Askofu Methodius Kilaini naye alimegewa 80m za mbia wa IPTL

ndugu wana jf, nimesikitika sana kuona baba askofu wa jimbo la bukoba kahusika wa wizi wa pesa za escrow,
sisi waamini katika kainisa hili tutakuwa nawe katika kipindi hiki kigumu, kwa kuwa hatutazami zambi zako bali twatazama imani ya kanisa lako, ila tumeumia sana sana

ulifikiri angejuaje hizo hela zimetoka wapi? sadaka ni sadaka, anayejua ni mtoaji na mungu wake. hata tibaijuka alijitetea hakujua kama yangetokea haya! https://twitter.com/annatibaijuka
 
Hivi kaiba au kapewa kwenye mradi wa ujenzi wa shule? Make watanzania kwa majungu hamjambo.

Hivi fedha iliyokatwa kodi TRA na Waziri mkuu akaithibitisha Bungeni kuwa sio fedha ya umma bali ni ya wabia, wewe raia wa kawaida usiyekuwa na information za uhakika serikalini kama ilivyo kwa Kilaini unatolea wapi ujasiri wa kuhoji chanzo cha fedha hiyo? Hiyo pesa unaanzia wapi kuitilia wasiwasi kama sio safi??? Acheni tabia ya kupenda kuandika-andika ujinga msioujua hata mtiririko wa chanzo chake ni kipi.

Me nadhani tusione ni sifa kila wakati kuletaleta vi mada vya kijingajinga hapa jf kisa umekosa kazi za kufanya huko majumbani... unaweza ukaamua kupumzika tu hata uani.

sawa "mshakaji wake" na werema tumekusikia.
 
Subiri dawa ianze kufanya kazi,it is too late by now you Lumumba buku7 FC

Hebu peleka maujinga yako huko we 'cowdung' huu sio muda wa kujipendekeza tena...ukikaa kimya utakufa? Kwanini unaudhi watu sasa
 
Hivi kaiba au kapewa kwenye mradi wa ujenzi wa shule? Make watanzania kwa majungu hamjambo.

Hivi fedha iliyokatwa kodi TRA na Waziri mkuu akaithibitisha Bungeni kuwa sio fedha ya umma bali ni ya wabia, wewe raia wa kawaida usiyekuwa na information za uhakika serikalini kama ilivyo kwa Kilaini unatolea wapi ujasiri wa kuhoji chanzo cha fedha hiyo? Hiyo pesa unaanzia wapi kuitilia wasiwasi kama sio safi??? Acheni tabia ya kupenda kuandika-andika ujinga msioujua hata mtiririko wa chanzo chake ni kipi.

Me nadhani tusione ni sifa kila wakati kuletaleta vi mada vya kijingajinga hapa jf kisa umekosa kazi za kufanya huko majumbani... unaweza ukaamua kupumzika tu hata uani.
Jana umesikia jibu la waziri mkuu kuhusu hizo hela ni za nani au unaropoka tu. Na bado hii ni honi gari hujliona. Fedha ni za serikali
 
Kwa masikitiko makubwa ninayo huzuni kuandika hapa kuwa Mmojawapo wa waliomegewa pesa za mbia wa IPTL ni askofu msaidizi wa jimbo la Bukoba mhashamu Askofu Kilaini. Yeye alimegewa pesa hizo kutoka akaunti ya Rugemalira iliyoko kwenye Benk ya Ukombozi.

Kwa mujibu wa statement ya mbia huyo wengine ni akina Anna Tibaijuka kama ilivyokwisha kuandikwa awali.
Bila shaka mtaniuliza chanzo au source, source ni kuwa huu ni ukweli mtupu, siandiki kwa chuki za kidini kwa kuwa mimi pia ni mkatoliki, bali nimeandika hapa kwa kuwa Baba askofu ni mtu wa Mungu ajitokeze akanushe kama anaweza, au atueleze nia na madhumuni ya kupewa pesa hizo ili tumwelewe, kwa vyovyote vile simwelewi.

Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni.
 
Kila mtu atabeba msalaba wake!! siku si nyingi utasikia vitu vya Cardinal Pengo!! tega masikio.
 
Duh basi inatosha sasa! Ila inawezekana ilikuwa pesa ya issue nyingine kumbe ndio Mtumishi anaingizwa kwenye mtego bila kujijua

Labda pesa iwe imetoka kwa Roho Mtakatifu
 
Hii haihitaji tochi ili kumulika na hatimaye kung'amua ukweli. Maaskofu wa kikatoliki ndio watawala wa nchi hii kupitia mlango wa nyuma. Hivyo Ruge alikuwa anajua kabisa kuwa iwapo nitakamata hawa maaskofu issue hii itapoa nakuwa baridi kabisaa. Amin amin Bank ya Mkombozi inapaswa kupigwa faini kwa mujibu wa sheria za utakatishaji fedha lakini imechukuliwa hatua gani? Mbona accounts za VIP kule Dutchland zimekuwa frozen?
Kilaini ni mtu muhimu ktk Kanisa ndio maana yupo kwenye mgawoo tueleze kitu kingine lakini hii iko wazi

Sio hilo tu mkuu
Kuna swala la transaction kutoka bot kwenda mkombozi bank jiulize kwanin Sio CRDB.. NMB..
NBC ni lazima wangehitaji maelezo ya ziada kuweza kukuruhusu kufanya hivo
 
Kwakuwa na mimi ni Mkatoliki, naomba ni seme hivi, Kama Askofu Kilaini alipewa hiyo pesa kwenye a/c yake binafsi basi na yeye aunganishwe kati ya watuhumiwa yeye kama yeye, lakini kama ziliwekwa kwenye a/c ya jimbo hilo ni jambo lingine. Lakini ukweli unabaki palepale na viongozi wetu wa dini ni binadamu tusijenge imani saana kwao. Ni kama tunavyoiona leo BAKWATA ilivyojishikamanisha na CCM, sasa hatuwezi kusema masheikh na waislamu wote ni tawi la CCM.
Binafsi viongozi wa madhehebu yetu siku hizi nawachulia kwa tahadhari kubwa sana
 
ndugu wana jf, nimesikitika sana kuona baba askofu wa jimbo la bukoba kahusika wa wizi wa pesa za escrow,
sisi waamini katika kainisa hili tutakuwa nawe katika kipindi hiki kigumu, kwa kuwa hatutazami zambi zako bali twatazama imani ya kanisa lako, ila tumeumia sana sana
Kabla ya kuhukumu mgetafuta kujua Askofu kapewa pesa kwa ajili ya nini? Je pesa yote iliyo kwenye akaunti ya Rugemalira ni kutokana na Escrow peke yake? Yaani alifungua akaunti akaingiza pesa ya escrow basi? Haiwezekani kuwa alikuwa na pesa tayari na ameendelea kuingiza pesa hata baada ya escrow? Kwa vile Rugemalira amehusika na escrow hawezi kufanya mambo mengine halali? Acheni utoto, chambueni mambo kimantiki.
 
Askofu ni vyema ukajitokeza......... kama ulijua au hukufahamu usema maana jina la Bwana linatukanwa bure....pia imani kwa kondoo itapungua kwako.....
 
Kama amepewa surely atakuwa amepokea, swali; je, amezitumiaje? Amezitumia yeye binafsi au na kondoo anaowachunga?
 
Ukijua fedha ulizopewa kama mtumishi wa Mungu ni za wizi au za dhuluma zirudishe yaishe. La sivyo unawaangamiza kondoo
 
ndugu wana jf, nimesikitika sana kuona baba askofu wa jimbo la bukoba kahusika wa wizi wa pesa za escrow,
sisi waamini katika kainisa hili tutakuwa nawe katika kipindi hiki kigumu, kwa kuwa hatutazami zambi zako bali twatazama imani ya kanisa lako, ila tumeumia sana sana

Hayo maneno ni ya kinafiki kwa kiwango fulani. Naomba kuuliza, hivi kama Luge, angekuwa amenunua benzi jipya kutoka kwenye kampuni inayotengeneza magari hayo katika kipindi ambacho pesa za escrow account ziliishatumika;Kampuni hiyo nayo ingetuhumiwa kama wahujumu wa fedha za tanesco? Na kama alimpeleka mtoto hospitali baada ya tukio hilo, hospital nayo ingetuhumiwa au ina tuhumiwa?

nashauri tuongelee suala la wizi uliofanyika na wale wote walionufaika wakiwa na dhamana za kisiasa. Maana hata kama Luge angekuwa ametoa msaada kwa yatima, katika mwelekeo ninaouona , hata huyu yatima atatuhumiwa.

Siamini kama mwelekeo huu ni sahihi!
 
Back
Top Bottom