
Unaeisoma namba ni wewe ambaye mtoto wako akiumwa mafua tu huwez kuafford dawa. Asilimia kubwa ya waliomchagua pombe ni ile 30% ya watanzania wanaoishi chini ya mstari wa umasikini (kipato cha siku kuwa chini ya dola za kimarekani 1.9.. sawa na sh 4000 hiv).
Hawa ndo wanaisoma namba, miaka 54 ya uhuru bado wanaishi gizani, bado hawawez kupata maji safi na salama...Halaf walivyo wapumbavu wanashabikia hapa kazi tu.. Kweli ni kazi..
Maana kushindia mlo mmoja kwa siku so mchezo, ni kazi kweli. Kumnywesha mwanao mwarobain kwa sabab huwez kumudu bei za madawa, so mchezo ni kazi haswa haswa.
Kama watanzania wenyewe ndo hawa ambao hawajitambui, WE HAVE A LONG WAY TO GO.
?-???• kazi ipo kulikomboa Taifa hili!
nakwakweli kwasasa kila mtu naubebe mzigo wake mwenyewe!!! hakuna cha aah mjomba unajua nina shida ya ada mara aah unajua mdogo wangu ninaomba msaada wa kaela nikalipie matibabu ya ndugu yako au mtoto wa kaka yako!!!!
hapo from now on nikila mtu na mzigo wake!!!
watz tumeishi kwa kusaidiana mda mrefu sana nadhani ndiyo maana hata akili hatuna; mtu unasombwa na milory ka'msukule afu unakubali; mtu unapewa wali nyama unaokula leo kesho unakunya wote afu unampa mgombea kura!!
what a curse to this national!!! very very bad!!!!
enyi ccm msikubali kamwe kuichukua katiba ya warioba maana hata yeye mwenyewe na jopo lake hawajielewi!!!
Working for today's feeding without thinking of two hundred years generations is a curse to our country TZ!!!
watz ni watu wabinafsi sana sijawahi ona!!! aminini nawaambia kama kizazi hiki cha watz ndicho kingelikuwepo enzi za wakoloni hakika hakuna mtz angeliweza kupigania kuwaondoa wakoloni madarakani!! hii ni kwasababu watz wasas ni watu wabinafsi kuliko kawaida!!
never ever seen anywhere in this world!!
Mpumbavu ni wewe huwezi kututukana tukakuacha na kukaa
kimya wewe na mpumbavu mwenzio mgombea aliyeshindwa kabla ya kuanza ni wajinga na wapumbavu mliopindukia tuliwaambia EL hana sifa za kuwa rais mkakataa kwa upumbavu wenu hivi katika watanzania milioni 48 tulikosa mtu mwadilifu na mwenye afya njema mpaka tupeleke mtu dhaif wa kubeba na kukokota na mwizi kama EL jamii ya kimataifa ingetuelewaje watanzania ni wazi kabisa EL ni mgonjwa na hawezi kufanya kazi za urais na bado ni mwizi bado unalazimisha awe Rais pole sana eti bado analazimisha kaibiwa kura mbona alisema kura za urais atazilinda mwenyewe sasa mbona analalamika tena au ule mzizi ume expire kwa Magufuli? Chezea Msukuma wewe.
Lakini hata bila ya kuwa Msukuma Magufuli ni CHAGUO LA MUNGU na ndiyo maana amekuwa Rais na kumbukeni kuwa Mtu hupata ajaliwacho na mwenyezi Mungu na siyo kile atakacho. Edward hakujaliwa kuwa rais na ndiyo maana kila anapojaribu hafanikiwi toka 1995 ni bora aachane na hadithi ya Urais imegoma atafute deal jingine.
Ndio matatizo yale yale, huwezi kumsoma mtu ukamwelewa kabla ya kuandika. Mleta mada hajasema kumchagua Lowassa bali kazungumzia kuirudisha CCM madarakani. Wewe kwa akili yako unaweza kusema kumrudisha Lusinde Bungeni ni kuitakia kheri nchi? Au Kessy wa mizaha ni sahihi kwa ulimwengu wa sasa uliojaa challanges mbalimbali?
Ok fine, ungeweza kumkataa Lowassa na kumkubali Magufuli lakini kwa kumpa watu walewale wa ndioooo unadhani unamsaidia huyo Magufuli kuweza kutimiza azima yake ya yale aliyo ahidi? Ni kujidanganya kudhani kuwa Magufuli na ccm ileile anaweza kufanya lolote la maana zaidi ya kufanya mambo yawe magumu zaidi.
Mie nakubaliana na mtoa hoja kuwa asilimia kubwa ya Watanzania ndio waisoma namba. Wataendelea kulala mzungu wa nne wakijifungua, watoto wao watakalia matofali shuleni, watoto wao waliojaliwa vipaji watashindwa kusoma elimu ya juu kutokana na umasikini wao na wale waliohitimu watabakia majumbani kwa kukosa ajira kwa vile hawajazaliwa katika familia zilizotukuka na kuishia KUISOMA NAMABA.