Askofu Methodius Kilaini naye alimegewa 80m za mbia wa IPTL

Askofu Methodius Kilaini naye alimegewa 80m za mbia wa IPTL

Kuna shida gani mtu akitoa fedha zake na kugawa kwa anaye jisikia kumpa? wangapi wanatoa mamilioni au kwa kuwa katoa Rugemarila? Rugemarila ni Milionea kama siyo Bilionea, kutoa visenti hivyo ni kitu kidogo kwake. Kuuza shea za kampuni yake imekuwa shida?


Wewe kakumega kwa sh ngapi?
 
Hii nchi imekuwa maskin shauri ya hawa wenzetu.

Wanajifanya wamesoma ajabu nchi inazorota wao wamekalia kuiba tu
 
Kama mbowe alichukuwa hizo pesa na yeye dhambi ya ufisadi itamtafuna kama ni kweli. Mimi na shanga watazania janga kama hili mnafanya mchezo nalo linaweza kuleta madhara siku za usoni kwa aidha watu kuendele kufanya hivyo kwakua imekuwa ni mazoea mwanzo ilikuwa epa mambo yamefinyangwa finyangwa mwisho hatukujuwa sasa iptl kesho gesi kuweni makini watanzania mwalimu nyerere alisema mtu akira nyama ya mtu achi kura watakura tena wamesha juwa watanzania wajinga poleni
 
Hii nchi imekuwa maskin shauri ya hawa wenzetu.

Wanajifanya wamesoma ajabu nchi inazorota wao wamekalia kuiba tu
mkuu huwa napata tabu sana na hizi imani zingine. maovu yote ya dunia hii yanapita kwao. nahuku wakijidai wana imani ya mungu. jiulize hata hiyo bank inayoitwa mkombozi inayomilikiwa na kanisa katoliki ndo kinara wa kupitishia pesa za wizi. haya ni maajabu kwa kweli.
 
Hayo maneno ni ya kinafiki kwa kiwango fulani. Naomba kuuliza, hivi kama Luge, angekuwa amenunua benzi jipya kutoka kwenye kampuni inayotengeneza magari hayo katika kipindi ambacho pesa za escrow account ziliishatumika;Kampuni hiyo nayo ingetuhumiwa kama wahujumu wa fedha za tanesco? Na kama alimpeleka mtoto hospitali baada ya tukio hilo, hospital nayo ingetuhumiwa au ina tuhumiwa?

nashauri tuongelee suala la wizi uliofanyika na wale wote walionufaika wakiwa na dhamana za kisiasa. Maana hata kama Luge angekuwa ametoa msaada kwa yatima, katika mwelekeo ninaouona , hata huyu yatima atatuhumiwa.

Siamini kama mwelekeo huu ni sahihi!

Very cheap and stupid argument then ever happened before
It's non compareble
 
mkuu huwa napata tabu sana na hizi imani zingine. maovu yote ya dunia hii yanapita kwao. nahuku wakijidai wana imani ya mungu. jiulize hata hiyo bank inayoitwa mkombozi inayomilikiwa na kanisa katoliki ndo kinara wa kupitishia pesa za wizi. haya ni maajabu kwa kweli.

Mimi nashangazwa sana.

Na hapa ungeona dalili za uislamu kuhusika tusingekaa.

Hawana uzalendo.

90percent serikalin wanaongoza wao lkn bado ni wizi vile vile.

Wanachukiza sana.
 
Hizi hela mwisho wa siku zinaenda VATICAN...
Angalieni Majina ya waliopewa...
Nchi zote duniani ambazo ukatoliki umejipenyeza katika uongozi ni maskini na wananchi wanapata tabu sana...
Angalia Africa na Amerika Kusini....
Hawa watu ni cancer lakini ukisema unaitwa Mdini
Lakini tutafika tu
 
Hizi hela mwisho wa siku zinaenda VATICAN...
Angalieni Majina ya waliopewa...
Nchi zote duniani ambazo ukatoliki umejipenyeza katika uongozi ni maskini na wananchi wanapata tabu sana...
Angalia Africa na Amerika Kusini....
Hawa watu ni cancer lakini ukisema unaitwa Mdini
Lakini tutafika tu


Ukiwauliza utaskia oooh nyinyi mna nin watu wa madrasa hamna shule.

Wao wenye shule yao ajabu wamekalia wizi na ufisadi tuh.

Sasa sijui elimu yao itawasaidia nin.
 
Hizi hela mwisho wa siku zinaenda VATICAN...
Angalieni Majina ya waliopewa...
Nchi zote duniani ambazo ukatoliki umejipenyeza katika uongozi ni maskini na wananchi wanapata tabu sana...
Angalia Africa na Amerika Kusini....
Hawa watu ni cancer lakini ukisema unaitwa Mdini
Lakini tutafika tu
Hawa viumbe wa ajabu sana kila siku wanajitapa kuwa wao ni wasomi ndiyo maana wanamejaa idara zote za serikali.

Huo usomi wao sijui unalisaidiaje taifa letu kutoka kwenye dimbwi la umasikini.

Wanachofanya wao ni kufisadi nchi hawa wasomi wa Div One za Kanisa.

Hawana huruma na watanzania wenzao.
 
Huwa najiuliza mbona kule zanzibar kwa wasomaji wa madrasa hakunaga kashifa kama hizi?.
na mbona huku bara wala vitimoto ndo wanaonekana kuchota mapesa ya umma kama yao?.
ukisema sanasana wanakwambia,''we mvaa suruali fupi huna elimu''

Elimu..?!!!,elimu ya kuja kukwapua pesa za walipakodi?
 
Njia sahihi kwake ni kujitokeza na kukiri au kukanusha. Ninachoona hapa mgawaji pesa alikuwa akitafuta influential persons na malengo yake hapa sijayajua. Huyu Rugemalira ni mtu wa namna gani? Wenye historia yake (cv) watuwekee hapa. Wabia / washiriki wake ni nani.....zahidi watafuta uraisi ili ni-conect dots kidogo... na nipate mwanga wa hapo baaadae juu ya nchi hii.


huyu jamaa ni mhaya ni moja kati ya ma tycoon kenye hii nchi ana ushawishi mkubwa sana katika siasa, ni mkurugenzi au mwingizaji wa bia moj inaitwa heiken mkama sija kosea spelling, pia ni mkurugenzi wa kampuni ya v ip engeering.....limited ambayo kaungana na kampuni moja toka malasysia kwa lengo la kufua umeme xo viongozi wa tanesco pamoja na hiz kampun wakapanga kupiga pesa za umma kwa kusema kwamba kampuni ya rugemalila imepata share kwenye iptl xo pesa hizo ni nying sana benki gani watapishia basi mkombozi ambayo ni benki ya kanisa katorik jopo kwa ufupi mwenye kukosopa na kuendeleza mada karibu
 
Ambacho nashindwa kuelewa hao waliochukua hela za huyo bwana wana kosa gani???

Wao wamepewa fedha kama zawadi tena fedha zilizokatwa na kodi TRA ulitaka wao wafanyeje? Njia iliyotumika mpaka kuzipata hizo fedha kama ni halali au lah anaijua mwenye fedha.

Hivi wewe rafiki yako akikupa fedha kama msaada utamuuliza kazitoa wapi?????

Mbona mnapenda kushikia watu mabango sana hata kwenye upuuzi? Mbona hamleti maelezo ya Mbowe naye kupewa zawadi?
TRA ni taasisi ya umma au ya mtu binafsi?
 
Back
Top Bottom