Atakayeisoma namba ni yule mwenye kipato cha chini

Atakayeisoma namba ni yule mwenye kipato cha chini

Mnapanga kufanya uasi wa kimya-kimya sio? Huyu sio Kikwete mliomfanyia hivyo. Mkifanya uasi wa makusudi kwa lengo la kuwakomoa wananchi, mtaona kitakachotokea, CMM ilijipanga na sasa magufuli amejipanga. Jaribuni muone.

Hahaha unamtisha nan?? Ccm walishajipanga siku nyingi kuiba kura na wameshafanikiwa! Na hata hivyo wameshajua kuwa wanaich wamewachoka wanabaki wanafiki mioyoni mwao. Kikwete ametumia mabavu ya kiti chake kwani alishaona chama chake kimemvunjikia mkononi mwake. Hata wewe pia ni mnafiki
 
Yaani waliokuwa wanamshangilia magufuli ni wale choka mbaya na wanywa gongo ambao wengine hata ndala wanavaa rangi tofauti
 
Mbowe hawezi kuisoma namba. Ana biashara zake plus mshahara wa ubunge. Lowassa pia ana hela zake. Mbatia mhandisi pia mbunge. Tundu Lissu advocate. Ana hela zake. Kushangilia eti UKAWA watakoma ni ujinga. Atakayeisoma namba ni yule ambaye akija hospitali ukamwambia hela ya kumuona daktari ni 6000 anapanic anaanza kuwalaum madaktari.

Anaeisoma namba ni yule mwenye kipato cha chini, bima ya afya hana, hata hela ya kumshonea mwanae uniform hana. Anaeisoma namba ni yule ambaye hawez kuafford milo mitatu iliyo kamili kwa siku. Ni upuuzi kwa mtanzania wa manzese (asiyeweza kulipa ada ya shule ya 40k kwa mwaka) kusema Duni ataisoma namba wakati ana taaluma yake na pesa zake. Unaeisoma namba ni wewe ambaye tokea umemaliza chuo ni miaka mitatu huna kazi (halaf kwa upumbavu unashabikia hapa kazi tu). PUMBAVU SANA.

Unaeisoma namba ni wewe ambaye mtoto wako akiumwa mafua tu huwez kuafford dawa. Asilimia kubwa ya waliomchagua pombe ni ile 30% ya watanzania wanaoishi chini ya mstari wa umasikini (kipato cha siku kuwa chini ya dola za kimarekani 1.9.. sawa na sh 4000 hiv).

Hawa ndo wanaisoma namba, miaka 54 ya uhuru bado wanaishi gizani, bado hawawez kupata maji safi na salama...Halaf walivyo wapumbavu wanashabikia hapa kazi tu.. Kweli ni kazi..

Maana kushindia mlo mmoja kwa siku so mchezo, ni kazi kweli. Kumnywesha mwanao mwarobain kwa sabab huwez kumudu bei za madawa, so mchezo ni kazi haswa haswa.

Kama watanzania wenyewe ndo hawa ambao hawajitambui, WE HAVE A LONG WAY TO GO.
Kuna mmoja kwenye tv nilimwona kavaa shati lililopasuka makwapani akishangilia kwa kupiga pushup!!!!
Naona aibu kuitwa mtanzania.
 
nachelea kusema neno lolote hapo for i know tuliotaka mabadiliko tulipiga kura zenye kutosha sanaaa,,,,,kilichotokea sijui,,,,,lkn atabaki kuwa rais wa hisia zangu
 
Kweeeeeeli mkuuuuu kwan watanzaniaaaa hawajielewi sis tulitaka kubadili mfumo kandamiz wawo wameuleta na walivotumiaaa pesa nying Bas mwaka huu kwenye kampen lazima tuisome no
 
Mbowe hawezi kuisoma namba. Ana biashara zake plus mshahara wa ubunge. Lowassa pia ana hela zake. Mbatia mhandisi pia mbunge. Tundu Lissu advocate. Ana hela zake. Kushangilia eti UKAWA watakoma ni ujinga. Atakayeisoma namba ni yule ambaye akija hospitali ukamwambia hela ya kumuona daktari ni 6000 anapanic anaanza kuwalaum madaktari.

Anaeisoma namba ni yule mwenye kipato cha chini, bima ya afya hana, hata hela ya kumshonea mwanae uniform hana. Anaeisoma namba ni yule ambaye hawez kuafford milo mitatu iliyo kamili kwa siku. Ni upuuzi kwa mtanzania wa manzese (asiyeweza kulipa ada ya shule ya 40k kwa mwaka) kusema Duni ataisoma namba wakati ana taaluma yake na pesa zake. Unaeisoma namba ni wewe ambaye tokea umemaliza chuo ni miaka mitatu huna kazi (halaf kwa upumbavu unashabikia hapa kazi tu). PUMBAVU SANA.

Unaeisoma namba ni wewe ambaye mtoto wako akiumwa mafua tu huwez kuafford dawa. Asilimia kubwa ya waliomchagua pombe ni ile 30% ya watanzania wanaoishi chini ya mstari wa umasikini (kipato cha siku kuwa chini ya dola za kimarekani 1.9.. sawa na sh 4000 hiv).

Hawa ndo wanaisoma namba, miaka 54 ya uhuru bado wanaishi gizani, bado hawawez kupata maji safi na salama...Halaf walivyo wapumbavu wanashabikia hapa kazi tu.. Kweli ni kazi..

Maana kushindia mlo mmoja kwa siku so mchezo, ni kazi kweli. Kumnywesha mwanao mwarobain kwa sabab huwez kumudu bei za madawa, so mchezo ni kazi haswa haswa.

Kama watanzania wenyewe ndo hawa ambao hawajitambui, WE HAVE A LONG WAY TO GO.

Kwel we will determine to get freedom but no
 
nakwambia kwa ujinga wao hao wtz kwasasa mm sitamsaidia yyt kwa kigezo cha utz lbda ndugu yng tu nawachukia sana
 
Uasi gani tena..?
huu uzi ni ukweli mtupu.Tuna akina Manji na million zao 700 kule Dodoma.
Ila ukweli unauma.
Malecela,Zambi,Wassira na vigogo wengne ni zamu yao kuisoma namba !
 
mji niliyo tembelea na nikafurahi ni moshi-kilimanjaro wao wamejitambua toka1995ccm haijanusa tena.walianza kuchagua wabunge wa upinzani hawakuona manufaa mwanzoni wakaelimishwa toa mbunge na madiwane tukamate halimashauri sasa wameonja asali mpaka serilikali za mitaa ni upinzani,sasa nawambia na hii miaka mitano wataweka gap kubwa na halimashauri zingine,maji wanaoga ya kumwaga hospital kila kona,shule usiseme rami mitaani ya kumwaga,hivi kweli wataisoma number hawa?
 
Ni kweli mtupu. Waliokua wanashangilia jana barabani ndio Malofa orijino.
Geita jana Wananchi wamekesha wakishangilia ushindi . Geita ni moja ya Mji unatoa dhahabu kwa wingi Duniani lakini ukufika Geita Mjini hutoamini macho yako. ni mavumbi tu na mabanda yamejaa.

Ulichokiongea ni 100% ukweli.
 
Mbowe hawezi kuisoma namba. Ana biashara zake plus mshahara wa ubunge. Lowassa pia ana hela zake. Mbatia mhandisi pia mbunge. Tundu Lissu advocate. Ana hela zake. Kushangilia eti UKAWA watakoma ni ujinga.

Atakayeisoma namba ni yule ambaye akija hospitali ukamwambia hela ya kumuona daktari ni 6000 anapanic anaanza kuwalaum madaktari.

Anaeisoma namba ni yule mwenye kipato cha chini, bima ya afya hana, hata hela ya kumshonea mwanae uniform hana. Anaeisoma namba ni yule ambaye hawez kuafford milo mitatu iliyo kamili kwa siku. Ni upuuzi kwa mtanzania wa Manzese (asiyeweza kulipa ada ya shule ya 40k kwa mwaka) kusema Duni ataisoma namba wakati ana taaluma yake na pesa zake.

Unaeisoma namba ni wewe ambaye tokea umemaliza chuo ni miaka mitatu huna kazi (halaf kwa upumbavu unashabikia hapa kazi tu). PUMBAVU SANA.

Unaeisoma namba ni wewe ambaye mtoto wako akiumwa mafua tu huwez kuafford dawa. Asilimia kubwa ya waliomchagua Pombe ni ile 30% ya watanzania wanaoishi chini ya mstari wa umasikini (kipato cha siku kuwa chini ya dola za kimarekani 1.9.. sawa na sh 4000 hiv). Hawa ndo wanaisoma namba, miaka 54 ya uhuru bado wanaishi gizani, bado hawawez kupata maji safi na salama... Halaf walivyo wapumbavu wanashabikia Hapa kazi tu.. Kweli ni kazi..

Maana kushindia mlo mmoja kwa siku si mchezo, ni kazi kweli. Kumnywesha mwanao mwarobain kwa sabab huwez kumudu bei za madawa, so mchezo ni kazi haswa haswa.

Kama watanzania wenyewe ndo hawa ambao hawajitambui, WE HAVE A LONG WAY TO GO!
 
Haisaidii kitu kwa sasa Magufuli ndiye rais,tusubiri 2025 atoke mtu mwingine CCM asaidie upinzani
 
Nampenda JPM kwa kuchaguliwa kwake lakni kitendo cha wananchi kutowachaagua wabunge kama Kafulila Na V.Nyerere au Mkosamali pia akina Wenje waache waisome namba
 
yani nimecheka hadi machozi. kusema ukweli hamna kuoneana huruma hospitali bila pesa hakuna matibabu tena madaktari wakaze kweli kweli. walimu na wenyewe wakaze kweli kweli. polisi wapige pesa kwenda mbele bandarini na TRA vivo hivyo. nina uhakika watu wa mjini wata survive ila huko bush tutegemee vifo tu
Mimi huwa nawashangaa sana watanzania, miaka kama miwili nyuma kuelekea uchaguzi mkuu watanzania walio wengi walikuwa wameonyesha kuuchoka kabisa utawala wa CCM, walilalamikia hali ngumu ya maisha kama huduma mbovu za afya, elimu, shida ya maji mijini na vijijini, kukithiri kwa rushwa na ufisadi. Hawakuona maisha bora waliyoahidiwa na JK. Wengi wa hao ni wale wanaoishi chini ya kipato cha dola moja kwa siku. Lakini ulipofika wakati wa uchaguzi, hao hao wamekirudisha madarakani chama cha Mapinduzi wakitegemea maisha yao yataboreshwa na John Pombe Magufuli.

Wanachosahau au kutokijua watu hao ni kuwa watanzania sasa hivi tunapambana na mfumo wa utawala, Sioni ni muujiza gani Magufuli atakaoufanya kwa mfano kupambana na ufisadi, kwa kuwa yeye mwenyewe kawekwa madarakani na mafisadi ambao wanahitaji ulinzi wake kama rais kuwalinda. Ndani ya chama chenyewe Katibu mkuu wa chama ni mtuhumiwa namba moja wa ujangiri na utoshaji wa nyara za taifa. Katika mazingira kama haya Magufuli ataubadili vipi mfumo ili ugeuke kumkwamua mwananchi wa kawaida anayeishi kwa mlo mmja wa siku?
 
Back
Top Bottom