At Mlimani City...!!!

weka picha basi na sisi tuone...
Umepasifia sana mkuu

Mkuu hapo ndio Westgate ya bongo, hivyo tokea Kenya watekwe wabongo wameongeza ulinzi japo sio sana...hivyo angalia unaweza kunyang'anywa kimeo chako na walinzi wenye njaa wakihisi umetumwa na all shababi.
 
Kweli kabisa mkuu pale lazima mtu ujipange. Mi nimewatamani wale kuku pale nje sijui Merry Brown ila nilivyoona kikaratasi chenye bei kwa mbali ikabidi nizuge kama naenda kujiandikisha Kilimanjaro marathon getini!
 
donlucchese next time unchukue mdogo wako na mie nkajionee.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
jamani kumbe dar kuna raha how i wish cku moja nitoke huku nyanchenche nije huko kusafisha macho
 
jamani kumbe dar kuna raha how i wish cku moja nitoke huku nyanchenche nije huko kusafisha macho

We acha mkuu, kwanza humo ukiingia tu hali ya hewa kama ulaya vile! Baasi na wabongowa humo ndani wamevaa kiulaya ulaya tu, nimeshangaa kuona vest inauzwa elf 25
 
We acha mkuu, kwanza humo ukiingia tu hali ya hewa kama ulaya vile! Baasi na wabongowa humo ndani wamevaa kiulaya ulaya tu, nimeshangaa kuona vest inauzwa elf 25

aiseee ngoja nitengeneze kibubu nianze kujichanga nije huko kwa kweli
 
Daah wakuu nimekuja tena leo hapa. Hivi naomba kuuliza, hawa wadada wa promos sijui nokia na samsung what's the deal with them? Hivo vimini vyao utahtah af mixer wamjeaaliwa haswaa. Kweli mlimani ni hatari kwa afya yangu!
 
mkuu naona taratiiibu mlimani city pameanza kukunogea......
 
Ha ha Ha unaangalia tv tu hapo samsung, mie nimepita hapo dakika chache wadada wamejipanga foleni za bank basi rahaaa sana
 
Ha ha Ha unaangalia tv tu hapo samsung, mie nimepita hapo dakika chache wadada wamejipanga foleni za bank basi rahaaa sana

Aisee umeona eeeh mkuu? Yaan iyo kona nimenyuti kama dk.40 hivi!
 
Hapo kila mmoja ni the the the tupu.
Angalia usije ukajing'ata.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…